Mpaka sasa Serikali ipo kimya juu ya Watu 49 pamoja na watu sita wa familia moja waliofariki wakimuaga Rais Magufuli

Mpaka sasa Serikali ipo kimya juu ya Watu 49 pamoja na watu sita wa familia moja waliofariki wakimuaga Rais Magufuli

Majaliwa, Mambo yaliratibiwa vizuri mpaka tukampumzisha mpendwa wetu chato.......kazi ziendelee kama Rais wetu Samia alivyoshauri.

Nota bene:wafiwa wangetazwamwa kwa jicho la huruma na kamati ya PM
Ni kweli , kama DC mwenyewe halitambui what next ,
 
siyo uzembe wao kwani serikali siilikuwa inawahamasisha na kuwa lazizimsha watu kujaa uwanjani kwa wingi kumuuanga mpendwa na watu wamekufa lazima wa wajibike
Ni kweli kuna mtu anatakiwa kuwajibishwa , mana serikali iliwaita kwa matangazo katika TV na mabango kedekede... sio uzembe wa marehemu...
 
Haya, kwahiyo marehemu walipwe? Na wao walikuwa wazembe..wapo walioona msongamano ni mkubwa wakaahirisha wakaondoka.
Mtu unaendaje sehemu Kama ile na watoto? Kwanza watoto kuaga maiti ni kuwaonea...halafu hata sio ndugu yao.
uliona wapi marehemu wanalipwa ? uhai wa mtu unalipwa na nini?
 
Wameyataka wenyewe unawezaje kwenda kushangaa mzoga watu wengine bure kabisa.
 
Hivi kulikuwa na ulazima gani kwa huyo mama kwenda kuaga na watoto wadogo.huyo denis ilikuwaje akamruhusu mkewe kwenda uwanjani na watoto wadogo
Eti kwamfano wale pia niwaonee huruma?
 
Ujuha tu
Hivi kulikuwa na ulazima gani kwa huyo mama kwenda kuaga na watoto wadogo.huyo denis ilikuwaje akamruhusu mkewe kwenda uwanjani na watoto wadogo
 
Haya, kwahiyo marehemu walipwe? Na wao walikuwa wazembe..wapo walioona msongamano ni mkubwa wakaahirisha wakaondoka.
Mtu unaendaje sehemu Kama ile na watoto? Kwanza watoto kuaga maiti ni kuwaonea...halafu hata sio ndugu yao.
Nimekuelewa sana. Na mimi mawazo yangu ni hayo hayo. Hakukuwa na umuhimu wa kwenda na watoto hata kidogo. Hata watu wazima kukimbilia sehemu kama hiyo ni ujinga. Lakini hata kama walifanya makosa, serikali ina sehemu yake ya lawama. Walihimiza watu kwenda bila kufanya maandalizi ya kutosha. Halafu kingine. Waliokufa ni zaidi ya idadi inayotajwa. Kuna jamaa alikuwa anasema wanaweza kufkia hata 100.
 
siyo uzembe wao kwani serikali siilikuwa inawahamasisha na kuwa lazizimsha watu kujaa uwanjani kwa wingi kumuuanga mpendwa na watu wamekufa lazima wa wajibike
Ni kweli. Mkuu wa Mkoa ndiye alikuwa anahimiza. Hili liwe fundisho kwa watanzania. Wasipenda kutumika kama ngazi. Magufuli alikuwa kiongozi katili. Hakuna aliyethubutu kumsema na walimsema walikiona cha moto. Watu badala ya kususia ili kutoa fundisho kwa viongozi wengine wakakubali kutumika. Inasikitisha wamekufa na hakuna anayewajali.
 
Nimekuelewa sana. Na mimi mawazo yangu ni hayo hayo. Hakukuwa na umuhimu wa kwenda na watoto hata kidogo. Hata watu wazima kukimbilia sehemu kama hiyo ni ujinga. Lakini hata kama walifanya makosa, serikali ina sehemu yake ya lawama. Walihimiza watu kwenda bila kufanya maandalizi ya kutosha. Halafu kingine. Waliokufa ni zaidi ya idadi inayotajwa. Kuna jamaa alikuwa anasema wanaweza kufkia hata 100.
huo ndio ukweli , unaalika watu kumbe hujajipanga
 
Sopinto kubali kataa waliopoteza maisha pole kwao ila wao ndio hawakujaki uhai wao tangu lini mtoto anaaga maiti isiyo ya mzazi wake
 
Ni kweli. Mkuu wa Mkoa ndiye alikuwa anahimiza. Hili liwe fundisho kwa watanzania. Wasipenda kutumika kama ngazi. Magufuli alikuwa kiongozi katili. Hakuna aliyethubutu kumsema na walimsema walikiona cha moto. Watu badala ya kususia ili kutoa fundisho kwa viongozi wengine wakakubali kutumika. Inasikitisha wamekufa na hakuna anayewajali.
Kama kweli watu waliona Magufuli ni katili wasingejitokeza, waliojitokeza ni kwa mapenzi yao kwake. Walioona ni katili hawakujishughulisha kwenda.
Haikuwa ni lazima kwenda. Wengi tulibaki nyumbani na kuendelea na shughuli zetu Kama kawaida.
.
.
Mbona wewe hukwenda? Au hukuhimizwa?
 
Wengi wanaita uzembe uzembe kwasababu misiba hiyo haiwahusu. Okay sawa ni uzembe kwa walioenda na watoto na walioenda bila watoto na ni watu wazima kabisa wakapoteza maisha pia.

Serikali ingewajibika katika hili, ni vile mtu akisikia na kuhakikishiwa usalama wake na serikali hivi unadhani mwananchi huyu atashindwa kwenda na kahakikishiwa ulinzi. Ni uzembe wa serikali kutokua na utaratibu maalum na kujaza uwanja bila maheaabu yoyote wakaruhusu tu watu wajazane. Mbona chato walitoa tahadhari mapema kuna maafa yalitokea?? Lakini huku hakuna tahadhari yoyote zaidi ya kusisitiza wananchi wajitokeze kwa wingi.

Kuna mdau hapo kagusia ajali ya morogoro, ile ajali haikua kwa ajili ya jamno fulani la kitaifa/binafsi lililoandaliwa na serikali au taasisi ni ajali tu kazini. Lakini hii ni uzembe wa kutopanga mambo vizuri.
 
Kuisha kwa maombolezo ya JPM ndio mwanzo maombolezo ya familia husika zilizopoteza wapendwa wao.
Msitupigie kelele nyie wanyonge, Kuna mtu aliwalazimisha kwenda uwanjani?
 
Wazazi ndiyo wakulaumiwa,wala siyo serikali

Ova
 
Back
Top Bottom