Bao la mama, walevi wa mama, samia legal aid, samia champs of comedy, kalamu ya samia nk nkZaidi ya kuimba mitano tena, Wana hoja gani ya ziada?
Huyo chawa ndiyo hopeless kabjsa. Huwa anaandika riwaya ndefu za kipuuzi zinazokosa hata mantiki ndogo.Mfano hai ni chawa mwandamizi Lucas Mwashambwa
Yaani huyu hata kuzaliwa kwake ni matumizi mabaya ya manii, hao wazazi wake bora hata wamtoe ndagu wapate fedha.Huyo chawa ndiyo hopeless kabjsa. Huwa anaandika riwaya ndefu za kipuuzi zinazokosa hata mantiki ndogo.
Amebakiza kubandika maneno ua kijinga, eti mama ametufikia!!
πYaani huyu hata kuzaliwa kwake ni matumizi mabaya ya manii, hao wazazi wake bora hata wamtoe ndagu wapate fedha.
Sikuizi mpaka amepunguza kutukuzaMfano hai ni chawa mwandamizi Lucas Mwashambwa
Sidhan kama ni povu ila ni facts, look at mitandao ya kijamii users wanaelemea wapi, waliomo mule muda huu wanaunga mkono hoja ya lissu. Juzi tu mahakama imekubal kesi kusikilizwa mahakaman imekuwa shangwe social mediasKama Vijana wetu hawana hoja usingetokwa povu namna hii
Jumaa Mubarak ππΉπΏ
Dah π€£π€£π€£Fuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi
Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na kutunga vilivyokosa uhalisia.
Hawana maudhui ya kutengeneza yaliyo na weledi na maono bali ni mipasho, kejeli na kila aina ya upuuzi, ujinga na upumbavu
Vyenye akili vya kuunga mkono wao ndio wanavikosoa bila hoja bali vioja.. Vya kipuuzi vilivyo na ujinga wa kila aina wao ndio wanavishadadia na kuvipa airtime kubwa sana.
Sasa imefika wakati wanaonekana kioja hata mbele ya macho ya jumuiya ya kimataifa, wao na viongozi wao na chama chao chakavu
Haya yote yamesababishwa na CHADEMA kwa hoja zao yakinifu na makini juu ya
Utawala bora
Utawala wa sheria
Tume huru ya uchaguzi
Uchaguzi huru wa wazi na wa haki..
Wachukue wanaccm asilimia 90 uwape hizo hoja wazijibu uone maajabu ya dunia...View attachment 3328473
UVCCM tumewatuma field zinakopatikana KURA za Wananchi ππΉπΏSidhan kama ni povu ila ni facts, look at mitandao ya kijamii users wanaelemea wapi, waliomo mule muda huu wanaunga mkono hoja ya lissu. Juzi tu mahakama imekubal kesi kusikilizwa mahakaman imekuwa shangwe social medias
CDm wamejipanga vizuri kipindi hiki, and this time wamewafikia mpaka audienfe ya nje.
Waambie wanapoteza battle la media vibaya mnoUVCCM tumewatuma field zinakopatikana KURA za Wananchi ππΉπΏ
Huwa sisomi kabisa nyizi zake nilisha achaHuyo chawa ndiyo hopeless kabjsa. Huwa anaandika riwaya ndefu za kipuuzi zinazokosa hata mantiki ndogo.
Amebakiza kubandika maneno ua kijinga, eti mama ametufikia!!
Fuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi
Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na kutunga vilivyokosa uhalisia.
Hawana maudhui ya kutengeneza yaliyo na weledi na maono bali ni mipasho, kejeli na kila aina ya upuuzi, ujinga na upumbavu
Vyenye akili vya kuunga mkono wao ndio wanavikosoa bila hoja bali vioja.. Vya kipuuzi vilivyo na ujinga wa kila aina wao ndio wanavishadadia na kuvipa airtime kubwa sana.
Sasa imefika wakati wanaonekana kioja hata mbele ya macho ya jumuiya ya kimataifa, wao na viongozi wao na chama chao chakavu
Haya yote yamesababishwa na CHADEMA kwa hoja zao yakinifu na makini juu ya
Utawala bora
Utawala wa sheria
Tume huru ya uchaguzi
Uchaguzi huru wa wazi na wa haki..
Wachukue wanaccm asilimia 90 uwape hizo hoja wazijibu uone maajabu ya dunia...View attachment 3328473
Fuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi
Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na kutunga vilivyokosa uhalisia.
Hawana maudhui ya kutengeneza yaliyo na weledi na maono bali ni mipasho, kejeli na kila aina ya upuuzi, ujinga na upumbavu
Vyenye akili vya kuunga mkono wao ndio wanavikosoa bila hoja bali vioja.. Vya kipuuzi vilivyo na ujinga wa kila aina wao ndio wanavishadadia na kuvipa airtime kubwa sana.
Sasa imefika wakati wanaonekana kioja hata mbele ya macho ya jumuiya ya kimataifa, wao na viongozi wao na chama chao chakavu
Haya yote yamesababishwa na CHADEMA kwa hoja zao yakinifu na makini juu ya
Utawala bora
Utawala wa sheria
Tume huru ya uchaguzi
Uchaguzi huru wa wazi na wa haki..
Wachukue wanaccm asilimia 90 uwape hizo hoja wazijibu uone maajabu ya dunia...View attachment 3328473
Kura hazipigwi kwenye social media ππΉπΏWaambie wanapoteza battle la media vibaya mno
Kwakweli huyu km una kesi tegenea lolote, maana anaweza pokea mpunga. Km ney wa mitego π(according to da mangeπ)Dah π€£π€£π€£
Hivi huyu Kigaila si Mwanasheria huyu ?
Mbona kigeugeu hivi?
Sasa hata kama ukiwa na kesi yako si anakukaanga tu huyu ?