Mpaka sasa sijaona mchezaji Kama Ronaldinho (GAUCHO)

wakati anachipukia alieonekana kama mrithi wa Ronaldo ndo maana wakamuita hivyo
Ronaldo alikua na kipi cha maana zaidi ya kuekewa akiwa amebaki yeye na kipa au goli tupu na kufunga kitu ambacho ata zlatan anafanya pale manchester? Acheni kumlinganisha gaucho na vitu vya ajabu ajabu
 
Huyu gaucho angeufanya mpila uwongee.ktk ulikwengu huu hakuna kama gaucho hapo wakina zifane,rivaldo,delima,nedved wanafuata nyuma.gaucho is the best master in footbal
 
wengi humu wamezaliwa juzi.

nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....
Hawamfikii yule fundi.acha ubishi.gaucho alikuwa ni burudani.
 
wengi humu wamezaliwa juzi.

nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....
Kwenye hiyo list ongeza na majina haya, Michael Laudrup, Davor Suker, Paul Gascoine na Eric Cantona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…