Kama unakula kwa urefu wa kamba yako utakuwa sahihi kwa sasa! Ila atakapotoka madarakani, haitashangaza na wewe ukija humu jukwaani kumlalamikia mtawala mpya, baada ya mirija yako ya ulaji kukatwa!Usitusemee ..jisemee mwenyewe..
Mimi binafsi huu ndo utawala naoupenda kuliko tawala zote...
Nampenda sana samia
Watavuna walichopandaHakuna mtanzania anaefurahia huu utawala kwa amani. Wengi wanafurahia kwa shingo upande na unafiki.
Angalia hata hao wanaCCM makabwela ambao hudanganywa kwa baiskeli na tisheti safari hii hawautaki huu utawala wa CCM.
Kesi ya Lissu inazidi kuligawa taifa sababu kila mtanganyika mwenye akili timamu anajua kabisa amewekwa ndani bila kosa lolote.
Mahakama inatambua hilo na ndio maana ilikataa hata kielelezo ambacho wao serikali walitegemea kitakuwa na mashiko.
Ufisadi na nepotism ni tatizo kubwa kwenye taifa lolote.
😄😄Usitusemee ..jisemee mwenyewe..
Mimi binafsi huu ndo utawala naoupenda kuliko tawala zote...
Nampenda sana samia
Naona mnajitekenya na kujichekesha wenyewe kama Mazuzu na malevi ya GongoWanaofurahia utawala huu ni matutusa aina ya Lucas Mwashambwa ambao hawana akili ya kujipatia kipato zaidi ya kufanya uchawa na kutupiwa makombo na watawala dhalimu.
nonsense 🐒Hakuna mtanzania anaefurahia huu utawala kwa amani. Wengi wanafurahia kwa shingo upande na unafiki.
Angalia hata hao wanaCCM makabwela ambao hudanganywa kwa baiskeli na tisheti safari hii hawautaki huu utawala wa CCM.
Kesi ya Lissu inazidi kuligawa taifa sababu kila mtanganyika mwenye akili timamu anajua kabisa amewekwa ndani bila kosa lolote.
Mahakama inatambua hilo na ndio maana ilikataa hata kielelezo ambacho wao serikali walitegemea kitakuwa na mashiko.
Ufisadi na nepotism ni tatizo kubwa kwenye taifa lolote.
Nakuunga mkono, wote wenye akili za panzi ni washabiki wakubwa sana wa Samia mwenye akili za panziUsitusemee ..jisemee mwenyewe..
Mimi binafsi huu ndo utawala naoupenda kuliko tawala zote...
Nampenda sana samia
Ishu kubwa sio mirija ya ulaji. Wananchi wanataka haki, wanapinga ufisadi na nepotism.Kama unakula kwa urefu wa kamba yako utakuwa sahihi kwa sasa! Ila atakapotoka madarakani, haitashangaza na wewe ukija humu jukwaani kumlalamikia mtawala mpya, baada ya mirija yako ya ulaji kukatwa!
Yaani haya maneno yenu mwisho ni 2030..akija rais mgalatia mtapotea wote na hizo ID zenu feki..hakutakua tena na mambo ya haki Wala nepotism..bali nikuunga mkono TU..Ishu kubwa sio mirija ya ulaji. Wananchi wanataka haki, wanapinga ufisadi na nepotism.
Kanywe nae chaiUsitusemee ..jisemee mwenyewe..
Mimi binafsi huu ndo utawala naoupenda kuliko tawala zote...
Nampenda sana samia