Na walionunua ticket wakileta fujo na wapigwe tuu...narudia tena na wapigwe tuu..
nimejitolea kukuoa
Asipokuja tutaandamana mpaka Ikulu..
Na mpigwee tuuu....
Mweeee kwani anatakiwa kufanya yo yo yoo leo au kesho?kama kesho hata dege likitua Lidazi kesho usiku sio mbaya kuweni na subira.
Wote mnao muulizia T.I.
MAJIBU. NI KWAMBA. TI AKO NA TRIP ZAKE DUNIANI. SO WAZEE WA FURSA AKINA RUGE WALIPOONA ATA CROSS AFRICAN CONTINENT WAKAMNYENYEKEA , CHOOONDE CHONDE
,,
PITIA TZ UTIZAME MT.KILIMANJARO, NA USHIRIKI KUNAD WIMBO WA 'MEDIOCRE'.
RUGE AKAPIGA GOTI, PLIZZZ.
SO,
ATASHUKA KESHO SAA 2 USIKU KUCHIMBA DAWA, THEN ANANYOOKA ASIA NA AUSTRALIA.
POLENI.
sinunui tikiti hadi nione kwa macho yangu jamaa kafika apo JNIA....naendelea kusubiri wajameni
Samahani,hivi TI amelipwa shiling ngapi kwenye hii show ya Fiesta?
asipokuja sio mbaya watuletee best naso...
Nimesoma post kutoka kwenye insta account yake alikua Ethiopia kama 40 min ago so atakuepo vuta subira mkuu
kidogo umetia matumaini