Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
kumzidi mwanamke miaka mingi si lazima utangulie kufa japo graph of growth itaonesha umefika ukomo wa kuishi. Sio mbaya kutangulia kufa ukamuacha mwanamke uliomzidi umri naye graph yake ikifika ukomo atakufaKabla ya jibu huwa mnapenda age gap mume miaka 40 mke miaka 28 au mume miaka 30 mke miaka 21. apo mnatagemea nani atawahi kufa?
Mganehivi kiongozi mkubwa wa kike akifa mme nae anaangaliwa kama mjane au atajijua mwenyewe?
Kwa hio unataka kusema nini mke 40 alafu mume 20 au sio?Kabla ya jibu huwa mnapenda age gap mume miaka 40 mke miaka 28 au mume miaka 30 mke miaka 21. apo mnatagemea nani atawahi kufa?
Duh AiseeKabla ya jibu huwa mnapenda age gap mume miaka 40 mke miaka 28 au mume miaka 30 mke miaka 21. apo mnatagemea nani atawahi kufa?
Hii ni kweli, siku hizi kuna vifo vinatokea vya rika la vijana wa kati ya 30 - 45 yrs. Na ktk rika hili wapo walioa. Kwahiyo kuna wajane vijana pia.Sio viongozi tu hata wananchi wa kawaida. Ukifika kule kwetu Maeneo ya majengo, sokomatola, ghana na kwingineko asilimia 90 ya nyumba hazina wanaume. Wote walishatangulia. Ni jambo la kufanyia utafiti kwa kweli. Sijui sababu ni nini.
niko mtaa mmoja hapa nyumba nyingi hazina wanaume, ni wanawake tu, balozi akiitisha msaragambo wanawake ndio wengi hutoka, wanaume ni wa kuhesabu tena na wao hawana wake. Wajane ni wengi kwa kweli. Ukienda kwenye magenge/yale masoko madogomadogo ya mitaani utakuta wakina mama ndio wengi wanauza, na walio wengi ni wajaneSio viongozi tu hata wananchi wa kawaida. Ukifika kule kwetu Maeneo ya majengo, sokomatola, ghana na kwingineko asilimia 90 ya nyumba hazina wanaume. Wote walishatangulia. Ni jambo la kufanyia utafiti kwa kweli. Sijui sababu ni nini.
LOTH HEMA ina maana na kuna wanaume wengi hawana wake mtaani kwenu? Wanaume wengi pia wamefiwa na wake au hawana ndoa?niko mtaa mmoja hapa nyumba nyingi hazina wanaume, ni wanawake tu, balozi akiitisha msaragambo wanawake ndio wengi hutoka, wanaume ni wa kuhesabu tena na wao hawana wake. Wajane ni wengi kwa kweli. Ukienda kwenye magenge/yale masoko madogomadogo ya mitaani utakuta wakina mama ndio wengi wanauza, na walio wengi ni wajane
Nilifikiri unataka ukajichukulie mmoja ujilie mema ya nchi.Hii mada imenifikirisha sana maana ule msemo wanaume tunawai kufa mapema ni kweli kabisa tena ukiwa na majukumu mazito ya kujenga familia mpaka nchi.
R.I.P wote wasio viongozi na viongozi