Mpaka sasa Royal Tour haijaleta manufaa yoyote nchini

Royal tour ni usanii mtupu. Ilikuwa ni njia ya kuhalalisha upigagi. Inasemekana walioshiriki kwa kwenye hiyo Royal tour wamekuwa matajiri ghafla.
 
Ile ilikua agenda ya ku legalize kuwafukuza maasai ngorongoro
 
Wakati mwingine jitahidi kutumia akili, si vibaya. Yani unaamini kwa sababu labda tulikuwa tunapata watalii 10 kupitia njia 'A' basi hatutakiwi kufanya mipango ya kupata wengine watano kupitia njia 'B'? Ili kuwafanya jumla wawe 10?

Ninyi ndio mnaongoza kuisifu Rwanda inavyojitangaza kwenye jezi za PSG, lakini Tanzania ikifanya tunakuwa na nongwa.

Hoja ya msingi ilikuwa ni kwa namna gani tuitumia Royal Tour kukuza utalii, ila sio kusema Royal Tour haikuhitajika na wala haina mchango wowote kwenye utalii wetu.
 
Ukitaka kuua tembo mmiminie risasi za kutosha. Royal tour ni miongoni mwa risasi tu,

"Visit Tanzania VS Visit Kilimanjaro"
 
pole ndo unastuka leo?
 

..unajuaje kwamba ongezeko hilo limetokana na royal tour?

..kwani hakuna wengine walioitangaza Tz kabla, wakati, na baada ya royal tour?
 
Utakuwa una matatizo yako binafsi Mkuu. Sio bure
 
Mama alichoka kujitazama kwenye ma taarifa ya Habari Kila siku akaona sio kesi Sasa awe Rambo wa unguja, Basi na ikawa hivo

She was both The Director,actress and Driver,na Bado akitizama Ana furahi Sana [emoji3] Movie aliyotengeneza mwenyewe
[emoji23]

Na usisahau na pesa katoa kumlipa producer
 
Cocacola na Pepsi si unazijua?Nike na Adidas je? Unajua bajeti yao ya kujitangaza? Hii ni biashara kazima pawe na matangazo constant.
Ndio uwa wanachangiwa na wafanyabiashara majina yao kapuni kwa ajili ya matangazo? Waliomchangia wanapata nini?

Takukuru walitakiwa kuchunguza hili
 
Mama mwenyewe kapata kigugumizi kusema waliomchangia kuandaa iyo documentary ni nani na nani na wanapata faida gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…