Mpaka sasa timu ya CCM mitandaoni ishapigwa tano bila na timu CHADEMA

CCM kwenye hii ya Reforms hawana cha kujibu hawana hoja yoyote. - na hao wenzao wa njaa @55 nao ni aibu tupu kwa kweli - hawajui wanataka nini kwa muda upi? Na kwa nini?
 
Fuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi
Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na kutunga vilivyokosa uhalisia.

Hawana maudhui ya kutengeneza yaliyo na weledi na maono bali ni mipasho, kejeli na kila aina ya upuuzi, ujinga na upumbavu
Vyenye akili vya kuunga mkono wao ndio wanavikosoa bila hoja bali vioja.. Vya kipuuzi vilivyo na ujinga wa kila aina wao ndio wanavishadadia na kuvipa airtime kubwa sana.

Sasa imefika wakati wanaonekana kioja hata mbele ya macho ya jumuiya ya kimataifa, wao na viongozi wao na chama chao chakavu
Haya yote yamesababishwa na CHADEMA kwa hoja zao yakinifu na makini juu ya
Utawala bora
Utawala wa sheria
Tume huru ya uchaguzi
Uchaguzi huru wa wazi na wa haki..
Wachukue wanaccm asilimia 90 uwape hizo hoja wazijibu uone maajabu ya dunia...View attachment 3328473
Wanachadema JF mtu mmoja ana akaunti mpaka 50, anaandika mada, anaingia katika akaunti yake nyingine anaiunga mkono, baadae anaingia katika akaunti nyingine anaipinga, halafu anaingia katika akaunti nyingine a nashauri, halafu anaingia katika akaunti nyingine anaandika "CCM hoyee"

Ni wajanja sana, wakiona mada inawapifa, hawaichangii kwa sababu kadri mada inavyochangiwa na watu inakaa jui
 
Mtaji wa CCM ni wale wasiokuwepo mtandaoni, wale wa vijijini huko.
Mkuu fanya utafti, ongea na watu wa hali ya chini kabisa kabisa - mie nimefanya hilo zoezi wanasema Lissu ndiyo mpinzani wa kweli na wa kwanza hapa Tanzania - wengine walikuwa wanatupotezea muda yaani ma-kanyaboya.(nimenukuu)

Kuhusu no reforms wanasema hata CDM wasingesema wao wasingeenda kuchagua, unachagua nini wakati kila kitu kitaenda kama wanavyotaka wao.
 
Wanachadema JF mtu mmoja ana akaunti mpaka 50, anaandika mada, anaingia katika akaunti yake nyingine anaiunga mkono, baadae anaingia katika akaunti nyingine anaipinga, halafu anaingia katika akaunti nyingine a nashauri, halafu anaingia katika akaunti nyingine anaandika "CCM hoyee"

Ni wajanja sana, wakiona mada inawapifa, hawaichangii kwa sababu kadri mada inavyochangiwa na watu inakaa jui
Akili zenu zimeshaharibika kwa uzushi
 
Mbowe kawauzia mbuzi kwenye gunia!
Yupo kimyaaa!
Wenyewe wamekuwa kama bata tope, heka heka na press zisizo na tija.
Hii ndio maana halisi ya mfa maji!
Ila mengine anasingiziwa ujue
 
Wanachadema JF mtu mmoja ana akaunti mpaka 50, anaandika mada, anaingia katika akaunti yake nyingine anaiunga mkono, baadae anaingia katika akaunti nyingine anaipinga, halafu anaingia katika akaunti nyingine a nashauri, halafu anaingia katika akaunti nyingine anaandika "CCM hoyee"

Ni wajanja sana, wakiona mada inawapifa, hawaichangii kwa sababu kadri mada inavyochangiwa na watu inakaa jui
hizi akili ndizo anazosema Mshana Jr
 
Fuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi
Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na kutunga vilivyokosa uhalisia.

Hawana maudhui ya kutengeneza yaliyo na weledi na maono bali ni mipasho, kejeli na kila aina ya upuuzi, ujinga na upumbavu
Vyenye akili vya kuunga mkono wao ndio wanavikosoa bila hoja bali vioja.. Vya kipuuzi vilivyo na ujinga wa kila aina wao ndio wanavishadadia na kuvipa airtime kubwa sana.

Sasa imefika wakati wanaonekana kioja hata mbele ya macho ya jumuiya ya kimataifa, wao na viongozi wao na chama chao chakavu
Haya yote yamesababishwa na CHADEMA kwa hoja zao yakinifu na makini juu ya
Utawala bora
Utawala wa sheria
Tume huru ya uchaguzi
Uchaguzi huru wa wazi na wa haki..
Wachukue wanaccm asilimia 90 uwape hizo hoja wazijibu uone maajabu ya dunia...View attachment 3328473
Gentleman,
hivyo si ndiyo huwaga inavyokua miaka nenda miaka rudi, lakini ikifika wakati wa kwenda field kule ground kwa wananchi, kulikoni hua mnaonekana kama misukule, vibaka au matapeli?🐒
 
Shida sio CDM kua na hoja. Shida ni uongozi wa Sasa wa CCM umeshindwa kufanya Nini watanzania wanataka. Washabik wa CCM hawana hoja ila hupenda kuingiza siasa za kibaguzi, ubaguz wa dini na Kanda/ ukabila (uzanzibari, usukuma au ubara)

Mama kama angefanya kama Magufuri, angerekebisha mapungufu ya Magufuri, mazuri ya Magufuri kama ulinzi wa rasilimali, uwajibikaji Kwa watumishi wa uma na secta binafsi( hakuna pesa ya Bure hapa), uonevu Kwa sababu Mimi nipo kwenye system, .....

CCM ya mama ingeg'aa sana.

Mama anafanya mabaya yote ya Magufuri, isipokua kutumbua mafisadi Kwa kigezo Cha '"Utu'" ndio kaifikisha CCM hapa.

Sio mitandaoni tu, hata kwenye gari kama mmepanda private mnasafiri kwenda Dom au Iringa kutoka Dar, zikianza mada hizo, unakuta hakuna anaesifia serikali hii. Wote wanaiponda.

Angetoka kikwete akaja mama, watanzania wasingeona tofauti kubwa ya uongozi ambapo ushikaji na upigaji ndio vinafanyika Kwa kiwango kubwa.

Magufuri ni kama alifungua akili za watu waliozaliwa miaka ya 90 ambao Kwa Sasa ndio vijana na wafanyakazia wenye nguvu.
 
Gentleman,
hivyo si ndiyo huwaga inavyokua miaka nenda miaka rudi, lakini ikifika wakati wa kwenda field kule ground kwa wananchi, kulikoni hua mnaonekana kama misukule, vibaka au matapeli?🐒
Pathetic.!
 
Fuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi
Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na kutunga vilivyokosa uhalisia.

Hawana maudhui ya kutengeneza yaliyo na weledi na maono bali ni mipasho, kejeli na kila aina ya upuuzi, ujinga na upumbavu
Vyenye akili vya kuunga mkono wao ndio wanavikosoa bila hoja bali vioja.. Vya kipuuzi vilivyo na ujinga wa kila aina wao ndio wanavishadadia na kuvipa airtime kubwa sana.

Sasa imefika wakati wanaonekana kioja hata mbele ya macho ya jumuiya ya kimataifa, wao na viongozi wao na chama chao chakavu
Haya yote yamesababishwa na CHADEMA kwa hoja zao yakinifu na makini juu ya
Utawala bora
Utawala wa sheria
Tume huru ya uchaguzi
Uchaguzi huru wa wazi na wa haki..
Wachukue wanaccm asilimia 90 uwape hizo hoja wazijibu uone maajabu ya dunia...View attachment 3328473
 
Fuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi
Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na kutunga vilivyokosa uhalisia.

Hawana maudhui ya kutengeneza yaliyo na weledi na maono bali ni mipasho, kejeli na kila aina ya upuuzi, ujinga na upumbavu
Vyenye akili vya kuunga mkono wao ndio wanavikosoa bila hoja bali vioja.. Vya kipuuzi vilivyo na ujinga wa kila aina wao ndio wanavishadadia na kuvipa airtime kubwa sana.

Sasa imefika wakati wanaonekana kioja hata mbele ya macho ya jumuiya ya kimataifa, wao na viongozi wao na chama chao chakavu
Haya yote yamesababishwa na CHADEMA kwa hoja zao yakinifu na makini juu ya
Utawala bora
Utawala wa sheria
Tume huru ya uchaguzi
Uchaguzi huru wa wazi na wa haki..
Wachukue wanaccm asilimia 90 uwape hizo hoja wazijibu uone maajabu ya dunia...View attachment 3328473
Gentleman,
hivyo si ndiyo huwaga inavyokua miaka nenda miaka rudi, lakini ikifika wakati wa kwenda field kule ground kwa wananchi, kulikoni hua mnaonekana kama misukule, vibaka au matapeli?🐒
Pathetic.!
na this time around kuelekea uchaguz mkuu mnaweza kuonekana kama majambazi tu kule field kisha muanze kutukana wanainchi kama kawaida yenu baada ya kuwakataa 🐒
 
Attachments

  • IMG_20230730_055342.jpg
    IMG_20230730_055342.jpg
    52.7 KB · Views: 12
Fuatilia yanayoendelea mitandaoni kwenye uwanja wa siasa .. Timu inayowa support ccm na mamluki wake iko taaban bin hoi
Hawana hoja zenye mantiki bali wamebaki na uzushi na vitu vya kufikirika na kutunga vilivyokosa uhalisia.

Hawana maudhui ya kutengeneza yaliyo na weledi na maono bali ni mipasho, kejeli na kila aina ya upuuzi, ujinga na upumbavu
Vyenye akili vya kuunga mkono wao ndio wanavikosoa bila hoja bali vioja.. Vya kipuuzi vilivyo na ujinga wa kila aina wao ndio wanavishadadia na kuvipa airtime kubwa sana.

Sasa imefika wakati wanaonekana kioja hata mbele ya macho ya jumuiya ya kimataifa, wao na viongozi wao na chama chao chakavu
Haya yote yamesababishwa na CHADEMA kwa hoja zao yakinifu na makini juu ya
Utawala bora
Utawala wa sheria
Tume huru ya uchaguzi
Uchaguzi huru wa wazi na wa haki..
Wachukue wanaccm asilimia 90 uwape hizo hoja wazijibu uone maajabu ya dunia...View attachment 3328473
Hapo unakuta machawa yanasoma uzi kwa hasira yanatamani yakuteke
 
Attachments

  • IMG_20250506_203205.jpg
    IMG_20250506_203205.jpg
    12 KB · Views: 10
Bao la mama, walevi wa mama, samia legal aid, samia champs of comedy, kalamu ya samia nk nk
Yaani we taja taja tu hivyo mfuko wako utajazwa minoti!.
Ile ya Steve Mengele inaitwa nini vile?
 
Mkuu fanya utafti, ongea na watu wa hali ya chini kabisa kabisa - mie nimefanya hilo zoezi wanasema Lissu ndiyo mpinzani wa kweli na wa kwanza hapa Tanzania - wengine walikuwa wanatupotezea muda yaani ma-kanyaboya.(nimenukuu)

Kuhusu no reforms wanasema hata CDM wasingesema wao wasingeenda kuchagua, unachagua nini wakati kila kitu kitaenda kama wanavyotaka wao.
Hao ni watu wa chini wa wapi? Umezunguka vijijini kwenye mtaji wa CCM?
 
Back
Top Bottom