Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

Endelea hivyo hivyo mkuu,

Usiamini kabisa lakini haya mambo rahisi sana

Kuna mwana mmoja ni guru ni 7 figure trade namaanisha ana mtaji zaid ya USD 1mil week iliyopita kapoteza 100000usd
Sishangai kuona mtu mwenye mtaji wa usd 1mil kupoteza usd 10000 coz haitamuuma sana kama mtu mwenye mtaji wa 400usd kupoteza 300usd.
 
Sishangai kuona mtu mwenye mtaji wa usd 1mil kupoteza usd 10000 coz haitamuuma sana kama mtu mwenye mtaji wa 400usd kupoteza 300usd.
Issue kubwa hapo ni kupoteza,

300usd si chochotena hata kam ukikaa nayo mwezi mmoja hauna,

Kwanini ujutie baadae kwa kuto-ku-take risk,

Ujue majuto yetu makubwa ni kutokujaribu na tunaendelea kubaki vile vile katika hali zetu duni za maisha

Ukiona forex inakuzingia achana nayo lakini ushaona kuna nn humu
 
Uncalculated risk
 
Uncalculated risk
Sio kweli un calculated risk kuna risk zingine you dont even need to calculate

Sasa 300usd una calculate nn atleast zikiwa 5000 halafu pia mkuu si unajua big risk big reward what if angewin

Musk ali-risk pesa zake zote wakati anaanza habari zake za rocket niambie reward yake sasa
 
Sio kweli un calculated risk kuna risk zingine you dont even need to calculate

Sasa 300usd una calculate nn atleast zikiwa 5000 halafu pia mkuu si unajua big risk big reward what if angewin
Forex haina tofauti na tatu mzuka.
 
Forex haina tofauti na tatu mzuka.
Tofauti yake ni kubwa sana mzee,

Tatu mzuka ninmchezo wa kubatisha

Forex ina husisha akili kwa kiasi kilubwa lazima ufanye analysis ucheki uchumi wa nchi na matukio yatakayouyumbosha kwa siku hiyo

Muna vitabu kibao vimeandikwa vya forex napia wenzetu wa finance wanasoma darasana

Ukiendelea kufananisha na tatu mzuka kutakuwa na tatizo sehemu halafu huenda ww ni afisa mikopo wa saccos fulani
 
Mkuu unajitahidi kutofautisha bt huo ndo ukweli...kuna big tycoon wanaouendesha huo mchezo na kuwaaminisha watu hayo unayoyasema.
 
Kwa upande wangu naamini kuwa vitabu vimeandikwa na watu. Na watu waliandika vitabu baada ya kupoteza na kupata. Nataka niwe mmoja kati ya waandika vitabu. Nataka ubongo wangu uchanganue na sio nisome vilivyo changanuliwa.

Najiamini na nina uhakika na ninachokifanya. Nimeshang'amua baadhi ya vitu ambavyo sijaviona popote
Hongera mkuu umefikiria nje ya box
 
ukiwa m'bahatishaji hii itakumaliza mapema sana. Weka sl kama unauhakika na trade unayoplace otherwise you wil be taken out everytime
Sasa kama una uhakika na trade SL ya nini tena? Tunarudi kulekule. Hakuna anayeijua forex.

Ipo hivi kaka. Ukitaka kufanikiwa forex, cheza na news
 
Sasa kama una uhakika na trade SL ya nini tena? Tunarudi kulekule. Hakuna anayeijua forex.

Ipo hivi kaka. Ukitaka kufanikiwa forex, cheza na news
sasa nikuambie kitu hakuna kitu kibaya kama ku trade kwa news kamwe usijaribu
 
angalia uchafu nilio kuwa na trade kwa ku tegemea news mda wote
news.JPG
nw.JPG
 
na nilvyo acha ku tegemea news kama njia ya ku trade na kusoma vitabu nikaanza kuwa hivi baada ya kugundu njia kadha kadha kiasi ndo mambo yaka noga hapa. ila bado nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nas oma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma hadi nione profit tu ndo akili itakuwa sawa na nilifungua live accnt ila kilicho ni cost ni emotion na kuwaza utajiri ndani ya mda mfupi.

kill.JPG

fp.JPG
 
sasa nikuambie kitu hakuna kitu kibaya kama ku trade kwa news kamwe usijaribu
Inategemea na strategy unayotumia, Pia inategemea wewe umeamua kuwa trader wa namna gani.
JIfunze hiki: Breakouts Trading wakati wa news ndio mahala pake.
Ipo hivi kaka. Ukitaka kufanikiwa forex, cheza na news
Wiki hii ni kuwa makini na hizi news
IMG_20180121_100210_017.JPG
 
ila bado nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nasoma nas oma nasom
Je ni vitabu gani unashauri, kila trader ni lazima avisome.
Nipe orodha ya vitabu vitatu tu - Ili nifungie huu mwezi kwa kuvisoma.

Ahsante
 
Aisee...sasa akushawishi ili iwaje??mfano ukijiunga yeye anapata faida gani??mfano hata huyo jamaa alivyojiunga unadhani huyo Ontario kuna faida kaipata??
Hapa usitudanganye. Unachofanya ni kuwashawishi watu wajiunge huko. Hivi kama kuna mipesa hiyo mingi nje nje kwa nini mnatumia nguvu nyingi kutushawishi ma Laggards?
 
Back
Top Bottom