Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

utakuwa hukufanya analysis. hii kitu ni analyses mkuu, bahati ina'play party ndogo sn.
Mkuu, mimi nabet sana, almost daily nabet,
Hiyo nimeongea as a joke, by the way kupata odds 3 za under labda ubeti mechi kuanzia mbili, ukibahatika sana upate fixed matches
 
hapo ndo unaturudisha nyuma sasa mtu anaunguza account kwa kununua bei ya juu na kuuzza kwa bei ya chini. mfano dollar iko 2200 umenunu then baada ya siku moja imeshuka hadi 1800 ukauza means umepata hasara ya shilingi 400. ingetakiwa uuze kama bei ingefika 2500 na zaidi iili upate faida.sijui kama umenielewa
Nimekuelewa mr.
Asante
 
Forex inayofanywa na retail traders mtandaoni inafanyika kwa mtindo wa margin kutokana na mitaji midogo yaani maana yake ni kwamba unaweka kiasi kazaa kama $300 kwa broker hii ndio inakuwa kama
Security halafu broker anakupa kama mkopo ambao huku tunaita leverage kwa standard account $100000 kama ukiuza lot 1 hii ela toka broker utakuwa unafanya transactions na liquidity providers ambao wanaweza kuwa benk kama ni STP sasa kiwango cha faida ambacho unakipata toka dola laki moja kitakuwa kinaingia kwenye account na kiwango cha hasara unachotengeneza broker anakuwa anakata kwenye ile $300 ili kukava ela take maana yake unakuwa na margin ya dola mia tatu ambayo inaendesha mtaji mkubwa ndo maana kuunguza akaunti ni raisi kama huna risk management ila ukielewa hii forex vizuri ela ipo ndio maana wanasema 95% ya retail traders hupata hasara
Shukurani
 
Jembe Halimtupi Mtu Ila Hapo Utoe 😱🙄😵🙁
 
View attachment 668389

Songa mbele ndugu, Usirudi nyuma,

Siri ya mafanikio katatika FX ni kujifunza kila kukicha.

Mkuu mwalimu nakutafuta sana kutana na PM yangu tafadhali

Hehehehe Join date 4th July.. Kuna account zingine kama nne ambazo zimejoin July kuanzia 3 to 5 ambazo kazi yenu kubwa ni kuwamotivate watu kwenye hiyo biashara..

Mungu anawaona mjue..

Motivate?? Bongo hii kila mtu mjuaji hata vitu ambavyo vipo wazi,

Kaka wewe si una kila kitu mkononi kwako au

Fanya basi kautafiti kako kuhusu hii fx ujiridhishe

Mkuu njoo kwenye crypto currency huku kuna hela hatari. Unaweza kulala mpiga debe ukaamka Bakhresa.

Hakuna kitubrahisi hizo crypo unaona zinavyo poromoka hivi sasa au unamaanisha aje mzi-trade nazo coz nahisi kuzitrade ziko poa sana

kilimo kinalipa sana ww


Sisi pia tunafanya kilimo huenda wewe hujawahi na wala huna mradi wa kilimo hata mmoja so chill n relax bro


Kwa upande wangu naamini kuwa vitabu vimeandikwa na watu. Na watu waliandika vitabu baada ya kupoteza na kupata. Nataka niwe mmoja kati ya waandika vitabu. Nataka ubongo wangu uchanganue na sio nisome vilivyo changanuliwa.

Najiamini na nina uhakika na ninachokifanya. Nimeshang'amua baadhi ya vitu ambavyo sijaviona popote

Hapo ndo unapoharibu na hutakaa ufanikiwe kwa akili za kijinga kama hizi(sorry)
 
inayo ingiza pesa kila dakika
Mkuu unahisi umenipa jibu sahihi?
upload_2018-1-20_11-5-20.png
 
Nahitaji kupata elimu ya betting kwanza kabla sijafikiria kamali nyingine.
 
Forex mmebaki yatima..hiyo 300usd ni kama mia saba fulani hv...
 
Forex mmebaki yatima..hiyo 300usd ni kama mia saba fulani hv...

Mia saba kitu gani wewe hiyo hela ingekupeleka wapi?

Namjua mtu ambaye aliungu $ 500000 na hapo alikuza kutoka 70k

Hakuacha na sasa acc yake ina zaidi ya 44Mil Euro
 
Back
Top Bottom