Mpaka sasa timu ya CCM mitandaoni ishapigwa tano bila na timu CHADEMA

Mbowe kawauzia mbuzi kwenye gunia!
Yupo kimyaaa!
Wenyewe wamekuwa kama bata tope, heka heka na press zisizo na tija.
Hii ndio maana halisi ya mfa maji!
 
Watakwambia Kura ziko Mitaani.....huko hiko mitaani Wanapita bila kupingwa kwa hila.
 
CHADEMA WANGEKUWA NA HOJA YAKINIFU MNGEKUWA MMESHASHIKA DOLA LAKINI NI UJINGA MTUPU MNAOFANAY NA NDIYO MAANA WATANZANIA WENGI WAMEWAKATAA NA PIA CCM HAISHINDANII MTANDAONI INASHINDANIA MAJUKWAANI MITANDAONI NI KWA WATU WAOGA KAMA CHADEMA NDIYO WANAKIMBILIA MITANDAONI
 
Ufanyaji kazi kwa ufanisi na kwa bidii imetoweka. Uwajibikaji kwenye Taasisi mbalimbali za Umma umetotweka. Tumezalisha kitu kinaitwa "UCHAWA"
 
UVCCM tumewatuma field zinakopatikana KURA za Wananchi πŸ˜πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Kiongozi usiwaamshe waliolala, mchezo unaochezwa hapa ni mzuri sana. Wapumbavu wamekazana jf, Facebook, x n.k wanafarijiana na kujipa moyo kwa mada zao za kinyumbu; wajanja wametulia kimyaaa wanafanya yao kwa watu. ukionA wameibuka kwa nguvu Huku mitandaoni ujue wameshamaliza kazi ya msingi kule uraiani.

Nimewadharau sana nyumbu wa jf; hawana kitu kabisaa kwenye mafuvu yao!
 
Sass huyo naye ni wa kuhangaika kumjibu kweliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ hivi hata hizo fact hazijui ni kitu ganiπŸ˜‚
 
Anasema CCM inazidiwa sana na CHADEMA kwa hoja. Anasema CCM imelemaa sababu ya kutegemea sana Serikali (DOLA).
Yaani CCM ikiona inazidiwa hoja inatuma nguvu za DOLA ili ipige mabomu, ipige risasi, ibambikize kesi na wasiojulikana kupoteza wapinzani.πŸ«£πŸ™†β€β™‚οΈ

Huyu ndio Mzee Cleopa David Msuya.

R.I.P Mzee wetu CDM.
 
Ufanyaji kazi kwa ufanisi na kwa bidii imetoweka. Uwajibikaji kwenye Taasisi mbalimbali za Umma umetotweka. Tumezalisha kitu kinaitwa "UCHAWA"
Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
ukweli ni kwamba mada zinazohusu serikali (humu jamii afrika) zimekosa mvuto hata wachangiaji ni wachache, na wakiwa wengi ujue ni wakosoaji
yale maneno mi5 tena na mama anaupiga mwingi yamepungua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…