issac77
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,128
- 7,899
utakuwa hukufanya analysis. hii kitu ni analyses mkuu, bahati ina'play party ndogo sn.Hadi Half-time Ngoma 2-2
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utakuwa hukufanya analysis. hii kitu ni analyses mkuu, bahati ina'play party ndogo sn.Hadi Half-time Ngoma 2-2
Mkuu, mimi nabet sana, almost daily nabet,utakuwa hukufanya analysis. hii kitu ni analyses mkuu, bahati ina'play party ndogo sn.
Nimekuelewa mr.hapo ndo unaturudisha nyuma sasa mtu anaunguza account kwa kununua bei ya juu na kuuzza kwa bei ya chini. mfano dollar iko 2200 umenunu then baada ya siku moja imeshuka hadi 1800 ukauza means umepata hasara ya shilingi 400. ingetakiwa uuze kama bei ingefika 2500 na zaidi iili upate faida.sijui kama umenielewa
ShukuraniForex inayofanywa na retail traders mtandaoni inafanyika kwa mtindo wa margin kutokana na mitaji midogo yaani maana yake ni kwamba unaweka kiasi kazaa kama $300 kwa broker hii ndio inakuwa kama
Security halafu broker anakupa kama mkopo ambao huku tunaita leverage kwa standard account $100000 kama ukiuza lot 1 hii ela toka broker utakuwa unafanya transactions na liquidity providers ambao wanaweza kuwa benk kama ni STP sasa kiwango cha faida ambacho unakipata toka dola laki moja kitakuwa kinaingia kwenye account na kiwango cha hasara unachotengeneza broker anakuwa anakata kwenye ile $300 ili kukava ela take maana yake unakuwa na margin ya dola mia tatu ambayo inaendesha mtaji mkubwa ndo maana kuunguza akaunti ni raisi kama huna risk management ila ukielewa hii forex vizuri ela ipo ndio maana wanasema 95% ya retail traders hupata hasara
View attachment 668389
Songa mbele ndugu, Usirudi nyuma,
Siri ya mafanikio katatika FX ni kujifunza kila kukicha.
Hehehehe Join date 4th July.. Kuna account zingine kama nne ambazo zimejoin July kuanzia 3 to 5 ambazo kazi yenu kubwa ni kuwamotivate watu kwenye hiyo biashara..
Mungu anawaona mjue..
Mkuu njoo kwenye crypto currency huku kuna hela hatari. Unaweza kulala mpiga debe ukaamka Bakhresa.
kilimo kinalipa sana ww
Kwa upande wangu naamini kuwa vitabu vimeandikwa na watu. Na watu waliandika vitabu baada ya kupoteza na kupata. Nataka niwe mmoja kati ya waandika vitabu. Nataka ubongo wangu uchanganue na sio nisome vilivyo changanuliwa.
Najiamini na nina uhakika na ninachokifanya. Nimeshang'amua baadhi ya vitu ambavyo sijaviona popote
Kasi hii 2020 watu walioamua kufanya forex wataitwa "forex guru tz"Forex is not a game or gambling forex inafanywa mpaka na serikali mbalimbali forex ni biashara
hzo sma na ema ni ngapi umetumiaKaka njia ya cross ya sma ema inalipa Sana tu ila uwe fast Sana kwenye ku close positionView attachment 677678
indicator gan hiinjia yangu hiiyo hapoo ukiona ina aanza blue una nunua na nyekundu ni una sell inaonyesha short na long position kama huya elewa niulize View attachment 677672
inayo ingiza pesa kila dakikaindicator gan hii
yaapMkuu unahisi umenipa jibu sahihi?
View attachment 680521
yatima ni wewe mwenye ubongo wa kukuForex mmebaki yatima..hiyo 300usd ni kama mia saba fulani hv...
Forex mmebaki yatima..hiyo 300usd ni kama mia saba fulani hv...
Stori hizo..Mia saba kitu gani wewe hiyo hela ingekupeleka wapi?
Namjua mtu ambaye aliungu $ 500000 na hapo alikuza kutoka 70k
Hakuacha na sasa acc yake ina zaidi ya 44Mil Euro