Mpaka sasa vifo vya watu 17,997 vimeripotiwa Gaza, je HAMAS palikuwa na huu ulazima?

Mkuu hebu pumzika bhasi na hizi mada maana yake unatuchosha sasa..

Kama ukiweza zireport kwenye yanayojiri HAMAS na israel maana yake sijawahi kukuona ukipost kitu zaidi ya Israel na HAMAS..WANAKULIPA..

Watu wamekufa kenya Hukuwahi kureport..
Kumetokea mafuriko ya matope Tanzania hukuwahi kureport kuna vitu vingi vya kureport unakera sasa..
Kama hawakuambii bhasi nahisi mimi nakuambia leo
 
mkuu tangu siku hamas wanapokea mateka wao waliotegewa hizo chemicals IDF wamepata nn kikubwa toka kwa hamas tofauti na nyuma?
 
If you can't beat them join them. Hao hamas wakubali yaishe wajisalimishe tu ili watu wasiteseke,maana wanaohangaika ni watoto wamama na wazee.
IDF ndo wataungana na HAMAS,sio HAMAS kuungana na mashoga never ever...
 
Wewe umewahi kuishi nao? Mbona wanaishi vizuri na Jordan na Misri kama majirani?
 
Kwan umelazimishwa kusoma ? Mbona Kuna majukwaa mengi SI uende huko?
 
Gaza inapigwa reki ili itakate na ugaidi uwe historia. Waislam kila sehemu ni ugomvi, kiboko yao ni Myahudi, hacheki ni kuchinja tu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Niliuliza hili swali.
Tatizo ukiuliza watakuweka kwamba wewe ni myahudi wakati hizo stori za mungu wengine hatuziamini.
 
"Mtu anae linda raia hawezi jificha kwa raia atakwenda kupambana raia wasife" Mkuu; Hapa kwa HAMAS ni tofauti. Wao HAMAS wanakwendakwa raia kupokonya, kuiba na kupora fedha za misaada za wahanga wa vita, vyakula vya msaada na kujificha nyuma ya makalio ya akina mama huku wakiwatanguliza watoto na wazee mbele ya IDF.
 

Imeanza kutumika hii poleni Marekani yachukizwa Israel kutumia white phosphorus, IDF yasema Wako Katika hatua za Mwisho kuifutilia mbali Hamas!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…