Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 7,148
- 13,108
Huyu Chawa Mwandamizi Lucas Mwashambwa usishangae akiwa ni MwijakuHuyo chawa ndiyo hopeless kabjsa. Huwa anaandika riwaya ndefu za kipuuzi zinazokosa hata mantiki
Amebakiza kubandika maneno ua kijinga, eti mama ametufikia!!
Acheni kujitekenya na kujichekesha wenyewe kama wajingaHuyu Chawa Mwandamizi Lucas Mwashambwa usishangae akiwa ni Mwijaku
Watakwambia Kura ziko Mitaani.....huko hiko mitaani Wanapita bila kupingwa kwa hila.Fuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi
Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na kutunga vilivyokosa uhalisia.
Hawana maudhui ya kutengeneza yaliyo na weledi na maono bali ni mipasho, kejeli na kila aina ya upuuzi, ujinga na upumbavu
Vyenye akili vya kuunga mkono wao ndio wanavikosoa bila hoja bali vioja.. Vya kipuuzi vilivyo na ujinga wa kila aina wao ndio wanavishadadia na kuvipa airtime kubwa sana.
Sasa imefika wakati wanaonekana kioja hata mbele ya macho ya jumuiya ya kimataifa, wao na viongozi wao na chama chao chakavu
Haya yote yamesababishwa na CHADEMA kwa hoja zao yakinifu na makini juu ya
Utawala bora
Utawala wa sheria
Tume huru ya uchaguzi
Uchaguzi huru wa wazi na wa haki..
Wachukue wanaccm asilimia 90 uwape hizo hoja wazijibu uone maajabu ya dunia...View attachment 3328473
😀😀😀Hamna Bwana Lucas ni mtu halisi. Watu wanamjua ni Kijana ambaye anaamini ktk sera za chama cha mapinduzi.Huyu Chawa Mwandamizi Lucas Mwashambwa usishangae akiwa ni Mwijaku
Na zile za kujazilizia kwenye mabegi😀😀UVCCM tumewatuma field zinakopatikana KURA za Wananchi 😁🇹🇿
Ndio zimempeleka Sauti ya zege bungeni 😁Na zile za kujazilizia kwenye mabegi😀😀
😀😀😀Ndio zimempeleka Sauti ya zege bungeni 😁
CHADEMA WANGEKUWA NA HOJA YAKINIFU MNGEKUWA MMESHASHIKA DOLA LAKINI NI UJINGA MTUPU MNAOFANAY NA NDIYO MAANA WATANZANIA WENGI WAMEWAKATAA NA PIA CCM HAISHINDANII MTANDAONI INASHINDANIA MAJUKWAANI MITANDAONI NI KWA WATU WAOGA KAMA CHADEMA NDIYO WANAKIMBILIA MITANDAONIFuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi
Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na kutunga vilivyokosa uhalisia.
Hawana maudhui ya kutengeneza yaliyo na weledi na maono bali ni mipasho, kejeli na kila aina ya upuuzi, ujinga na upumbavu
Vyenye akili vya kuunga mkono wao ndio wanavikosoa bila hoja bali vioja.. Vya kipuuzi vilivyo na ujinga wa kila aina wao ndio wanavishadadia na kuvipa airtime kubwa sana.
Sasa imefika wakati wanaonekana kioja hata mbele ya macho ya jumuiya ya kimataifa, wao na viongozi wao na chama chao chakavu
Haya yote yamesababishwa na CHADEMA kwa hoja zao yakinifu na makini juu ya
Utawala bora
Utawala wa sheria
Tume huru ya uchaguzi
Uchaguzi huru wa wazi na wa haki..
Wachukue wanaccm asilimia 90 uwape hizo hoja wazijibu uone maajabu ya dunia...View attachment 3328473
Kiongozi usiwaamshe waliolala, mchezo unaochezwa hapa ni mzuri sana. Wapumbavu wamekazana jf, Facebook, x n.k wanafarijiana na kujipa moyo kwa mada zao za kinyumbu; wajanja wametulia kimyaaa wanafanya yao kwa watu. ukionA wameibuka kwa nguvu Huku mitandaoni ujue wameshamaliza kazi ya msingi kule uraiani.UVCCM tumewatuma field zinakopatikana KURA za Wananchi 😁🇹🇿
Sass huyo naye ni wa kuhangaika kumjibu kweli😀😀😀 hivi hata hizo fact hazijui ni kitu gani😂Sidhan kama ni povu ila ni facts, look at mitandao ya kijamii users wanaelemea wapi, waliomo mule muda huu wanaunga mkono hoja ya lissu. Juzi tu mahakama imekubal kesi kusikilizwa mahakaman imekuwa shangwe social medias
CDm wamejipanga vizuri kipindi hiki, and this time wamewafikia mpaka audienfe ya nje.