Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,690
- Thread starter
-
- #21
INAWEZEKANA! Jamaa alikuwa akishika mpira unapenda uendelee kumwona, mbwembe, matumizi ya mwili, chenga, aaaah ukweli hakuna kama Gaucho mpaka sasa.
Umenena iliyokweli.Gaucho alikuwa ni zawadi ya buridani toka kwa Mungu, alikuwa ni entertiner alikuwa ni zaid ya mwana michezo
Hakukuwa na anaye mfikia kipindi chake Ron
dinho was the beast ,simple as abc
Jamaa anaweza kuwa timu pinzani na yako lakini akipata mpira unaweza kumshangilia.Gaucho alikuwa mtamu sana, ni mcjezaji aliyekuwa akipendwa kuliko wote
just jokes, mhusika kanielewa ndo maana hajamindAcha ushamba na ulimbukeni, kwako simu ni ishu kubwa?
Mkuu wewe kweli unafuatilia mpira.Hakika na sijui lini atazaliwa tena, yule jamaa alikua fundi bana
Ni kweli mkuu wengi tumezaliwa miaka ya tisini lakini bado haiondoi ukweli kuwa Gaucho ni mchezaji Bora.wengi humu wamezaliwa juzi.
nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....
ngoja nifanye uchungu kisha nitakuja kukupinga planetbongo.comZIDANE NDIO ALIKUWA MWIBA ZAIDI YA WOTE
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
kwani kuna ubaya gani?planetbongo.commkuu bado unatumia p5 mpaka leo.? aibu
sio kweli planetbongo.comJJ okocha never seen
mpira upo kwenye damu yako mkuu planetbongo.comBasi nakushauri uangale video zao.
Kwenye vipengele hizi;
1. Dribbling
2. Ball control
3. Pasi
umejuaje kama ni wajuzi?planetbongo.comMkuu kumbe na wewe wa juz tu
Mkuu ingia You tube mwenyewe ujionee. Achana na maneno ya umri hapa hayasaidii.Mtoto wa juz kwel ww na nilicho gundua huwa unaangalia mech kubwa tuu. Hv kwel wewe unamjua Jay Jay Okocha, Gaucho mwenyewe kwa kinywa chake anakili kujifunza mambo kwa Okocha
ngoja nifanye uchungu kisha nitakuja kukupinga planetbongo.com
kwani kuna ubaya gani?planetbongo.com
sio kweli planetbongo.com
mpira upo kwenye damu yako mkuu planetbongo.com
umejuaje kama ni wajuzi?planetbongo.com
Habari Wakuu!
Tokea ninakua mpaka sasa bado sijawahi ona ona mchezaji Mpira anayemfikia GAUCHO kwa ubora.
kwa wanaomjua Gaucho wataungana na Mimi na hawatanishangaa nikimkubali huyu mchezaji ambaye wataalamu tunamuita Mchawi wa Soccer.
Gaucho alikuwa mahiri kwa kuukontroli Mpira. Alikuwa anauwezo wa kuuweka mpira sehemu yoyote ya mwili.
Aidha Mbrazili huyu kwenye swala za dribbling bado hakuna anayemkamata.
Hutotamani mpira uondoke mguuni mwake pindi afanyapo mambo yake.
Gaucho ni miongoni mwa Wachezaji wakali kuwahi kutokea duniani.
Je wewe unadhani ni nani anayemkaribia huyu Mchawi wa Soccer kwa maana kwa wakumzidi bado hayupo.
Mada zake zimeshakua nyingi humu, ifike muda heshima yake ibaki kama ilivyo. Ni dhambi kumfananisha Gaucho, na kiumbe yeyote anaevuta au anaetumia oksijeni ni mmoja kati ya watu bora zaidi kutokea kwenye sayari hii. Nafahamu ni watu wachache ndio wataelewa nilichomaanisha.