Mpaka sasa sijaona mchezaji Kama Ronaldinho (GAUCHO)

Hv kati ya Ronaldo de lima na Ronardinho nani alikua mkali zaid
Kila mmoja ni mkali katika nafasi yake. Ronaldo de Lima alikuwa namba tisa yenye madhara ambapo mpaka sasa dunia imekosa mtu kama huyo.
Ronaldinho ni moto mwingine kwenye kiungo na ni mchezaji mwenye 'individual' zenye faida kwa timu katika dunia ya soka ya sasa hakuna mchezaji wa staili ya Ronaldinho.
 

Mkuu unaweza kuwa sahihi kwa upande mwingine, ogopa sana kitu kinachoitwa media sababu kina control the minds of masses.

Katika watu ambao media hazikuwa fanyia fair ni pamoja na J.J okocha na nna fikiri sababu kubwa iliyofanya yeye kukosa coverage ya kutosha na pamoja na timu alizochezea, katika maisha yake ya soka timu kubwa pekee aliyochezea ni PSG tena kipindi bado na yenyewe ni middle table team huko kwao.

Kwa hiyo sasa siwezi kukataa sana mtu anaponiambia Gaucho ana vitu ambavyo Okocha hana.

Ila tu ifahamike kuwa walipokuwa kuwa wote PSG Dinho alitumia muda mwingi mazoezini kujifunza kile alichokuwa anafanya Okocha kwenye mechi. Na pia vile vile Zidane aliwahi kukaririwa akisema kila akimwangalia Okocha uwanjani anajiona yeye hajui chenga na bado anahitaji kujifunza.
 
Ahsante na huyo pere je maana sijawahi kushuhudia mechi zake ila nasikia sifa zake tu
 
Bila shaka utakua Shabiki wa Manchester United wewe.......ndo maana huwa unalala kwenye mechi coz mmepotea saizi

Ahahahahaha...... Mashabiki wa man u wengi ni madrid sasa hivi wameitelekeza timu yao.
 
Umeandika tu uko ulaya bila ya kutoa reference
Reference ya rank yako ni ipi?kwa stats zipi?
 
wengi humu wamezaliwa juzi.

nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....
Hapo sijamuona huyo Stephen ila wengine nimewaona hakuna kama dihno anafunga goli huku anakata mauno
 
Kaka alikuwepo J. J. Okocha ni balaa.
 
wengi humu wamezaliwa juzi.

nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....
Na Redondo kaka.
 
Umeandika tu uko ulaya bila ya kutoa reference
Reference ya rank yako ni ipi?kwa stats zipi?
Hii kazi ni vizuri ukiifanya wewe sasa... Mimi nimetaja wachezaji facts na hizo references leta wewe mkuu.
 
Umewahi kuona shabiki anaejua mpira!?!?
Mimi sio shabiki ni mpenda soka na ndio maana sijapofushwa na mahaba juu ya Dinho.
Eti mashabiki hawajui mpira.

We si ndio unajua mpira.
Ila kaa ukijua Gaucho mpaka kesho atakuwa the best.
 
Huyu ndiye alinifanya nikawa na mapenzi na FC BARCELONA
 

Attachments

  • 4a64e7744ce69b2709f3de63a209db2a.jpg
    68.4 KB · Views: 55
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…