Mpaka sasa vifo vya watu 17,997 vimeripotiwa Gaza, je HAMAS palikuwa na huu ulazima?

Mpaka sasa vifo vya watu 17,997 vimeripotiwa Gaza, je HAMAS palikuwa na huu ulazima?

Uchokozi wa HAMAS kwa Wayahudi ulikua na ulazima wowote? Hivi vifo vingeepukika, na bado wanaendelea kufa...

The Palestinian death toll from the ongoing Israeli attacks on the Gaza Strip has climbed to 17,997 since Oct. 7, the Health Ministry in the enclave said Sunday.

Speaking at a press conference, ministry spokesman Ashraf al-Qudra said 49,229 other people were injured in the Israeli onslaught on the blockaded territory.

According to the spokesman, two women were killed and dozens injured in Israeli bombardment of the Kamal Adwan Hospital in the northern Gaza Strip on Sunday.

The Israeli army launched relentless air and ground attacks on the Gaza Strip following a cross-border attack by Hamas on Oct. 7.

The Israeli death toll in the Hamas attack stood at 1,200, according to official figures.
Mkuu hebu pumzika bhasi na hizi mada maana yake unatuchosha sasa..

Kama ukiweza zireport kwenye yanayojiri HAMAS na israel maana yake sijawahi kukuona ukipost kitu zaidi ya Israel na HAMAS..WANAKULIPA..

Watu wamekufa kenya Hukuwahi kureport..
Kumetokea mafuriko ya matope Tanzania hukuwahi kureport kuna vitu vingi vya kureport unakera sasa..
Kama hawakuambii bhasi nahisi mimi nakuambia leo
 
Nikisema akili huna unaleta uharo wako hapa.Hiyo ratio ya waisrael waliouwawa na ya wapalestina huoni ni hasara sana kwa Wapalestina?Watu waliouwawa ni wengi wanazidi death toll ya vita ya Tanzania na Uganda ukichanganya waganda na watanzania kwa pamoja.Ni loss kubwa sana kwa taifa la palestina.
Tunakoenda ndani ya wiki mbili zijazo wananchi watawasaliti Hamas kwa sababu wamewaletea madhila makubwa sana.
Plus mateso wanayopata captives wa hamas yataongeza kushindwa kwa hamas.
Hamas hawakutumia akili 7/10 na hawakutumia akili walipokuwa wanawapokea wafungwa toka magereza ya waisrael.
IDF ilitumia chemicals kuwatag ili wawalead kwa magaidi menzao na kwa hili wanafanikiwa kirahisi sana.
Ukiona hamas wa msimbazi wanageukia Hizbollah na houthi jua wiki mbili ni nyingi hamas kuwa katika nchi ya walio hai
mkuu tangu siku hamas wanapokea mateka wao waliotegewa hizo chemicals IDF wamepata nn kikubwa toka kwa hamas tofauti na nyuma?
 
If you can't beat them join them. Hao hamas wakubali yaishe wajisalimishe tu ili watu wasiteseke,maana wanaohangaika ni watoto wamama na wazee.
IDF ndo wataungana na HAMAS,sio HAMAS kuungana na mashoga never ever...
 
Waisrahell hawafai kuishi nao pamoja kheri uishi na mamba au simba unaweza ukawa na amani ila sio magaidi wa israhell
Kule ukingo wamagharibi walihusikaje na tukio la 7 October ila unaona wanavyouliwa kina mama watoto na watu wasiokua na hatia
Hamas wakiwa kama wapigania uhuru wanatakiwa kuungwa mkono na kusapotiwa
Wewe umewahi kuishi nao? Mbona wanaishi vizuri na Jordan na Misri kama majirani?
 
Mkuu hebu pumzika bhasi na hizi mada maana yake unatuchosha sasa..

Kama ukiweza zireport kwenye yanayojiri HAMAS na israel maana yake sijawahi kukuona ukipost kitu zaidi ya Israel na HAMAS..WANAKULIPA..

Watu wamekufa kenya Hukuwahi kureport..
Kumetokea mafuriko ya matope Tanzania hukuwahi kureport kuna vitu vingi vya kureport unakera sasa..
Kama hawakuambii bhasi nahisi mimi nakuambia leo
Kwan umelazimishwa kusoma ? Mbona Kuna majukwaa mengi SI uende huko?
 
Waisrahell hawafai kuishi nao pamoja kheri uishi na mamba au simba unaweza ukawa na amani ila sio magaidi wa israhell
Kule ukingo wamagharibi walihusikaje na tukio la 7 October ila unaona wanavyouliwa kina mama watoto na watu wasiokua na hatia
Hamas wakiwa kama wapigania uhuru wanatakiwa kuungwa mkono na kusapotiwa
Gaza inapigwa reki ili itakate na ugaidi uwe historia. Waislam kila sehemu ni ugomvi, kiboko yao ni Myahudi, hacheki ni kuchinja tu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Nadhani tunawalaumu tu IDF kwa vifo ,ni ngumu sana kupambana na Hamas sababu wanaishi na watu mitaani na kwenye mikusanyiko ,hawana alama na hichi ndicho huwa kinafanya Israel ipige eneo lote na kuchukua Ardhi .Na sasa kitakacho tokea Ardhi ya Palestina itamegwa tena .

Wapalestina wa tz huku kina Malaria 2 , FaizaFoxy ,Sir kilaza robert ni ngumu kuelewa . Hivi hawa Hamas wako kwa ajili ya kulinda Raia ? Nchi ? Au ni maslahi binafsi .

Mtu anae linda raia hawezi jificha kwa raia atakwenda kupambana raia wasife .
Niliuliza hili swali.
Tatizo ukiuliza watakuweka kwamba wewe ni myahudi wakati hizo stori za mungu wengine hatuziamini.
 
Nadhani tunawalaumu tu IDF kwa vifo ,ni ngumu sana kupambana na Hamas sababu wanaishi na watu mitaani na kwenye mikusanyiko ,hawana alama na hichi ndicho huwa kinafanya Israel ipige eneo lote na kuchukua Ardhi .Na sasa kitakacho tokea Ardhi ya Palestina itamegwa tena .

Wapalestina wa tz huku kina Malaria 2 , FaizaFoxy ,Sir kilaza robert ni ngumu kuelewa . Hivi hawa Hamas wako kwa ajili ya kulinda Raia ? Nchi ? Au ni maslahi binafsi .

Mtu anae linda raia hawezi jificha kwa raia atakwenda kupambana raia wasife .
"Mtu anae linda raia hawezi jificha kwa raia atakwenda kupambana raia wasife" Mkuu; Hapa kwa HAMAS ni tofauti. Wao HAMAS wanakwendakwa raia kupokonya, kuiba na kupora fedha za misaada za wahanga wa vita, vyakula vya msaada na kujificha nyuma ya makalio ya akina mama huku wakiwatanguliza watoto na wazee mbele ya IDF.
 
Mkuu hebu pumzika bhasi na hizi mada maana yake unatuchosha sasa..

Kama ukiweza zireport kwenye yanayojiri HAMAS na israel maana yake sijawahi kukuona ukipost kitu zaidi ya Israel na HAMAS..WANAKULIPA..

Watu wamekufa kenya Hukuwahi kureport..
Kumetokea mafuriko ya matope Tanzania hukuwahi kureport kuna vitu vingi vya kureport unakera sasa..
Kama hawakuambii bhasi nahisi mimi nakuambia leo

Imeanza kutumika hii poleni Marekani yachukizwa Israel kutumia white phosphorus, IDF yasema Wako Katika hatua za Mwisho kuifutilia mbali Hamas!
 
Back
Top Bottom