Ni kweli , kama DC mwenyewe halitambui what next ,Majaliwa, Mambo yaliratibiwa vizuri mpaka tukampumzisha mpendwa wetu chato.......kazi ziendelee kama Rais wetu Samia alivyoshauri.
Nota bene:wafiwa wangetazwamwa kwa jicho la huruma na kamati ya PM
Ni kweli kuna mtu anatakiwa kuwajibishwa , mana serikali iliwaita kwa matangazo katika TV na mabango kedekede... sio uzembe wa marehemu...siyo uzembe wao kwani serikali siilikuwa inawahamasisha na kuwa lazizimsha watu kujaa uwanjani kwa wingi kumuuanga mpendwa na watu wamekufa lazima wa wajibike
uliona wapi marehemu wanalipwa ? uhai wa mtu unalipwa na nini?Haya, kwahiyo marehemu walipwe? Na wao walikuwa wazembe..wapo walioona msongamano ni mkubwa wakaahirisha wakaondoka.
Mtu unaendaje sehemu Kama ile na watoto? Kwanza watoto kuaga maiti ni kuwaonea...halafu hata sio ndugu yao.
kwahiyo wewe ukifa ni mzoga si ndio? jua thamani ya binadamu utapata laana bureWameyataka wenyewe unawezaje kwenda kushangaa mzoga watu wengine bure kabisa.
Eti kwamfano wale pia niwaonee huruma?Hivi kulikuwa na ulazima gani kwa huyo mama kwenda kuaga na watoto wadogo.huyo denis ilikuwaje akamruhusu mkewe kwenda uwanjani na watoto wadogo
Hivi kulikuwa na ulazima gani kwa huyo mama kwenda kuaga na watoto wadogo.huyo denis ilikuwaje akamruhusu mkewe kwenda uwanjani na watoto wadogo
Nimekuelewa sana. Na mimi mawazo yangu ni hayo hayo. Hakukuwa na umuhimu wa kwenda na watoto hata kidogo. Hata watu wazima kukimbilia sehemu kama hiyo ni ujinga. Lakini hata kama walifanya makosa, serikali ina sehemu yake ya lawama. Walihimiza watu kwenda bila kufanya maandalizi ya kutosha. Halafu kingine. Waliokufa ni zaidi ya idadi inayotajwa. Kuna jamaa alikuwa anasema wanaweza kufkia hata 100.Haya, kwahiyo marehemu walipwe? Na wao walikuwa wazembe..wapo walioona msongamano ni mkubwa wakaahirisha wakaondoka.
Mtu unaendaje sehemu Kama ile na watoto? Kwanza watoto kuaga maiti ni kuwaonea...halafu hata sio ndugu yao.
Ni kweli. Mkuu wa Mkoa ndiye alikuwa anahimiza. Hili liwe fundisho kwa watanzania. Wasipenda kutumika kama ngazi. Magufuli alikuwa kiongozi katili. Hakuna aliyethubutu kumsema na walimsema walikiona cha moto. Watu badala ya kususia ili kutoa fundisho kwa viongozi wengine wakakubali kutumika. Inasikitisha wamekufa na hakuna anayewajali.siyo uzembe wao kwani serikali siilikuwa inawahamasisha na kuwa lazizimsha watu kujaa uwanjani kwa wingi kumuuanga mpendwa na watu wamekufa lazima wa wajibike
Utaratibu haukuwa mzuri vinginevyo kusingetokea maafa.uzembe wa nani labda... msimamizi au alienda kuaga kumbuka walisema utaratibu mzuri umepangwa kwanini itokee hivyo?
huo ndio ukweli , unaalika watu kumbe hujajipangaNimekuelewa sana. Na mimi mawazo yangu ni hayo hayo. Hakukuwa na umuhimu wa kwenda na watoto hata kidogo. Hata watu wazima kukimbilia sehemu kama hiyo ni ujinga. Lakini hata kama walifanya makosa, serikali ina sehemu yake ya lawama. Walihimiza watu kwenda bila kufanya maandalizi ya kutosha. Halafu kingine. Waliokufa ni zaidi ya idadi inayotajwa. Kuna jamaa alikuwa anasema wanaweza kufkia hata 100.
toka lini shetani akamuonea huruma mwanadamuEti kwamfano wale pia niwaonee huruma?
Kama kweli watu waliona Magufuli ni katili wasingejitokeza, waliojitokeza ni kwa mapenzi yao kwake. Walioona ni katili hawakujishughulisha kwenda.Ni kweli. Mkuu wa Mkoa ndiye alikuwa anahimiza. Hili liwe fundisho kwa watanzania. Wasipenda kutumika kama ngazi. Magufuli alikuwa kiongozi katili. Hakuna aliyethubutu kumsema na walimsema walikiona cha moto. Watu badala ya kususia ili kutoa fundisho kwa viongozi wengine wakakubali kutumika. Inasikitisha wamekufa na hakuna anayewajali.
Mzoga ni wamnyama. Binaadam ni maitiWameyataka wenyewe unawezaje kwenda kushangaa mzoga watu wengine bure kabisa.
Msitupigie kelele nyie wanyonge, Kuna mtu aliwalazimisha kwenda uwanjani?Kuisha kwa maombolezo ya JPM ndio mwanzo maombolezo ya familia husika zilizopoteza wapendwa wao.