Mpaka sasa sijaona mchezaji Kama Ronaldinho (GAUCHO)

"Mpaka sasa sijaona mchezaji kama Ronaldinho"

Tuanzie kwanza kwenye kichwa chako cha habari.. Umeanza kuona/kuangalia mpira lini kwanza?

Siongelei clips za youtube nataka kufahamu ni mwaka gani hasa umeanza kufuatilia mpira live?
 

Unafurahisha
 
LIONEL MESSIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.

Fatilieni records na stats afu mrudi hapa. Tuweke hisia pembeni
Messi ni chalii kwa GAUCHO mkuu.
Tunapozungumzia mpira tunazingatia.
1.ball control
2. Dribbling/vyenga
3. Energy/pumzi
4. Nguvu.
5. Ufungaji wa magoli.
6. Ugawaji pasi.

Sasa utaniambia mwenyewe Messi amepunguka wapi.

Gaucho alikuwa ananguvu na kontrol ya mpira ndio maana alikuwa anapenda Sana mipira ya juu. Iwe kupiga mtu kanzu, kuweka kwa Kifua n.k.
Wakati Messi hutumia zaidi mipira ya chini zaidi kuliko ya juu kumaanisha anajua hana nguvu/msuli wa kuzuia adui asichukue mipira yake ya juu na uhafifu wa kontrol wa mipira ya juu.

Aidha Messi anatumia zaidi mguu mmoja wa kushoto wakati Gaucho anatumia yote.

Messi anachoweza kumzidi Gaucho pengine ni ufungaji wa Magoli unaosababishwa na ushindani wake na Ronaldo lakini Kama Gaucho angekuwa na mpira wa ushindani basi historia ingekuwa nyingine kwani jamaa angekuwa mfungaji ambaye hakuna ambaye angemfikia
 
Mkuu, zidane alikuwa mchezaji mzuri sana walikuwa wanaweza kwenda sawa tu na gaucho. okocha pia alikuwa mzuri. hao kina Mesi na Ronaldo wa ureno ni bidii na bahati tu ila sio kipaji cha kuzaliwa nacho.
 
"Mpaka sasa sijaona mchezaji kama Ronaldinho"

Tuanzie kwanza kwenye kichwa chako cha habari.. Umeanza kuona/kuangalia mpira lini kwanza?

Siongelei clips za youtube nataka kufahamu ni mwaka gani hasa umeanza kufuatilia mpira live?
2004.

We unadhani kwa nini hata hapa JF Watu wengi hufikiri kuwa Gaucho ni mchezaji bora ambaye hana Spare yake.
 
Mkuu, zidane alikuwa mchezaji mzuri sana walikuwa wanaweza kwenda sawa tu na gaucho. okocha pia alikuwa mzuri. hao kina Mesi na Ronaldo wa ureno ni bidii na bahati tu ila sio kipaji cha kuzaliwa nacho.
We unajua mpira Mkuu.
Safi Sana.
 
Hapa JF akichukua sitashangaa wengi ni mashabiki hawajui mpira.
Huko ulaya kwenye 10 bora utakutana na majina haya huku 1-3 wakibadilishana Messi, Maradona na Pele.
Huku nafasi zilizo baki utakutana na haya majina.
Best
Platin
Gerd Muller
Eusebio
Lothar Matthaurs
Puskas
Garrincha
Cruyff
Beckenbauer
Di Stefano
Zidane

Huyo Ronaldinho huko Brazil kwenyewe top 3 hayupo kuna akina De lima, Pele, Garrincha.
Ataingia Top ten ya Dunia kweli.!?!?
Labda top 10 ya shafii dauda.
 
wengi humu wamezaliwa juzi.

nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....

P 5
 
hapo sasa unafosi nipende unachotaka wewe
pia hizo videos ziko kwa ajili ya biashara kule youtube ubora wa mchezaji unapimwa kwa mechi sio clips
sijakataa kuwa Ronaldinho si mchezaji mzuri don't quote me wrong braza
We unadhani ni vigezo gani vinamfanya mchezaji awe bora kuliko wengine?

Umesahau na suala la Promo, wachezaji wengi hufanyiwa promo na kusapotiwa akiwemo Ronaldo, messi.
Hawa hutumia bidii zao na wala si kipaji cha kuzaliwa
 

Sina cha kuongeza hapo
 
Ronaldinho hakuna anayemfikia, ile computer.
Ni kweli mkuu.
Jamaa hafanyi bidii lakini yupo vizuri.
Unaambiwa jamaa anasifa ya uzembe na kudoji mazoezi lakini mambo ndio yale tuyaonayo.
Jamaa anakipaji cha kuzaliwa
 
Upo vizuri mkuu.
Sasa hivi unaweza kuangalia mpira ukapatwa na usingizi lakini si zamani
 
wengi humu wamezaliwa juzi.

nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....
Wewe mwenyewe umezaliwa Jana halafu unasema wenzio... Angalau ungetutajia akina maradona baggio klinsmaan... Tumekuona kidogo na wewe u mtu mzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…