mpaka sasa TI hajafika

mpaka sasa TI hajafika

Wote mnao muulizia T.I.

MAJIBU. NI KWAMBA. TI AKO NA TRIP ZAKE DUNIANI. SO WAZEE WA FURSA AKINA RUGE WALIPOONA ATA CROSS AFRICAN CONTINENT WAKAMNYENYEKEA , CHOOONDE CHONDE
,,
PITIA TZ UTIZAME MT.KILIMANJARO, NA USHIRIKI KUNAD WIMBO WA 'MEDIOCRE'.

RUGE AKAPIGA GOTI, PLIZZZ.

SO,
ATASHUKA KESHO SAA 2 USIKU KUCHIMBA DAWA, THEN ANANYOOKA ASIA NA AUSTRALIA.

POLENI.

Hahahaaaa,jamani watu mna vituko hatari....Nimewahi kusikia hii issue aisee
 
10703624_775757219130237_2061264776911221765_n.jpg
 
Chid Benz,Dully Sykes La Familia mpaka kucheeeee imekula kwenu misukule ya Ruge hakuna cha TI wala TIP,Call him trouble man 9 on his waist 45 on other hand.
 
Hata asiposhuka,Pingu na Deso si wapo watacover vizuri tu haina shida.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nimesoma post kutoka kwenye insta account yake alikua Ethiopia kama 40 min ago so atakuepo vuta subira mkuu
 

Attachments

  • 1413615565577.jpg
    1413615565577.jpg
    54.4 KB · Views: 509
Back
Top Bottom