Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ni jambo zuri kuwa na ongezeko la vyombo vya habari ila kuongezeka kuna takiwa kuwe na utofauti sana ili ukiangalia au kusiliza unajua kilichokupeleka.
Wasafi Tv na FM bado wanashida kwenye kujitofautisha yani uwezi kuelewa wanataka nini kama ni kwa ajili ya burudani,michezo,habari au mambo makini ,kwa kijana,watoto au watu wazima.
jifunzeni kwa Azam na channel zake,TBC,ITV NA EATV,redio free na n.k yani unajua nachoenda kusikiliza au kutazama kipo tofauti na chamwenzake.
Juzi hapa walinikasirisha kukurupuka ile sheree ya faundation yakina malisa kuhusu yule mama mjane mpaka kajengewa nyumba.