Kwanini.mnapenda sana kutukana siku hizi.Hivi kama Simba hawajawekewa bil 20 ,hizo kambi ,usajili na malipo ya wachezaji wanapata wapi au wanatumia mkojo wa mama yako? Vinyesi FC mna matatizo ndo maana hata Manara alisema ukimwondoa baba yake na Kikwete wengine ni kama hamnazo
Nnya Sports Club. Tuondolee harufu ya kinyesiLeo wanajangwani wamekamilisha dili lao la Bilion 12.3.
Kila dili wao wanafanya kwa uwazi (Transparence). Hakuna kuficha ficha wala kuambiana kuwa watalitangaza baadae. Yaani kila kitu kiko bayana.
Huu ni mwanzo tu bado hawajaifikia peak ya ubora wao, imagine watakuwa wanavutia kiasi gani watakapo fikia peak?
Hawana janja janja wala nini.
Wale watani zangu hawafahamu chochote kinachoendelea kwenye timu yao haswa kwenye masuala ya kifedha. Kitu ambacho wanakifahamu zaidi ni kikosi cha wachezaji wao na benchi la ufundi.View attachment 2305762
Simba kila kitu sili mzito wakiuza wachezaji sili mikitaba sili kama timu ya ukooooh vile
Ndio kanuni ya wahindi kwenye biasharaSimba kila kitu sili mzito wakiuza wachezaji sili mikitaba sili kama timu ya ukooooh vile
Dah.Hawa jamaa ukitaka wakutukane matusi ya kila aina, wewe jaribu tu hata kuwatania kwenye hizo bilioni 20 za mwekezaji wao.
Halafu wanamsema Haji Manara kwa mdomo wake mchafu, na wakati wamemfundisha wao wenyewe kutukana watu hovyo.
Mtani mbona umejaa gadhabu.Hivi kama Simba hawajawekewa bil 20 ,hizo kambi ,usajili na malipo ya wachezaji wanapata wapi au wanatumia mkojo wa mama yako? Vinyesi FC mna matatizo ndo maana hata Manara alisema ukimwondoa baba yake na Kikwete wengine ni kama hamnazo
Sawa mnyero FCvinyesi mnapendaga sana kushindana na Simba,Simba ni next level mkae mkijua nyinyi mimavi f.c
Yaani.Halafu kwa matusi ya aina hii, eti mnapata kabisa ujasiri wa kumsema simba mwenzenu aliye ajiriwa pale Yanga kwa mkakati maalum! Haji Manara kwa kuwa na mdomo mchafu!
Hamjawahi kabisa kuwa na uvumilivu. Nyinyi kutukana ndiyo silaha pekee ya kumlinda kwa namna yoyote ile yule Mhindi wenu kutokana na ujanja ujanja wake!
Kwani GSM yupo peke yake kwenye mali anazomiliki sasa team yenye hela inashindwaje kwenda pre season halafu walala hoi wapo misriKuna tofauti kati ya Tajiri na Msimaamizi wa mirathi..?
Umemuweka MoDewji kwenye kundi lipi hapo?