Mpaka sasa, Simba thamani yake ni Bilioni 20 ambazo hazijulikani mahala zilipo

Mpaka sasa, Simba thamani yake ni Bilioni 20 ambazo hazijulikani mahala zilipo

Hivi kama Simba hawajawekewa bil 20 ,hizo kambi ,usajili na malipo ya wachezaji wanapata wapi au wanatumia mkojo wa mama yako? Vinyesi FC mna matatizo ndo maana hata Manara alisema ukimwondoa baba yake na Kikwete wengine ni kama hamnazo
Kwanini.mnapenda sana kutukana siku hizi.
 
Yani naona umepata pa kutokea zile thread zako za kila nusu saa zilipotea baada ya kukumbwa na kadhia ya kinyesi hahahahaha ila Yanga ni majingaaa sasa hapo hizo hela zinavyowapa moto kama madereva boda wanavyojazwa upepo barabarani.
 
Leo wanajangwani wamekamilisha dili lao la Bilion 12.3.

Kila dili wao wanafanya kwa uwazi (Transparence). Hakuna kuficha ficha wala kuambiana kuwa watalitangaza baadae. Yaani kila kitu kiko bayana.

Huu ni mwanzo tu bado hawajaifikia peak ya ubora wao, imagine watakuwa wanavutia kiasi gani watakapo fikia peak?

Hawana janja janja wala nini.

Wale watani zangu hawafahamu chochote kinachoendelea kwenye timu yao haswa kwenye masuala ya kifedha. Kitu ambacho wanakifahamu zaidi ni kikosi cha wachezaji wao na benchi la ufundi.View attachment 2305762
Nnya Sports Club. Tuondolee harufu ya kinyesi

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Makolo wanateseka sana mErmEre😁😁 Leo mda wote walikuwa wanawazia Mkataba wa Yanga Hadi wamekojolewa 2-0 huko Misri. Yanga ni lijitu likubwa saaana
 
Mpaka leo mkataba wao na M BET ni SIRI tu....
.
20220725_223054.jpg
 
Hawa jamaa ukitaka wakutukane matusi ya kila aina, wewe jaribu tu hata kuwatania kwenye hizo bilioni 20 za mwekezaji wao.

Halafu wanamsema Haji Manara kwa mdomo wake mchafu, na wakati wamemfundisha wao wenyewe kutukana watu hovyo.
Dah.
 
Hivi kama Simba hawajawekewa bil 20 ,hizo kambi ,usajili na malipo ya wachezaji wanapata wapi au wanatumia mkojo wa mama yako? Vinyesi FC mna matatizo ndo maana hata Manara alisema ukimwondoa baba yake na Kikwete wengine ni kama hamnazo
Mtani mbona umejaa gadhabu.

Mimi sijamtukana mtu bali nimewasilisha hoja tu.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa hyo unaamini tajiri namba moja Africa kwa vijana anaweza zidiwa na muuza magodoro.
 
Sisi furaha yetu mashabiki ni Ushindi tu na kuona timu ikifanya vizuri kimataifa maana mpira ni entertainment. Hayo mambo ya ushindani mara Sportpesa kaweka hela ndefu mara nini haitusaidii sisi mashabiki wa Simba.

Lakini ata hivyo simba kila kitu kinaenda systematic na mashabiki hatuwezi kuulaumu Uongozi eti kwanini hawajaweka wazi wameingia mkataba na M bet wa Sh ngapi kwa sababu tunaijua ipo siku wataweka wazi na sioni sababu ya Kuficha na kulipapatukia hili suala.

Usajili umefanyika vizuri na hakuna mchezaji wa bure bure aliyesajiliwa kwenye klabu ya simba tofauti na Yanga waliofanya usajili Mmoja tu wa Ki adi hela ya pre season wakaishiwa..Hili kwetu mashabiki ni jambo jema

Vitu vingi vya kiutendaji vya Simba vinawekwa siri kwa sababu ya Kibiashara, kama haujui biashara hauwezi kunielewa. Simba app inatumika katika taarifa kama hizi na simba imeshajua namna ya kujiingizia pesa katika kuweka taarifa za club kwenye hii app.
 
Hakuna Siri yoyote, Simba mkataba wao na M bet unathamani ya 12.5 bilioni Kwa miaka 5.
Kwamwaka watapokea 2.5 bilion. Kilicho wafanya wakulupuke ku sign ni presha ya usajili na timu haikua na bajeti ya usajili. Hawana pa kujificha Wala wa kumficha , labda baadhi ya mashabiki wa Mbumbumbu fc ila wengine tayari Wanafahamu.
 
Halafu kwa matusi ya aina hii, eti mnapata kabisa ujasiri wa kumsema simba mwenzenu aliye ajiriwa pale Yanga kwa mkakati maalum! Haji Manara kwa kuwa na mdomo mchafu!

Hamjawahi kabisa kuwa na uvumilivu. Nyinyi kutukana ndiyo silaha pekee ya kumlinda kwa namna yoyote ile yule Mhindi wenu kutokana na ujanja ujanja wake!
Yaani.

Afadhali umebainisha. Ni hatari sana kushinda hapa jukwaani.
 
Kwa hyo unaamini tajiri namba moja Africa kwa vijana anaweza zidiwa na muuza magodoro.
Kuna tofauti kati ya Tajiri na Msimaamizi wa mirathi..?

Umemuweka MoDewji kwenye kundi lipi hapo?
 
Kuna tofauti kati ya Tajiri na Msimaamizi wa mirathi..?

Umemuweka MoDewji kwenye kundi lipi hapo?
Kwani GSM yupo peke yake kwenye mali anazomiliki sasa team yenye hela inashindwaje kwenda pre season halafu walala hoi wapo misri
 
UWAZI Ni gazeti tu ila hayo mnayosifia yapeni muda TU mtajua chongo haoni vizuri
 
Bado tuna hatuelewi tofauti ya udhamini na uwekezaji.....
 
Back
Top Bottom