Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

utakuwa hukufanya analysis. hii kitu ni analyses mkuu, bahati ina'play party ndogo sn.
Mkuu, mimi nabet sana, almost daily nabet,
Hiyo nimeongea as a joke, by the way kupata odds 3 za under labda ubeti mechi kuanzia mbili, ukibahatika sana upate fixed matches
 
Nimekuelewa mr.
Asante
 
Shukurani
 
Jembe Halimtupi Mtu Ila Hapo Utoe 😱🙄😵🙁
 
View attachment 668389

Songa mbele ndugu, Usirudi nyuma,

Siri ya mafanikio katatika FX ni kujifunza kila kukicha.

Mkuu mwalimu nakutafuta sana kutana na PM yangu tafadhali

Hehehehe Join date 4th July.. Kuna account zingine kama nne ambazo zimejoin July kuanzia 3 to 5 ambazo kazi yenu kubwa ni kuwamotivate watu kwenye hiyo biashara..

Mungu anawaona mjue..

Motivate?? Bongo hii kila mtu mjuaji hata vitu ambavyo vipo wazi,

Kaka wewe si una kila kitu mkononi kwako au

Fanya basi kautafiti kako kuhusu hii fx ujiridhishe

Mkuu njoo kwenye crypto currency huku kuna hela hatari. Unaweza kulala mpiga debe ukaamka Bakhresa.

Hakuna kitubrahisi hizo crypo unaona zinavyo poromoka hivi sasa au unamaanisha aje mzi-trade nazo coz nahisi kuzitrade ziko poa sana

kilimo kinalipa sana ww


Sisi pia tunafanya kilimo huenda wewe hujawahi na wala huna mradi wa kilimo hata mmoja so chill n relax bro



Hapo ndo unapoharibu na hutakaa ufanikiwe kwa akili za kijinga kama hizi(sorry)
 
Nahitaji kupata elimu ya betting kwanza kabla sijafikiria kamali nyingine.
 
Forex mmebaki yatima..hiyo 300usd ni kama mia saba fulani hv...
 
Forex mmebaki yatima..hiyo 300usd ni kama mia saba fulani hv...

Mia saba kitu gani wewe hiyo hela ingekupeleka wapi?

Namjua mtu ambaye aliungu $ 500000 na hapo alikuza kutoka 70k

Hakuacha na sasa acc yake ina zaidi ya 44Mil Euro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…