Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

Jiunge na group la telegram ujifunze forex bure kbs,download telegram search forextraderstz.
 
Tangu niijue hii biashara ya forex kupitia Uzi wa Ontario, ni takribani miezi 7. Sikuwahi kusoma wala kupitia mafunzo yoyote Yale. Wala sinaga mentor.

Nilipoona Uzi wa jamaa na nikajua kuna uwezekano wa kupiga hela, nilienda moja kwa moja google kusearch nilichokisoma kutoka jf. Nilikutana na maelezo mengi sana. Nili download plattform na nikaanza kufanya demo. Japo nilikua sijui una place vipi order, lakini kwa kupitia video za YouTube, niliweza kujua. Nilinda na demo kwa takribani wiki mbili, nikaona napoteza muda. Nikaamua kufungua real acc ambayo nilianza nayo kwa kupata hasara. Kadri nilivyokua napata hasara, ndivyo nilivyokua najifunza.

Naweza sema nimejifunza vingi kwa muda huo wa miezi 7 hadi sasa. Nimeshaunguza acc si chini ya 10. Ambazo kwa jumla ni kama $300. Siwezi ongopa, mpaka sasa bado sijaanza kula faida za forex japo naamini baada ya miezi 2 nitakua nimerudisha hela zote kwasababu nimefikia hatua nzuri.

Nilivyojifunza kuhusu forex ni
1. Sio lazima Ku trade kama silielewi soko la wakati huo

2. Nifungue trade nikiwa na uhakika wa ninachokifanya.

3. Nibalance lot size kutokana na kiasi cha mtaji wangu

4. Nisifungue trade zaidi ya 1

5. Nisisahau kuweka SL

6. Nisiwe na tamaa na niweze kucontrol emotion

7. Sio kila pair naweza Ku trade

8. Hiyo loss ya $300, ni gharama ya kujifunza forex

Ahsanteni sana
Hongera sana ndugu. Nakutakia mafanikio ili ushuhuda ujae uwe no Wa faida mara mbili ya hiyo gharama ya kujifunzia. Ndio, inawezekana.
 
Hongera sana ndugu. Nakutakia mafanikio ili ushuhuda ujae uwe no Wa faida mara mbili ya hiyo gharama ya kujifunzia. Ndio, inawezekana.
Usijari mkuu. Siku hizi $6 kwa siku hazinipigi chenga
Screenshot_20180110-171941.png
 
Nimecheza demo account kwa mwezi mmoja,niliipunguza kutoka 10,000 mpaka 9,245.75 . Lakini Sasa nimeipandisha Tena mpaka 10,576.50. Sasa naingia kwenye live account. Nimetumia indicator moja tu nayo Ni cross ya sma na ema.nimesoma vitabu na kuangalia clips za YouTube.sijafundishwa na yoyote chochote kwa ajili ya kucheza forex.
Asante Ontario kwa kunitàmbulisha forex.
 
hebu nitumie njia unayo tumia ya sma na ema.
 
njia yangu hiiyo hapoo ukiona ina aanza blue una nunua na nyekundu ni una sell inaonyesha short na long position kama huya elewa niulize
zx.JPG
 
hiyo sasa ikifika point ina piga alert kuwa ni mda wa kununua inakuonyesha pande zote then una confirm tu.
 
hiyo sasa ikifika point ina piga alert kuwa ni mda wa kununua inakuonyesha pande zote then una confirm tu.
Mkuu hiyo ni indicator gani ? Tukutane mkuu tupeane maujanja
 
Nimecheza demo account kwa mwezi mmoja,niliipunguza kutoka 10,000 mpaka 9,245.75 . Lakini Sasa nimeipandisha Tena mpaka 10,576.50. Sasa naingia kwenye live account. Nimetumia indicator moja tu nayo Ni cross ya sma na ema.nimesoma vitabu na kuangalia clips za YouTube.sijafundishwa na yoyote chochote kwa ajili ya kucheza forex.
Asante Ontario kwa kunitàmbulisha forex.
Forex is not a game or gambling forex inafanywa mpaka na serikali mbalimbali forex ni biashara
 
Ok,hiyo ni renko,nipe wiki mbili tu nitakuita Tena nifundishe [emoji1] [emoji1]
Baada ya wiki mbili nitakuita nikufundishe Tena.
By any means lazima niijue hiyo.iwe jua iwe mvua.
 
hebu niundishe njia yako maana tuna jitaidi kueta njia zisizo na hasara
Bado sijafahamu indicator nyingi kwenye forex ila naona ili kuepuka hasara lazima nawe uwe sharp Sana kwenye mkono wako,soko la forex liko fast Sana na uwe na uhakika na trend yako Kama Ni uptrend au down trend.( mimi Bado Ni mgeni kwenye forex,)
 
maana hiii sija wai pata hasara japo nilichoma acount kipindi cha nyuma saizi niko naendelea kuikagua kiundani kujua mapungufu yake .. tokea nime anza kuituia mwaka jana angalia picha vizuri
df.JPG
 
Back
Top Bottom