Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

Inategemea na strategy unayotumia, Pia inategemea wewe umeamua kuwa trader wa namna gani.
JIfunze hiki: Breakouts Trading wakati wa news ndio mahala pake.

Wiki hii ni kuwa makini na hizi news
View attachment 681135
hizo Breakouts Trading nimepiga na huwa ndo mkombozi sana sema siokila mara nakumbuka nili fungua account na dollar mia kufika siku tatu nina mia 450 na ni kwa siku mbili aise breakout ziko poa sana kama unazijua kwa undani. na siri zake zipo jinsi ya ku cheza nazo usipate hata chembe ya hasara
 
Ni kweli,
Kwa walioshidwa kuwa swing traders hii ndio njia inayolipa.
 
MKUU UTAUZA HADI BOXER USIPOANGALIA. PATA PICHA WENZAKO WAMEKUKULA DOLA 300 KIULAINII
 
MKUU UTAUZA HADI BOXER USIPOANGALIA. PATA PICHA WENZAKO WAMEKUKULA DOLA 300 KIULAINII
Sio wamenikula, nimelipa ada ya kujifunza forex. Bado $27 tu, nirudishe hela zangu.

Nilichojifunza kinathamani zaidi ya elimu ya msingi mpaka Chuo.
Maana nimejifunza kitu ambacho nakitumia maishani mwangu
 
Hata akimshawish hakuna kitu,mimi nafanya forex mda sanaa...na nilianza mwenyewe now am making pips tu....angekuja kuomba kukufundisha sawa
Hii kitu haihitaji haraka sana. Ndio maana wanasema haipo kwaajiri ya wasio na kazi.
Na ukiielewa ni tamu sana
 
Acha tu baada ya ule uzi hata mimi nilikomaa mwenyewe bila ya mentor wala kwenda kozi maana sikupata nafasi nikakomaa na youtube na kudownload course mbalimbali torrent then nikaweka 60 dollar real account, nikapiga 7 trade six win one loss ikafika dollar 136 ndani ya siku nne, cha mtema kuni tamaa ikanipitia siku ya tano ijumaa kulikuwa na news basi nikaweka long position gbpcad na bonge la lot bila SL mzee ngoma ikashuka kama pips mia tatu hivi nikawa stop out... kilichoniuma kuja kuchek baadaye ngoma ikapaa huku account imewaka moto. Sikukata tamaa nikasonga mbele na kuendelea kujinoa mpk sasa nimefikia mahali ambapo siwezi tena kuunguza account.
 
Una positive mind, ukipata faida rudi humu utueleze ili tukuweke kwenye inpirational people humu jamvini
 
Hii kitu haihitaji haraka sana. Ndio maana wanasema haipo kwaajiri ya wasio na kazi.
Na ukiielewa ni tamu sana
Kwa anaejua aisee...I make money wakati niko in my office...just easy like that
 
Haina shaka mkuu. Nitakuja hapa hapa. The more nacheza na platform, the more I learn.

Siogopi kutake risk kwaajiri ya mafanikio ya kesho

Safi sana usikatishwe tamaa na mtu yeyote, fanya ambacho moyo wako unakwambia, utafanikiwa piga kazi kijana
 
tunashea same story bravo
 
Jamani kunasoftware za kufanya trading watz washazidaka ni wewe kujiongeza sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…