Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hivi Leo FIFA iweke majina kumi ya wachezaji bora kuwahi kutokea duniani huwezi kuamini Ronaldinho anachukua nafasi ya Kwanza.
Hakuna ambaye hajui kiwango cha jamaa.
We angalia hata hapa JF uone jamaa uwezo wake unavyokubalika. Pia wachezaji wengine hufanya mambo ya kawaida ambayo hata mtanzania wa Timu ya Libolo huweza kufanya. Tofauti na Gaucho ambaye hufanya vitu ambavyo wengi sio rahisi kufanya.
huwezi kuwafanyanisha wachezaji wanaocheza nafasi mbili tofauti uwanjaniSawa lkn hamfikii gaucho
Messi ni chalii kwa GAUCHO mkuu.LIONEL MESSIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII.
Fatilieni records na stats afu mrudi hapa. Tuweke hisia pembeni
Mkuu, zidane alikuwa mchezaji mzuri sana walikuwa wanaweza kwenda sawa tu na gaucho. okocha pia alikuwa mzuri. hao kina Mesi na Ronaldo wa ureno ni bidii na bahati tu ila sio kipaji cha kuzaliwa nacho.Habari Wakuu!
Tokea ninakua mpaka sasa bado sijawahi ona ona mchezaji Mpira anayemfikia GAUCHO kwa ubora.
kwa wanaomjua Gaucho wataungana na Mimi na hawatanishangaa nikimkubali huyu mchezaji ambaye wataalamu tunamuita Mchawi wa Soccer.
Gaucho alikuwa mahiri kwa kuukontroli Mpira. Alikuwa anauwezo wa kuuweka mpira sehemu yoyote ya mwili.
Aidha Mbrazili huyu kwenye swala za dribbling bado hakuna anayemkamata.
Hutotamani mpira uondoke mguuni mwake pindi afanyapo mambo yake.
Gaucho ni miongoni mwa Wachezaji wakali kuwahi kutokea duniani.
Je wewe unadhani ni nani anayemkaribia huyu Mchawi wa Soccer kwa maana kwa wakumzidi bado hayupo.
2004."Mpaka sasa sijaona mchezaji kama Ronaldinho"
Tuanzie kwanza kwenye kichwa chako cha habari.. Umeanza kuona/kuangalia mpira lini kwanza?
Siongelei clips za youtube nataka kufahamu ni mwaka gani hasa umeanza kufuatilia mpira live?
Anayefuata je?Hakuna kama Gaucho
We unajua mpira Mkuu.Mkuu, zidane alikuwa mchezaji mzuri sana walikuwa wanaweza kwenda sawa tu na gaucho. okocha pia alikuwa mzuri. hao kina Mesi na Ronaldo wa ureno ni bidii na bahati tu ila sio kipaji cha kuzaliwa nacho.
Hapa JF akichukua sitashangaa wengi ni mashabiki hawajui mpira.Mkuu hivi Leo FIFA iweke majina kumi ya wachezaji bora kuwahi kutokea duniani huwezi kuamini Ronaldinho anachukua nafasi ya Kwanza.
Hakuna ambaye hajui kiwango cha jamaa.
We angalia hata hapa JF uone jamaa uwezo wake unavyokubalika. Pia wachezaji wengine hufanya mambo ya kawaida ambayo hata mtanzania wa Timu ya Libolo huweza kufanya. Tofauti na Gaucho ambaye hufanya vitu ambavyo wengi sio rahisi kufanya.
wengi humu wamezaliwa juzi.
nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....
We unadhani ni vigezo gani vinamfanya mchezaji awe bora kuliko wengine?hapo sasa unafosi nipende unachotaka wewe
pia hizo videos ziko kwa ajili ya biashara kule youtube ubora wa mchezaji unapimwa kwa mechi sio clips
sijakataa kuwa Ronaldinho si mchezaji mzuri don't quote me wrong braza
Hapa JF akichukua sitashangaa wengi ni mashabiki hawajui mpira.
Huko ulaya kwenye 10 bora utakutana na majina haya huku 1-3 wakibadilishana Messi, Maradona na Pele.
Huku nafasi zilizo baki utakutana na haya majina.
Best
Platin
Gerd Muller
Eusebio
Lothar Matthaurs
Puskas
Garrincha
Cruyff
Beckenbauer
Di Stefano
Zidane
Huyo Ronaldinho huko Brazil kwenyewe top 3 hayupo kuna akina De lima, Pele, Garrincha.
Ataingia Top ten ya Dunia kweli.!?!?
Labda top 10 ya shafii dauda.
Ni kweli mkuu.Ronaldinho hakuna anayemfikia, ile computer.
Upo vizuri mkuu.Kwa kizazi cha karibuni cha wachezaji wenye vionjo uwanjani gaucho ndo kaondoka navyo maana wachezaji wa zama hizi wao nikukimbiza tu.ila hapo nyuma gaucho alitanguliwa na mafundi kama kina maradona,okocha,zidane,rivaldo nedved nawakali wengine we sema miaka iyo mafundi walikua wengi na hakukuwa na mbwembwe nyingi za kupambana kama miaka ya hivi karibuni ndo maana huwez kuwasikia sana au hata taarifa zao zinaonekana za kawaida.Hata hapa bongo miaka ya nyuma ndo kulikua na soka safi,kulikua na kina thomas kipese,madaraka suleiman,zamoyon mogela,edward chumila,nteze john,edibil lunyamila,geo masatu namafundi wengine ila ndo ivyo pamoja na soka lao kubwa bado historia yao inaonekana ya kawaida kwasababu ya zama.Kwaiyo naunga mkono hoja nikizingatia na wakati.
Wewe mwenyewe umezaliwa Jana halafu unasema wenzio... Angalau ungetutajia akina maradona baggio klinsmaan... Tumekuona kidogo na wewe u mtu mzima.wengi humu wamezaliwa juzi.
nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....
Hahahaaaa!!Wewe mwenyewe umezaliwa Jana halafu unasema wenzio... Angalau ungetutajia akina maradona baggio klinsmaan... Tumekuona kidogo na wewe u mtu mzima.
OkochaAnayefuata je?
Ongeza tuu MkuuSina cha kuongeza hapo