Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unajua ni nani?Unajua kwa uhakika filamu hiyo imegharamiwa na nani?
Ile ilikua agenda ya ku legalize kuwafukuza maasai ngorongoroTusidanganyike kirahisi wakuu, Kuna watu maarufu sana duniani kama David Beckham na mke wake walisha wahi kuja kula good time hapa nchini na wakazungukia vivutio vyetu miaka ya nyuma.
Pia kuna ma Rais wastaafu wa nchi kubwa kama US wamewahi kuja kula good time na kusepa, wasanii pia wamekuja wengi tu kabla ya Royal Tour.
Pia Kuna watalii toka nchi mbalimbali wamewahi kuja kwa makundi kupitia ndege na wengine toka Israel walikuja kupitia treni ya TAZARA wakianzia South Africa, Zambia na wakaja hapa zaidi ya 300 kwa mara 1.
Kwahiyo hii nchi na vivutio vyake vinajulikana kuliko hata hiyo filamu ya Royal Tour, kwa maoni yangu utalii wetu huchochewa sana na majarida kama Forbes, The Guinness World Records nk.
Ni bora zile pesa wangepewa wamiliki wa majarida hayo yanayo aminiwa na mamilioni ya wanadamu ili waweke vijitangazo katika kurasa zao za mitandaoni hata kwa dakika 15 tu.
Binafsi royal tour naona ni upigaji na namwelekeza CAG afanye special auditing na alete ripoti maramoja kuhusu chanzo cha zile fedha, matumizi yake, hao waliotoa walizipata wapi na wanategemea nini toka kwa steringi wa movie ile.
NakweliIle ilikua agenda ya ku legalize kuwafukuza maasai ngorongoro
Wakati mwingine jitahidi kutumia akili, si vibaya. Yani unaamini kwa sababu labda tulikuwa tunapata watalii 10 kupitia njia 'A' basi hatutakiwi kufanya mipango ya kupata wengine watano kupitia njia 'B'? Ili kuwafanya jumla wawe 10?Tusidanganyike kirahisi wakuu, Kuna watu maarufu sana duniani kama David Beckham na mke wake walisha wahi kuja kula good time hapa nchini na wakazungukia vivutio vyetu miaka ya nyuma.
Pia kuna ma Rais wastaafu wa nchi kubwa kama US wamewahi kuja kula good time na kusepa, wasanii pia wamekuja wengi tu kabla ya Royal Tour.
Pia Kuna watalii toka nchi mbalimbali wamewahi kuja kwa makundi kupitia ndege na wengine toka Israel walikuja kupitia treni ya TAZARA wakianzia South Africa, Zambia na wakaja hapa zaidi ya 300 kwa mara 1.
Kwahiyo hii nchi na vivutio vyake vinajulikana kuliko hata hiyo filamu ya Royal Tour, kwa maoni yangu utalii wetu huchochewa sana na majarida kama Forbes, The Guinness World Records nk.
Ni bora zile pesa wangepewa wamiliki wa majarida hayo yanayo aminiwa na mamilioni ya wanadamu ili waweke vijitangazo katika kurasa zao za mitandaoni hata kwa dakika 15 tu.
Binafsi royal tour naona ni upigaji na namwelekeza CAG afanye special auditing na alete ripoti maramoja kuhusu chanzo cha zile fedha, matumizi yake, hao waliotoa walizipata wapi na wanategemea nini toka kwa steringi wa movie ile.
Ukitaka kuua tembo mmiminie risasi za kutosha. Royal tour ni miongoni mwa risasi tu,Tusidanganyike kirahisi wakuu, Kuna watu maarufu sana duniani kama David Beckham na mke wake walisha wahi kuja kula good time hapa nchini na wakazungukia vivutio vyetu miaka ya nyuma.
Pia kuna ma Rais wastaafu wa nchi kubwa kama US wamewahi kuja kula good time na kusepa, wasanii pia wamekuja wengi tu kabla ya Royal Tour.
Pia Kuna watalii toka nchi mbalimbali wamewahi kuja kwa makundi kupitia ndege na wengine toka Israel walikuja kupitia treni ya TAZARA wakianzia South Africa, Zambia na wakaja hapa zaidi ya 300 kwa mara 1.
Kwahiyo hii nchi na vivutio vyake vinajulikana kuliko hata hiyo filamu ya Royal Tour, kwa maoni yangu utalii wetu huchochewa sana na majarida kama Forbes, The Guinness World Records nk.
Ni bora zile pesa wangepewa wamiliki wa majarida hayo yanayo aminiwa na mamilioni ya wanadamu ili waweke vijitangazo katika kurasa zao za mitandaoni hata kwa dakika 15 tu.
Binafsi royal tour naona ni upigaji na namwelekeza CAG afanye special auditing na alete ripoti maramoja kuhusu chanzo cha zile fedha, matumizi yake, hao waliotoa walizipata wapi na wanategemea nini toka kwa steringi wa movie ile.
pole ndo unastuka leo?Tusidanganyike kirahisi wakuu, Kuna watu maarufu sana duniani kama David Beckham na mke wake walisha wahi kuja kula good time hapa nchini na wakazungukia vivutio vyetu miaka ya nyuma.
Pia kuna ma Rais wastaafu wa nchi kubwa kama US wamewahi kuja kula good time na kusepa, wasanii pia wamekuja wengi tu kabla ya Royal Tour.
Pia Kuna watalii toka nchi mbalimbali wamewahi kuja kwa makundi kupitia ndege na wengine toka Israel walikuja kupitia treni ya TAZARA wakianzia South Africa, Zambia na wakaja hapa zaidi ya 300 kwa mara 1.
Kwahiyo hii nchi na vivutio vyake vinajulikana kuliko hata hiyo filamu ya Royal Tour, kwa maoni yangu utalii wetu huchochewa sana na majarida kama Forbes, The Guinness World Records nk.
Ni bora zile pesa wangepewa wamiliki wa majarida hayo yanayo aminiwa na mamilioni ya wanadamu ili waweke vijitangazo katika kurasa zao za mitandaoni hata kwa dakika 15 tu.
Binafsi royal tour naona ni upigaji na namwelekeza CAG afanye special auditing na alete ripoti maramoja kuhusu chanzo cha zile fedha, matumizi yake, hao waliotoa walizipata wapi na wanategemea nini toka kwa steringi wa movie ile.
Una uhakika? Hotel zilishajaa hadi desemba hakuna vyumba tena kiasi kwamba inaonyesha hatukufanya maandakizi ya accomodations ya influx ya watu..
Baadhi ya matunda ya Royal tour ni kuongezeka kwa safari za ndege Kwa idadi ya miruko na new destinations 👇
Wahusika wa sekta ya utalii ndio wanasema..unajuaje kwamba ongezeko hilo limetokana na royal tour?
..kwani hakuna wengine walioitangaza Tz kabla, wakati, na baada ya royal tour?
Utakuwa una matatizo yako binafsi Mkuu. Sio bureTusidanganyike kirahisi wakuu, Kuna watu maarufu sana duniani kama David Beckham na mke wake walisha wahi kuja kula good time hapa nchini na wakazungukia vivutio vyetu miaka ya nyuma.
Pia kuna ma Rais wastaafu wa nchi kubwa kama US wamewahi kuja kula good time na kusepa, wasanii pia wamekuja wengi tu kabla ya Royal Tour.
Pia Kuna watalii toka nchi mbalimbali wamewahi kuja kwa makundi kupitia ndege na wengine toka Israel walikuja kupitia treni ya TAZARA wakianzia South Africa, Zambia na wakaja hapa zaidi ya 300 kwa mara 1.
Kwahiyo hii nchi na vivutio vyake vinajulikana kuliko hata hiyo filamu ya Royal Tour, kwa maoni yangu utalii wetu huchochewa sana na majarida kama Forbes, The Guinness World Records nk.
Ni bora zile pesa wangepewa wamiliki wa majarida hayo yanayo aminiwa na mamilioni ya wanadamu ili waweke vijitangazo katika kurasa zao za mitandaoni hata kwa dakika 15 tu.
Binafsi royal tour naona ni upigaji na namwelekeza CAG afanye special auditing na alete ripoti maramoja kuhusu chanzo cha zile fedha, matumizi yake, hao waliotoa walizipata wapi na wanategemea nini toka kwa steringi wa movie ile.
[emoji23]Mama alichoka kujitazama kwenye ma taarifa ya Habari Kila siku akaona sio kesi Sasa awe Rambo wa unguja, Basi na ikawa hivo
She was both The Director,actress and Driver,na Bado akitizama Ana furahi Sana [emoji3] Movie aliyotengeneza mwenyewe
Ndio uwa wanachangiwa na wafanyabiashara majina yao kapuni kwa ajili ya matangazo? Waliomchangia wanapata nini?Cocacola na Pepsi si unazijua?Nike na Adidas je? Unajua bajeti yao ya kujitangaza? Hii ni biashara kazima pawe na matangazo constant.
Mama mwenyewe kapata kigugumizi kusema waliomchangia kuandaa iyo documentary ni nani na nani na wanapata faida ganiWakati mwingine jitahidi kutumia akili, si vibaya. Yani unaamini kwa sababu labda tulikuwa tunapata watalii 10 kupitia njia 'A' basi hatutakiwi kufanya mipango ya kupata wengine watano kupitia njia 'B'? Ili kuwafanya jumla wawe 10?
Ninyi ndio mnaongoza kuisifu Rwanda inavyojitangaza kwenye jezi za PSG, lakini Tanzania ikifanya tunakuwa na nongwa.
Hoja ya msingi ilikuwa ni kwa namna gani tuitumia Royal Tour kukuza utalii, ila sio kusema Royal Tour haikuhitajika na wala haina mchango wowote kwenye utalii wetu.