Mpaka sasa sijaona mchezaji Kama Ronaldinho (GAUCHO)

Gaucho hana mfano! Nilipenda kuangalia mechi za barca enzi hizo lengo likiwa nimuone saint gaucho akicheza na nilitamani wampe Paso zote ili niweze kufaidi utundu wake... Kuna ndugu yangu mmoja humu anaitwa Gang Chomba yeye ndio anaweza kumuelezea Gaucho vizuri.. Huyo jamaa alicheza mpira Wa sayari ingine bana.. Tuache tu mungu aitwe mungu!
 
Tumchukie kwa lipi? si afadhali useme arsenal ndo wamchukie, maana kila msimu anawadhalilisha
Ndo hapo sasa nashangaa sijui kwanini mnamchukia Messi wakati ilibidi Arsenal ndo wamchukie.
 
Mpaka Leo naishabikia Barca, sababu moja wapo ni Gaucho
 
wengi humu wamezaliwa juzi.

nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....
Kiburudani, Gaucho mwisho wa matatizo.Ila kiufundi Zizou baba.Ilifika wakati Vicente aliwaambia wachezaji wa Madrid kuwa ukikosa sehemu ya kupiga mpira mpe Zizou bila kujali yupo eneo gani
 
Kiburudani, Gaucho mwisho wa matatizo.Ila kiufundi Zizou baba.Ilifika wakati Vicente aliwaambia wachezaji wa Madrid kuwa ukikosa sehemu ya kupiga mpira mpe Zizou bila kujali yupo eneo gani
mwaka 1998..hata rogger romere aliwaambia wafaranza
 
Kweli wakuu kipenzi cha watu, anae jua anajua tu, waigaji wengi ila hapo wao huyo.
 

Aliuita mpira ukaja...
Kisha akauamuru uende anakotaka bila hata ya kuangalia...
 
Acha uzembe ww,ww ni mshabiki wa mpila au wa lagbi kama sihivyo bac utakuwa mcheza kombolela.uwezi kumfananisha Ronaldo delima na zlatan na bado ukasema zlatan ni bola kuliko Ronaldo,huyo unayesema ni bola ktk getolake anamapicha kibao ya delima na ndo mtu anayemuhusudu ktk soka kwa upande wa namba 9.
 
Halaf huyu jamaa si naskia asaiv Mbao fc wanamhitaj
 
Binafs Zlatan namkubali sanaaaa, ila n upuuzi kumlinganisha na De lima ukiwa yy mwenyewe ndo Anatamka as his best # 9 stricker, kdg umfananishe na Henry14, japo nabisha badoo.
 
Gaucho aliku ana amazing skills, mimi pia ndo mchezaiji ambaye nilikua niki mhusudu xana, lakini ktk skills hizo hizo no one can match Super Austin Jay Jay Okocha,kila skills au vimbwanga maufundi ktk mechi sio mazoeini,naongelea official mechi alikua anapiga ajabu, utofauti tuu nikua Okocha hakucheza kwenye timu bora kama Gaucho alivyocheza kwenye timu yenyeviingo kama Iniesta, Xavi,Requelmy,Deco, Mimi namkubali xana the one & only The Elphenomeno Ronaldo De Lima
 
hatarihatarihatari eheehe hakunaga kama dino dino yaani unalipa kiingilio miezi 8 kabla ya mechi no one yaani unipige uniue namwacha manzi ndani nakwenda kumwangalia dino saizi nacheka eti nesi eti christian nononono
 
Kakukataa mwenyewe
 
hatarihatarihatari eheehe hakunaga kama dino dino yaani unalipa kiingilio miezi 8 kabla ya mechi no one yaani unipige uniue namwacha manzi ndani nakwenda kumwangalia dino saizi nacheka eti nesi eti christian nononono

Angalia kilichotumwa hapo chini,, ndio ukubali gaucho ni mchumba kwa Messi. Tena mwenyewe amekiri bisha tena. Maana wabongo kwa ubishi tu hawajambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…