Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

Tangu niijue hii biashara ya forex kupitia Uzi wa Ontario, ni takribani miezi 7. Sikuwahi kusoma wala kupitia mafunzo yoyote Yale. Wala sinaga mentor.

Nilipoona Uzi wa jamaa na nikajua kuna uwezekano wa kupiga hela, nilienda moja kwa moja google kusearch nilichokisoma kutoka jf. Nilikutana na maelezo mengi sana. Nili download plattform na nikaanza kufanya demo. Japo nilikua sijui una place vipi order, lakini kwa kupitia video za YouTube, niliweza kujua. Nilinda na demo kwa takribani wiki mbili, nikaona napoteza muda. Nikaamua kufungua real acc ambayo nilianza nayo kwa kupata hasara. Kadri nilivyokua napata hasara, ndivyo nilivyokua najifunza.

Naweza sema nimejifunza vingi kwa muda huo wa miezi 7 hadi sasa. Nimeshaunguza acc si chini ya 10. Ambazo kwa jumla ni kama $300. Siwezi ongopa, mpaka sasa bado sijaanza kula faida za forex japo naamini baada ya miezi 2 nitakua nimerudisha hela zote kwasababu nimefikia hatua nzuri.

Nilivyojifunza kuhusu forex ni
1. Sio lazima Ku trade kama silielewi soko la wakati huo

2. Nifungue trade nikiwa na uhakika wa ninachokifanya.

3. Nibalance lot size kutokana na kiasi cha mtaji wangu

4. Nisifungue trade zaidi ya 1

5. Nisisahau kuweka SL

6. Nisiwe na tamaa na niweze kucontrol emotion

7. Sio kila pair naweza Ku trade

8. Hiyo loss ya $300, ni gharama ya kujifunza forex

Ahsanteni sana
Mkuu njoo kwenye crypto currency huku kuna hela hatari. Unaweza kulala mpiga debe ukaamka Bakhresa.
 
Mentor.. teh teh teh

Ain't a Mentor.

I am just a learner, i am mean i'm a novice guy in this industry.

By the way, i am done with the following books:=

1. Naked Forex.

2. Forex bible

3. Astro Forex

4.The ultimate price action trading...

And right now i'm doing "Japanese canlestick charting teqniqes"

I am not that much financially well to pay for training seminars but i do hope to start treding without attend trading seminars coz i beleive i can make it. I am so determined to the exent that only death will terminate my krinkokasha.
 
Tangu niijue hii biashara ya forex kupitia Uzi wa Ontario, ni takribani miezi 7. Sikuwahi kusoma wala kupitia mafunzo yoyote Yale. Wala sinaga mentor.

Nilipoona Uzi wa jamaa na nikajua kuna uwezekano wa kupiga hela, nilienda moja kwa moja google kusearch nilichokisoma kutoka jf. Nilikutana na maelezo mengi sana. Nili download plattform na nikaanza kufanya demo. Japo nilikua sijui una place vipi order, lakini kwa kupitia video za YouTube, niliweza kujua. Nilinda na demo kwa takribani wiki mbili, nikaona napoteza muda. Nikaamua kufungua real acc ambayo nilianza nayo kwa kupata hasara. Kadri nilivyokua napata hasara, ndivyo nilivyokua najifunza.

Naweza sema nimejifunza vingi kwa muda huo wa miezi 7 hadi sasa. Nimeshaunguza acc si chini ya 10. Ambazo kwa jumla ni kama $300. Siwezi ongopa, mpaka sasa bado sijaanza kula faida za forex japo naamini baada ya miezi 2 nitakua nimerudisha hela zote kwasababu nimefikia hatua nzuri.

Nilivyojifunza kuhusu forex ni
1. Sio lazima Ku trade kama silielewi soko la wakati huo

2. Nifungue trade nikiwa na uhakika wa ninachokifanya.

3. Nibalance lot size kutokana na kiasi cha mtaji wangu

4. Nisifungue trade zaidi ya 1

5. Nisisahau kuweka SL

6. Nisiwe na tamaa na niweze kucontrol emotion

7. Sio kila pair naweza Ku trade

8. Hiyo loss ya $300, ni gharama ya kujifunza forex

Ahsanteni sana
Bona unang'ang'ania kitu kimoja tu labda ungekuwa unauza mbao sasa hivi ungekuwa na ghorofa 3 kariakoo

Anyway baada ya miezi miwili kupita uje tena
 
Wa Kwanza huyu Kuliwa!mtaendelea kuleta ushuhuda tena na tena!Wataka mafanikio ya Fasta!Hiyo dollar 300 si bora ungenunua Mchele Ruhewa ukaja uza Pwani
 
kuna uzi wa mr the bold khs forex, nadhani ontario amezichanga kaarata zake vzr ili amwambie jamaa aandike maana ameshajua jamaa ana high convicing power kulingana na kipaji chake cha uandishi na mada nzito anazozileta hapa na akichimbua mambo khs forex atawapata wengi na atapiga pesa, nishawishike kusema the bold anatumika na jamaa na analipwa., once akimaliza hiyo simulizi yake anayochimba nitawaambia kitu, watz ifike sehemu tubadilike sio kushikwa masikio tu.
 
Kweli umeshindwa kiingia chimbo ukasoma ili uujue ukweli?...Forex trading ni kama wale watu wanaofanya biashara ya kubadili fedha ila hii ni inter continental trading ambayo manual huwezi kuifanya...Ingia basi usome
 
nimeshasoma sana mkuu... pointi yangu ni kwamba kuna nguvu kubwa sana inatumika kwamba hii unapiga pesa nje nje, sio kiivo kama watu wanavodanganywa... halafu kwa nn inatumika nguvu kubwa sana kuwaaminisha lazima upige hela... ? cheki hizo ada zinazotozwa sasa ili ufundishwe,, kuna kitu nyuma ya pazia watu watakuja kulia humu huku jamaa na genge lake washapiga hela kiulaini kabisa ... time will tell
 
Ili ujifunze, sharti upoteze. Mie kusoma usd 58, live trading usd 101, zikaungua in two days, nikarefund usd 58 tena nikazipandisha hadi 89, zikapigwa zikabaki 20, nimezipandisha ziko 40. Naendelea kujifunza
 
nimeshasoma sana mkuu... pointi yangu ni kwamba kuna nguvu kubwa sana inatumika kwamba hii unapiga pesa nje nje, sio kiivo kama watu wanavodanganywa... halafu kwa nn inatumika nguvu kubwa sana kuwaaminisha lazima upige hela... ? cheki hizo ada zinazotozwa sasa ili ufundishwe,, kuna kitu nyuma ya pazia watu watakuja kulia humu huku jamaa na genge lake washapiga hela kiulaini kabisa ... time will tell
Hii ni kama biashara nyingine ina kupata na kukosa. Swala la kufundishwa ni lingine. Kwani labda wewe uliamua kusomea fani uliyonayo sasa? Emb tuanze na swali hilo
 
mimi hata miaka mia forex siachi wenye akili ndogo ni ngumu sana kuelewa maana hata darasani wali fail kwa uwezo wa kufikiria wale ambao hawapendi kuifunza mimi mwanzo nimepoteza kwa tatizo tu la kutaka ku double profit. nikajikuta nachoma account ila saizi fresh nimeiva kwenye demo na niko narekebisha matatizo madogo madogo niweke tena mpunga ila saizi ni kununua hisa na ku trade basi
dgdg.JPG
 
Wa Kwanza huyu Kuliwa!mtaendelea kuleta ushuhuda tena na tena!Wataka mafanikio ya Fasta!Hiyo dollar 300 si bora ungenunua Mchele Ruhewa ukaja uza Pwani
hiyo ni akili yako ilipo ishia forex unatengeneza pesa ndani ya sekunde ukiwa ndani kwako huku ukiangalia tv
 
Wanasema when a newbie trader wins on his trades he feels invisible,unstoppable and millionaire, then he takes a wild risk on his trades and looses everything😀😀. Cha msingi hapo ni kujifunza na bila kuunguza akaunti akili haiji kabisa, kingine ni kustick na few trades or even a single trade till uwe fit kwa profit zako, cha mwisho ni stop loss na tp. Yaani hizi mi nakumbuka kwenye stoploss nlikua nafanya kuisogeza nikiona trend😀😀 inanigeuka mwisho wa siku akaunti iliota mabawa ikaisha. Stop loss ni muhimu sana na uiheshimu.
 
Umenena vyema kk, mimi nilianza kwa haraka sana, ila nikaamua kutulia kusoma na kujifunza sana hii, ukwel ni kwamba inaweza kukuchukua hadi miaka 2 kuelewa vzur hii business. Tatizo letu sisi tunataka tuanze leo na uanze kupga hela hapo hapo! Nakuunga mkono sana, usikubali kushindwa zaid control ur emotions
 
Polee ila ninacho kumbuka mimi ni margin call siku hiyo nilitumbua macho baati nzurii nilifanya jambo ila after day nikairudisha hasara yote
 
hahahahahaah ukiona marginal call una hisi kama dunia inakutenga na walimwengu na wale wanafki wa jf wanakuona 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
nimeshasoma sana mkuu... pointi yangu ni kwamba kuna nguvu kubwa sana inatumika kwamba hii unapiga pesa nje nje, sio kiivo kama watu wanavodanganywa... halafu kwa nn inatumika nguvu kubwa sana kuwaaminisha lazima upige hela... ? cheki hizo ada zinazotozwa sasa ili ufundishwe,, kuna kitu nyuma ya pazia watu watakuja kulia humu huku jamaa na genge lake washapiga hela kiulaini kabisa ... time will tell
Hivi kwann kuna nguvu kubwa sana ya ushindani kati ya kiba na Diamond? Utasema wanaobishana wanalipwa.. Halafu ni wapi walisema Fx ni kupiga hela nje nje ? Mi nadhani inabidi watu waachwe watambulishwe fursa Mpya ambazo hazikuwa wazi hapo kabla ili mwenye kuweza na aweze lakini msizuie watu kujaribu. Hii ni fursa kama fursa zingine tu kama huielewi achana nayo
 
Back
Top Bottom