Mpaka sasa sijaona mchezaji Kama Ronaldinho (GAUCHO)

Nashukuru Mkuu kwa kuweka na video kabisa maana nilikuwa nashindwa huku.
 
Reactions: BAK
Labda kwa sbb Mweusi mwenzetu lkn huwezi muweka size za Zidane ndio owe na gaucho
J J Okocha alikuwa mzuri kibongo bongo lakini sio level ya Kina Gaucho.

Wakina Messi, C. Ronaldo wanamtoa nje ya duara
 
Uwezo wa OKocha nisawa namguummoja wa Dinyo, Alichokua anafanya Dinyo si kucheza soka bali ni sanaa yakucheza soka. Nahisi Dinyo alipokua akicheza mechi kuna baadhi ya malaika uko mbinguni walikua wanaangalia anavyo cheza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…