Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,788
- 2,690
- Thread starter
- #101
Hakunaga kama Ronaldinho
Nianza kuona uwezo wake kukupa final za World Cup inchini Japan mwaka nimesahau
Safi Sana mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakunaga kama Ronaldinho
Nianza kuona uwezo wake kukupa final za World Cup inchini Japan mwaka nimesahau
Jamaaa alikuwa na style ya kipekee Sanayani ukimpiga mtama, yeye anatabasamu tu anacheka anaendelea kutafuta mpira ulipo, alikuwa hana hasira huyu vinjino gaucho
Mkuu hivi Leo FIFA iweke majina kumi ya wachezaji bora kuwahi kutokea duniani huwezi kuamini Ronaldinho anachukua nafasi ya Kwanza.Acha mahaba mkuu kuna wachezaji wazuri ambao wameweza kumaintain viwango vyao throughout their careers.
Kuna mtu kama Francisco Toti, Iniesta, Zidane etc.
Kwangu mimi Dinho atabaki kama greatest entertainer kwenye soka.
Hahahah aya bwana thanx sana kwa hilo...!!!!Hii ndio JF Mkuu.
Akisahau mmoja mwingine ataleta.
Hiyo ya kusema ni bora kuliko wachezaji walio wahi kutokea sio sahihi maana kwenye top 5 tu ya wachezaji bora wa muda wote hayupo.Na hicho ndicho kinachomfanya watu wamuone bora kuliko wachezaji wengine kuwahi kutokea.
Unajua jamaa anamichezo ambayo mchezaji wa kawaida hata ajifunze miaka mia hawezi kuijua
Mkuu hapa hatuzungumzii kuangushana uwanjani.hebu muulize kama anamfahamu mchezaji wa ghana aliyekuwa anaitwa Tony Yeboah, unaenda mpiga ngwala unaanguka wewe, yeye anaambaa ambaa na mpira, jamaa alikuwa ananiacha hoi sana, ukienda kwa nia ya kumuangusha unaanguka wewe, na mkianguka pa1 yeye anakuwa wa mwanzo kuamka, na alikuwa papnde la mtu sasa
Upo vizuri mkuuSina ushabiki kihivyo wa football ila sitakuja sahau siku ambayo huyu Ronadinho alipofunga goli mpira wa adhabu akiwa almost katikati ya kiwanja !na mm naunga mkono hakuna niliyepata kumuona kama huyu.
Upo vizuriGaucho JJ okocha awa jamaa Achana nao
hapo sasa unafosi nipende unachotaka weweBasi nakushauri uangale video zao.
Kwenye vipengele hizi;
1. Dribbling
2. Ball control
3. Pasi
Jamaa anajua mpira ni sanaa na mchezo wa burudaniHuyu jamaa yuko well displined kuna event moja alipewa kadi nyekundu kwa uonevu alichofanya alicheka akatoka nje huku nyuma mashabiki walianza kuzomea mbaya ,na waliporeview mchezo ikathibitika ilikuwa si stahiki yake kutolewa!
Dinho Gaucho ni balaa Zizzou alikuwa mzuri lakini hajamkaribia Gaucho. Labda wale wazee wa Zamani wa Brazil waliocheza na Pelle akina Garrincha.wengi humu wamezaliwa juzi.
nataka waliowaona hawa wachezaji waje tuzungumze...zidane..stephen efernberg...dinho..
figo ...luis enrique...raul...rivaldo...nedved..batistuta....
Nimekuambia FIFA waitishe kura duniani uone Kama jamaa hachukui.Hiyo ya kusema ni bora kuliko wachezaji walio wahi kutokea sio sahihi maana kwenye top 5 tu ya wachezaji bora wa muda wote hayupo.
kwa sasa anachezea ile timu iliyopata ajali ya ndege yupo yeye pamoja na Juan Riquelme fundi la kiargentinaMkuu kwanza naomba uniambie team anayechezea kwa sasa mana namtafuta hapa taarifa zake sijazielewa.