Mpaka sasa Royal Tour haijaleta manufaa yoyote nchini

Kutojipenda na kujithamini mwenyewe ni sehemu ya ugonjwa wa sonona. Badilika.
 
Hakika pia kwakuwa COVID 19 ilihafifisha sekta hii, huenda watu wamesahau kuwa kabla ya COVID 19 tulipokea wageni wengi sana kwenye high peak!
 
Unafikiri watalii watakuja nyumbani kwako ndio uone haya mafanikio?
 
Una uhakika? Hotel zilishajaa hadi desemba hakuna vyumba tena kiasi kwamba inaonyesha hatukufanya maandakizi ya accomodations ya influx ya watu..

Baadhi ya matunda ya Royal tour ni kuongezeka kwa safari za ndege Kwa idadi ya miruko na new destinations 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220712-132710.png
    62.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220712-182456.png
    140.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220707-075256.png
    136.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220701-162839.png
    99 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220701-162213.png
    113.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220628-090518.png
    174.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220628-090709.png
    239.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220624-152254.png
    237.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220623-145008.png
    86.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220623-144927.png
    71.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220622-214711.png
    184 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220622-214002.png
    112.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220622-212937.png
    111.8 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220622-141204.png
    80.2 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220622-141225.png
    96.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220621-115619.png
    38.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220621-115601.png
    171.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220618-221142.png
    187.9 KB · Views: 3
Zipo Sana tuu ila kwa kuwa mko busy na porno na mipira hauwezi kuzijua.
 


Topic yako ya kitoto . CAG alipwe na serikali kuchunguza pesa ambazo si za serikali!!! ? Pili tourism imeongezeka kila mtu mwenye akili zake anajua hilo😂
 
Serengeti inajulikana kuliko Tanzania. Sijui kwanini walifanya royal tuwa au sisi tulidandia show tuu
 
Aiseee. Tatizo ukibisha utaambiwa huna akili au akili zako ndogo!
Mama ana mabakuli ya kila aina. Madogo ya kati na madogo. Akisafiri ana nadi maliasili na rasilimali. Huko huko anarudi mabakuli yamejaa mapesa!😅😂🤣
Sasa mnabisha nini?! Ashasema hatuna akili au akili zetu ndogo kwa kutokujuwa hili!
 
Mindset za kimaskini hizi wakati wewe ukijinadi na kubeza jitihada za kuboost utalii, wenzako wanawalipa Arsenal huko "Visit Rwanda" na bado na wao walishafanya Royal tour yao kabla yetu, ni mapesa mengi sana kuliko hiyo ya Royal tour na usidanganyike kuwa eti Tanzania inajulikana sana sio kweli, mfuatilie Bongo zozo kuna nchi alienda ndo kwanza akaanza kuwaelezea location ilipo Tanzania.
 
Hakukuwa na haja ya Royoal tour , na hatujawahi kukosa watalii maana utalii wetu unajitangaza,Kilimanjaro ,Serengeti ,Zanzibar vinajulikana.
Maldives wanajitangaza kweli kweli, siku hizi habari sio Ibiza tena, watu wanaruka na ma private jets kituo ni Maldives bila advertisements hakuna biashara ya maana labda kama unataka kuwa "average"
 
Cocacola na Pepsi si unazijua?Nike na Adidas je? Unajua bajeti yao ya kujitangaza? Hii ni biashara kazima pawe na matangazo constant.
 
Hakukuwa na haja ya Royoal tour , na hatujawahi kukosa watalii maana utalii wetu unajitangaza,Kilimanjaro ,Serengeti ,Zanzibar vinajulikana.
Business doesnt work that way. Issue si kukosa watalii issue ni volumeya watalii. unaweza kuwa na vivutio halaf ukazidiwa na nchi yenye kivutio kimoja au viwili
 

Attachments

  • Screenshot_20220614-110828.png
    191.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220614-111144.png
    70.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220614-111129.png
    112.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220614-110900.png
    101.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220603-132113.png
    138.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220605-144549.png
    85 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220606-184120.png
    67.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220611-071446.png
    93.9 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220612-163931.png
    126.4 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220613-113438.png
    90.1 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220612-164000.png
    134.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220612-163951.png
    131.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220621-115619.png
    38.6 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220621-115601.png
    171.3 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220622-215015.png
    131 KB · Views: 2
  • Screenshot_20220622-220053.png
    74.5 KB · Views: 2
Maldives wanajitangaza kweli kweli, siku hizi habari sio Ibiza tena, watu wanaruka na ma private jets kituo ni Maldives bila advertisements hakuna biashara ya maana labda kama unataka kuwa "average"
kwahiyo njia ya kutangaza ni yeye kuingia front na kujishout video isiyo na details za maana halafu gharama kubwa,haifiki hata nusu kwa ubora na details za sinema zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…