jimmyfoxxgongo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 5,352
- 9,329
Endelea hivyo hivyo mkuu,Stori hizo..
Sishangai kuona mtu mwenye mtaji wa usd 1mil kupoteza usd 10000 coz haitamuuma sana kama mtu mwenye mtaji wa 400usd kupoteza 300usd.Endelea hivyo hivyo mkuu,
Usiamini kabisa lakini haya mambo rahisi sana
Kuna mwana mmoja ni guru ni 7 figure trade namaanisha ana mtaji zaid ya USD 1mil week iliyopita kapoteza 100000usd
Issue kubwa hapo ni kupoteza,Sishangai kuona mtu mwenye mtaji wa usd 1mil kupoteza usd 10000 coz haitamuuma sana kama mtu mwenye mtaji wa 400usd kupoteza 300usd.
Uncalculated riskIssue kubwa hapo ni kupoteza,
300usd si chochotena hata kam ukikaa nayo mwezi mmoja hauna,
Kwanini ujutie baadae kwa kuto-ku-take risk,
Ujue majuto yetu makubwa ni kutokujaribu na tunaendelea kubaki vile vile katika hali zetu duni za maisha
Ukiona forex inakuzingia achana nayo lakini ushaona kuna nn humu
Sio kweli un calculated risk kuna risk zingine you dont even need to calculateUncalculated risk
Forex haina tofauti na tatu mzuka.Sio kweli un calculated risk kuna risk zingine you dont even need to calculate
Sasa 300usd una calculate nn atleast zikiwa 5000 halafu pia mkuu si unajua big risk big reward what if angewin
Tofauti yake ni kubwa sana mzee,Forex haina tofauti na tatu mzuka.
Mkuu unajitahidi kutofautisha bt huo ndo ukweli...kuna big tycoon wanaouendesha huo mchezo na kuwaaminisha watu hayo unayoyasema.Tofauti yake ni kubwa sana mzee,
Tatu mzuka ninmchezo wa kubatisha
Forex ina husisha akili kwa kiasi kilubwa lazima ufanye analysis ucheki uchumi wa nchi na matukio yatakayouyumbosha kwa siku hiyo
Muna vitabu kibao vimeandikwa vya forex napia wenzetu wa finance wanasoma darasana
Ukiendelea kufananisha na tatu mzuka kutakuwa na tatizo sehemu halafu huenda ww ni afisa mikopo wa saccos fulani
Unauza na kununua kwa pamoja?Nadhani naenda vizuri na demo
Hongera mkuu umefikiria nje ya boxKwa upande wangu naamini kuwa vitabu vimeandikwa na watu. Na watu waliandika vitabu baada ya kupoteza na kupata. Nataka niwe mmoja kati ya waandika vitabu. Nataka ubongo wangu uchanganue na sio nisome vilivyo changanuliwa.
Najiamini na nina uhakika na ninachokifanya. Nimeshang'amua baadhi ya vitu ambavyo sijaviona popote
ukiwa m'bahatishaji hii itakumaliza mapema sana. Weka sl kama unauhakika na trade unayoplace otherwise you wil be taken out everytime5. Nisisahau kuweka SL
Sasa kama una uhakika na trade SL ya nini tena? Tunarudi kulekule. Hakuna anayeijua forex.ukiwa m'bahatishaji hii itakumaliza mapema sana. Weka sl kama unauhakika na trade unayoplace otherwise you wil be taken out everytime
sasa nikuambie kitu hakuna kitu kibaya kama ku trade kwa news kamwe usijaribuSasa kama una uhakika na trade SL ya nini tena? Tunarudi kulekule. Hakuna anayeijua forex.
Ipo hivi kaka. Ukitaka kufanikiwa forex, cheza na news
Inategemea na strategy unayotumia, Pia inategemea wewe umeamua kuwa trader wa namna gani.sasa nikuambie kitu hakuna kitu kibaya kama ku trade kwa news kamwe usijaribu
Wiki hii ni kuwa makini na hizi newsIpo hivi kaka. Ukitaka kufanikiwa forex, cheza na news
Je ni vitabu gani unashauri, kila trader ni lazima avisome.ila bado nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nas oma nasom
Hapa usitudanganye. Unachofanya ni kuwashawishi watu wajiunge huko. Hivi kama kuna mipesa hiyo mingi nje nje kwa nini mnatumia nguvu nyingi kutushawishi ma Laggards?