Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

Mpaka sasa nimepoteza $300 kwenye forex

Ni kweli mkuu. Naweza kuwa mjinga leo, ila kesho nikawa mwelevu. Huwa siogopi kujifunza
Na wengi tunafeli kwa sababu ya kuogopa kujaribu. Hofu ukiitii itakupeleka kubaya. Jaribu uwezavyo hadi uone mafanikio Unaweza kukata Tamaa kumbe ungejaribu tena ungefanikiwa.

Hongera Sana mkuu naamini soon unaona Nuru.
 
mwezi huu nawekadollar mia mbili inatosha kabisa kuanza nayoo then itakuwa natoa marejesho.
 
Na wengi tunafeli kwa sababu ya kuogopa kujaribu. Hofu ukiitii itakupeleka kubaya. Jaribu uwezavyo hadi uone mafanikio Unaweza kukata Tamaa kumbe ungejaribu tena ungefanikiwa.

Hongera Sana mkuu naamini soon unaona Nuru.
Always practice make parfect.
 
maana hiii sija wai pata hasara japo nilichoma acount kipindi cha nyuma saizi niko naendelea kuikagua kiundani kujua mapungufu yake .. tokea nime anza kuituia mwaka jana angalia picha vizuriView attachment 677714
Mkuu hiyo kitu inakulipa sana.ishike hiyo hiyo kwani inachotakiwa Ni kutengeneza pesa tu,that's all.hizo njia nyingine Ni mbwembwe tu
 
hiyo pesa yako ungeiweka kwenye basketball betting kwasasa ungekuwa na 100m.
 
Mkuu hiyo kitu inakulipa sana.ishike hiyo hiyo kwani inachotakiwa Ni kutengeneza pesa tu,that's all.hizo njia nyingine Ni mbwembwe tu
Nadhani naenda vizuri na demo
 
Attachments

  • Screenshot_2018-01-17-12-56-11.png
    Screenshot_2018-01-17-12-56-11.png
    51.2 KB · Views: 43
Tangu niijue hii biashara ya forex kupitia Uzi wa Ontario, ni takribani miezi 7. Sikuwahi kusoma wala kupitia mafunzo yoyote Yale. Wala sinaga mentor.

Nilipoona Uzi wa jamaa na nikajua kuna uwezekano wa kupiga hela, nilienda moja kwa moja google kusearch nilichokisoma kutoka jf. Nilikutana na maelezo mengi sana. Nili download plattform na nikaanza kufanya demo. Japo nilikua sijui una place vipi order, lakini kwa kupitia video za YouTube, niliweza kujua. Nilinda na demo kwa takribani wiki mbili, nikaona napoteza muda. Nikaamua kufungua real acc ambayo nilianza nayo kwa kupata hasara. Kadri nilivyokua napata hasara, ndivyo nilivyokua najifunza.

Naweza sema nimejifunza vingi kwa muda huo wa miezi 7 hadi sasa. Nimeshaunguza acc si chini ya 10. Ambazo kwa jumla ni kama $300. Siwezi ongopa, mpaka sasa bado sijaanza kula faida za forex japo naamini baada ya miezi 2 nitakua nimerudisha hela zote kwasababu nimefikia hatua nzuri.

Nilivyojifunza kuhusu forex ni
1. Sio lazima Ku trade kama silielewi soko la wakati huo

2. Nifungue trade nikiwa na uhakika wa ninachokifanya.

3. Nibalance lot size kutokana na kiasi cha mtaji wangu

4. Nisifungue trade zaidi ya 1

5. Nisisahau kuweka SL

6. Nisiwe na tamaa na niweze kucontrol emotion

7. Sio kila pair naweza Ku trade

8. Hiyo loss ya $300, ni gharama ya kujifunza forex

Ahsanteni sana
Hio motivation ulionayo kwanza bora kuliko zote.But my friend let me warn you. Forex is not gambling. Si sport pesa hio kaka. Uwezekano wa kushinda bet ni below 1 (nadhani wafahamu probability and statistics) kwa hio unachojaribu kusema eti unaanza bila kujifunza na unajifunza ukiendelea hapo unaleta comedy. Kuna mmoja huyu ame comment:
Miez 2 ikipita tuambie tena
Most strategies are largely based on patience and timing. Ni kama uniambie umejua kuweka clutch na gear leo kisha tayari wachukua Trip Cairo hadi Johannesburg. Take your time and learn and become an expert. Watu huku nchini Kenya wametengeza more na forex zipo hata colleges sikuizi sioni sababu ya kusema huoni haja ya kupoteza wakati. Ilhali huoni tatizo kupoteza $300. Kuna groups za WhatsApp watu wamepoteza zaidi ya $6000 yote kwa sababu alifanya Account Management na kujifanya shupavu sasa yupo taabani anatafutwa kila pahali, na tukio hilo lilitokea wakati gpb/usd ilipo Crash kipindi kile cha kura za brexit. Huyo ni mmoja Kati ya wengi. So ushauri wangu kaka kua mpole na to be an expert you have to try more than 10,000 times. Nakushawishi usome kitabu kwa jina naked forex kitakupanua akili zaidi katika hilo jukwa la forex. Forex ni nzuri na ina pesa kama ulivyoona tatizo ni utakua waongeza pesa kwa hio forex pot ama wapunguza ? Expert forex is boring forex... Alex Nekritin.
 
Kwa upande wangu naamini kuwa vitabu vimeandikwa na watu. Na watu waliandika vitabu baada ya kupoteza na kupata. Nataka niwe mmoja kati ya waandika vitabu. Nataka ubongo wangu uchanganue na sio nisome vilivyo changanuliwa.

Najiamini na nina uhakika na ninachokifanya. Nimeshang'amua baadhi ya vitu ambavyo sijaviona popote
 
Kuna ku dream na kua superstitious. So sijui we ni yupi. Ila all the best in all that you endeavor. Cheers✌
 
Ni kweli mkuu. Naweza kuwa mjinga leo, ila kesho nikawa mwelevu. Huwa siogopi kujifunza
Unaweza kunipa ufafanuzi kuhusu kuunguuza account? Inakuwaje mpaka unauunguza account (wakati Kwa uelewa wangu hiyo ni biashara ya kununua na kuuza fedha)
 
karibu tujibetie mkuu, unatafuta odd 3 kwa option ya under 3.5 unatia stake kilo moja (100k) . profit 300k!. jamani hii si zaidi ya fx??
Hadi Half-time Ngoma 2-2
 
Ni msemo huo mkubwa. Yaani unaeka FT under 3.5 ngoma iko halftime 2-2. Apo ndio si husema ‘utajua hujui’ hahaha
 
Unaweza kunipa ufafanuzi kuhusu kuunguuza account? Inakuwaje mpaka unauunguza account (wakati Kwa uelewa wangu hiyo ni biashara ya kununua na kuuza fedha)
Forex inayofanywa na retail traders mtandaoni inafanyika kwa mtindo wa margin kutokana na mitaji midogo yaani maana yake ni kwamba unaweka kiasi kazaa kama $300 kwa broker hii ndio inakuwa kama
Security halafu broker anakupa kama mkopo ambao huku tunaita leverage kwa standard account $100000 kama ukiuza lot 1 hii ela toka broker utakuwa unafanya transactions na liquidity providers ambao wanaweza kuwa benk kama ni STP sasa kiwango cha faida ambacho unakipata toka dola laki moja kitakuwa kinaingia kwenye account na kiwango cha hasara unachotengeneza broker anakuwa anakata kwenye ile $300 ili kukava ela take maana yake unakuwa na margin ya dola mia tatu ambayo inaendesha mtaji mkubwa ndo maana kuunguza akaunti ni raisi kama huna risk management ila ukielewa hii forex vizuri ela ipo ndio maana wanasema 95% ya retail traders hupata hasara
 
Unaweza kunipa ufafanuzi kuhusu kuunguuza account? Inakuwaje mpaka unauunguza account (wakati Kwa uelewa wangu hiyo ni biashara ya kununua na kuuza fedha)
hapo ndo unaturudisha nyuma sasa mtu anaunguza account kwa kununua bei ya juu na kuuzza kwa bei ya chini. mfano dollar iko 2200 umenunu then baada ya siku moja imeshuka hadi 1800 ukauza means umepata hasara ya shilingi 400. ingetakiwa uuze kama bei ingefika 2500 na zaidi iili upate faida.sijui kama umenielewa
 
Back
Top Bottom