Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,690
- Thread starter
-
- #61
Japo wanacheza na Mimi nawaweka Kama wafunga mabao tuu.Nakuunga mkono asilimia buku 1000 si hawa akina Messi wanaobebwa na media.
Hahaaaaaa!Uwezo wa OKocha nisawa namguummoja wa Dinyo, Alichokua anafanya Dinyo si kucheza soka bali ni sanaa yakucheza soka. Nahisi Dinyo alipokua akicheza mechi kuna baadhi ya malaika uko mbinguni walikua wanaangalia anavyo cheza.
Upo makini Mkuu.C. Ronaldo anamzid mess bu baba yao ni gaucho , hadi kufa
Upo sahihi kabisa.Gaucho baba wa dunia kisoka, but kidogo kwa sasa alikua c. Ronaldo but hawa wengine sijui ndo mess amna kitu mpira brazil na ureno.
Yule mpumbavu anaujua mpira hadi mpira haujui kama unajuliwa na huyu mpumbavu...!!!! Tena hapo umenifanya nitafute team anayechezea nianze kumfatilia kwa kutumia program yangu kwenye PCJapo wanacheza na Mimi nawaweka Kama wafunga mabao tuu.
Ila mpira ni zaidi ya kufunga goli. Na ndicho jamaa anachokionyesha
Hahahaaha!!Yule mpumbavu anaujua mpira hadi mpira haujui kama unajuliwa na huyu mpumbavu...!!!! Tena hapo umenifanya nitafute team anayechezea nianze kumfatilia kwa kutumia program yangu kwenye PC
Hahahah sawa bwana mkuu...!!!!Hahahaaha!!
Jamaa ni chizi wa mpira yule.
Kuna mambo anayafanya mpaka watu wanataka iundwe tume ya uchunguzi kuwa huenda anatumia ving'amuzi vya computer
Nikajua utawataja akina kubala, garincha, Socrates, Di Stefano etc na wewe umetaja wachezaji wa juzi.wengi humu wamezaliwa juzi.
nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....
Mmmmmh!!jamii forum mna matatizo mno siyo kama hamna mchezaji kama ronaldo bali sema hakuna mwanamke kama ronaldo
Bado chipukizi wanajitahidi Sana angalau kufikia uwezo wa huyu chizi wa mpiraKwani nan anaweza kile alifanya miaka yake ya soka,