Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 2,255
- 2,825
Inategemea kajiungia wapi?Aisee...sasa akushawishi ili iwaje??mfano ukijiunga yeye anapata faida gani??mfano hata huyo jamaa alivyojiunga unadhani huyo Ontario kuna faida kaipata??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemea kajiungia wapi?Aisee...sasa akushawishi ili iwaje??mfano ukijiunga yeye anapata faida gani??mfano hata huyo jamaa alivyojiunga unadhani huyo Ontario kuna faida kaipata??
hizo Breakouts Trading nimepiga na huwa ndo mkombozi sana sema siokila mara nakumbuka nili fungua account na dollar mia kufika siku tatu nina mia 450 na ni kwa siku mbili aise breakout ziko poa sana kama unazijua kwa undani. na siri zake zipo jinsi ya ku cheza nazo usipate hata chembe ya hasaraInategemea na strategy unayotumia, Pia inategemea wewe umeamua kuwa trader wa namna gani.
JIfunze hiki: Breakouts Trading wakati wa news ndio mahala pake.
Wiki hii ni kuwa makini na hizi news
View attachment 681135
Ni kweli,hizo Breakouts Trading nimepiga na huwa ndo mkombozi sana sema siokila mara nakumbuka nili fungua account na dollar mia kufika siku tatu nina mia 450 na ni kwa siku mbili aise breakout ziko poa sana kama unazijua kwa undani. na siri zake zipo jinsi ya ku cheza nazo usipate hata chembe ya hasara
Inategemea na strategy unayotumia, Pia inategemea wewe umeamua kuwa trader wa namna gani.
JIfunze hiki: Breakouts Trading wakati wa news ndio mahala pake.
Wiki hii ni kuwa makini na hizi news
View attachment 681135
rudi shuleMKUU UTAUZA HADI BOXER USIPOANGALIA. PATA PICHA WENZAKO WAMEKUKULA DOLA 300 KIULAINII
Sio wamenikula, nimelipa ada ya kujifunza forex. Bado $27 tu, nirudishe hela zangu.MKUU UTAUZA HADI BOXER USIPOANGALIA. PATA PICHA WENZAKO WAMEKUKULA DOLA 300 KIULAINII
Hata akimshawish hakuna kitu,mimi nafanya forex mda sanaa...na nilianza mwenyewe now am making pips tu....angekuja kuomba kukufundisha sawaInategemea kajiungia wapi?
Hata wewe unaweza kujiunga mwenyewe kokote pale na broker yoyote utakayemwona anafaaInategemea kajiungia wapi?
Hii kitu haihitaji haraka sana. Ndio maana wanasema haipo kwaajiri ya wasio na kazi.Hata akimshawish hakuna kitu,mimi nafanya forex mda sanaa...na nilianza mwenyewe now am making pips tu....angekuja kuomba kukufundisha sawa
Una positive mind, ukipata faida rudi humu utueleze ili tukuweke kwenye inpirational people humu jamviniTangu niijue hii biashara ya forex kupitia Uzi wa Ontario, ni takribani miezi 7. Sikuwahi kusoma wala kupitia mafunzo yoyote Yale. Wala sinaga mentor.
Nilipoona Uzi wa jamaa na nikajua kuna uwezekano wa kupiga hela, nilienda moja kwa moja google kusearch nilichokisoma kutoka jf. Nilikutana na maelezo mengi sana. Nili download plattform na nikaanza kufanya demo. Japo nilikua sijui una place vipi order, lakini kwa kupitia video za YouTube, niliweza kujua. Nilinda na demo kwa takribani wiki mbili, nikaona napoteza muda. Nikaamua kufungua real acc ambayo nilianza nayo kwa kupata hasara. Kadri nilivyokua napata hasara, ndivyo nilivyokua najifunza.
Naweza sema nimejifunza vingi kwa muda huo wa miezi 7 hadi sasa. Nimeshaunguza acc si chini ya 10. Ambazo kwa jumla ni kama $300. Siwezi ongopa, mpaka sasa bado sijaanza kula faida za forex japo naamini baada ya miezi 2 nitakua nimerudisha hela zote kwasababu nimefikia hatua nzuri.
Nilivyojifunza kuhusu forex ni
1. Sio lazima Ku trade kama silielewi soko la wakati huo
2. Nifungue trade nikiwa na uhakika wa ninachokifanya.
3. Nibalance lot size kutokana na kiasi cha mtaji wangu
4. Nisifungue trade zaidi ya 1
5. Nisisahau kuweka SL
6. Nisiwe na tamaa na niweze kucontrol emotion
7. Sio kila pair naweza Ku trade
8. Hiyo loss ya $300, ni gharama ya kujifunza forex
Ahsanteni sana
Kwa anaejua aisee...I make money wakati niko in my office...just easy like thatHii kitu haihitaji haraka sana. Ndio maana wanasema haipo kwaajiri ya wasio na kazi.
Na ukiielewa ni tamu sana
Haina shaka mkuu. Nitakuja hapa hapa. The more nacheza na platform, the more I learn.
Siogopi kutake risk kwaajiri ya mafanikio ya kesho
tunashea same story bravoAcha tu baada ya ule uzi hata mimi nilikomaa mwenyewe bila ya mentor wala kwenda kozi maana sikupata nafasi nikakomaa na youtube na kudownload course mbalimbali torrent then nikaweka 60 dollar real account, nikapiga 7 trade six win one loss ikafika dollar 136 ndani ya siku nne, cha mtema kuni tamaa ikanipitia siku ya tano ijumaa kulikuwa na news basi nikaweka long position gbpcad na bonge la lot bila SL mzee ngoma ikashuka kama pips mia tatu hivi nikawa stop out... kilichoniuma kuja kuchek baadaye ngoma ikapaa huku account imewaka moto. Sikukata tamaa nikasonga mbele na kuendelea kujinoa mpk sasa nimefikia mahali ambapo siwezi tena kuunguza account.