BlackPanther JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 9,185 Reaction score 8,715 Nov 23, 2022 #21 Execute said: Croatia na Denmark watoe hapo. Click to expand... Nimeicheki mechi ya croatia wapo vizuri, ngoja tuone na Belgium na wengine waliobakia
Execute said: Croatia na Denmark watoe hapo. Click to expand... Nimeicheki mechi ya croatia wapo vizuri, ngoja tuone na Belgium na wengine waliobakia
Execute JF-Expert Member Joined Sep 21, 2022 Posts 3,000 Reaction score 7,336 Nov 23, 2022 Thread starter #22 Bila bila said: Mahaba dini yakuua. Unadhani Mechi dunia nzima ilionyeshwa kwako tu. Timu baada ya kupata bao la pili haikuwahi kufanya shambulizi hiyo Kasi uliiona wapi. Unadhani mpaka wanaweka siku ya mapumziko Leo ni sababu ya Kasi na kukaba? Click to expand... Mimi ni mkristo safi, hapa nimeandika kutokana na kile nilichoona. Baada ya ushindi plan yao ilikuwa ni kulinda, kukaba na kushambulia kwa kushtukiza.
Bila bila said: Mahaba dini yakuua. Unadhani Mechi dunia nzima ilionyeshwa kwako tu. Timu baada ya kupata bao la pili haikuwahi kufanya shambulizi hiyo Kasi uliiona wapi. Unadhani mpaka wanaweka siku ya mapumziko Leo ni sababu ya Kasi na kukaba? Click to expand... Mimi ni mkristo safi, hapa nimeandika kutokana na kile nilichoona. Baada ya ushindi plan yao ilikuwa ni kulinda, kukaba na kushambulia kwa kushtukiza.
Waterbender JF-Expert Member Joined Oct 2, 2018 Posts 7,573 Reaction score 10,063 Nov 23, 2022 #23 france wanabeba ndoo
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Nov 23, 2022 #24 Execute said: Jamaa wamepiga mpira mkubwa, wa kasi na kukaba kwa nguvu. Mpaka muda fulani nikadhani naiangalia Arsenal ya Arteta. Click to expand... Mwaka huu kombe laweza kupata mwenyeji mpya inaqeza kuchukua nchi ambayo hatuitarajii
Execute said: Jamaa wamepiga mpira mkubwa, wa kasi na kukaba kwa nguvu. Mpaka muda fulani nikadhani naiangalia Arsenal ya Arteta. Click to expand... Mwaka huu kombe laweza kupata mwenyeji mpya inaqeza kuchukua nchi ambayo hatuitarajii