Mpaka sasa sijaona mchezaji Kama Ronaldinho (GAUCHO)

Inamana huyo messi mpira hua anachezea uvunguni!! Yan amejichora mitattoo kama gazeti na mablich kichwan halafu unasema sio sharobaro....mahaba yakizid yanaua

Sent using Jamii Forums mobile app


Mswahili=mahaba niuwe

Hivi huwa unajuwa maana ya sharobaro kweli? kubishana na vijana mlioanza kufuatilia mpira juzi tu ni kujipa stress za bure...

Messi
Maradona
Johan Cruiff
Alfredo de stefano
Puskas
Pele
Redondo
Zidane

Marco Van Basten



Umewafuatilia hawa mafundi??? Huyo gaucho wako kwa zidane tu hafui dafu kwa Messi na wenzie hapo juu ataweza!! Unachekesha bwana mdogo 😀chenga za bila magoli zinafaida gani kwa timu,tena vimechi vyenyewe kadhaa tu kaonekana... huo ni ulimbukeni tu 😀



Kama wewe ni kidume kweli kweli niwekee hapa mafanikio yake katika ligi 3 kubwa alizowahi kucheza, nami nitakuletea za kwangu! Usikimbie tu bwana mdogo!
 
Wekeni clips za okocha tuone wakuu!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimegundua huku wengi mmezaliwa juzi aisee..ukiwa umeangalia mpira wa kuanzia 1998 hadi 2006 huezi msifu kuwa messi ni zaidi ...hebu tafakari hawa zidane....batistuta....figo ....rivaldo...Redondo... Delima ...sedolf...ronaldhino...Paul scholes Stevenevenberg ..Janka.. Nuno gomes Pereira ...denilson ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think this is the most entertaining player to watch the world has ever witnessed. Jamaa anajua aisee. Messi and Ronaldo are very good players, but this guy was exceptional.

Sent using Jamii Forums mobile app
"He is extraordinary ordinary talented guy" in mwl kashsh voice😂😂😂😂
 
Wakumfananisha messi na mchezi yyte anaecheza soka kipindi cha miaka 20 nyuma ni kumkosea adab,mwomben radhi
Nakushauri uangalie youtube za hao wachezaji wawili halafu utaeleza nani ni master. Messi mwenyewe anakiri kuwa alikuwa inspired na Ronaldinho akiwa bado hajaingia kwenye timu ya wakubwa. Pamoja na mafanikio makubwa aliyoyapata Messi at the very top hajaweza kuyafanya yale yaliyokuwa yakifanywa na Dinho akiwa uwanjani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…