Mpaka sasa watu 133 wamekufa Iran kwenye maandamano ya kupiga uonevu wa kidini

Usitafune maneno, mbona wananchi hawakuandamana alipokamatwa??? jibu hili suali

Wananchi wamekuja kuandamana baada ya kufia mikononi mwa polisi, wanadhan kuna jambo lazima limefanyika kusababisha kifo chake.

Nchi ya Iran ipo miaka nenda miaka rudi tokea hujazaliwa wewe wala mimi na babu zako, na sharia zao zipo katika nchi lakini jiulize kwanini hili limetokea sasa? kwaiyo unaona si tatizo la sharia za kiislamu kwa sababu hizo sharia zilikuwepo miaka nenda miaka rudi na hakukua na maandamano.

Suali ni kwanini mwanamke amekufa mikononi mwa polisi? Na ndio mana rais na Serikali ya Iran wanachunguza kifo chake, kama sharia ilimuhukumu kungekuwa na haja gani Serikali kuchunguza kifo chake?

Wananchi wa Iran wanahitaji mabadiliko ya uongozi sasa kwa Rais aliyemadarakani wanahisi ni mzembe kwenye haki za watu na jambo hili linaweza kumtikisa sana.
 
Ni ushamba tu kutuletea leo mambo ya karne ya 7. Very hopeless.
 

Mngemuacha na kichwa chake mauti yangemkuta? Hiyo dini inafanya muonekane kituko fulani hivi, nywele zinasababisha mwanamke auawe, tena hakua ameachia kichwa chote, kipande kidogo tu....
 
Na kilichokuwa kinapaswa kufanywa ni upelelezi.Lakini kinachoendelea hakijulikani ni nini,maana hao waandamanaji hatujui wanaandamana kushinikiza nini!.
Waandamanaji bila ya shaka wanalalamikia uwajibikaji na kwa uzembe wa kifo cha huyo mwanamke, nadhan jambo hili linaweza kumtoa madarakani huyu Rais wa Iran
 
Marekani wanataka dunia nzima iwe na wanawake wanaovaa kimalaya malaya. Hilo haliwezi kukubalika katu.
Wewe nawe umawashwa Kwa mpalange .....hapo marekani kahusika vipi wakati wanao kufa ni wairani wenyewe........au ulimuona kuna mmarekani kahusika ......??
 
Basi sawa mkuu
 
Hoja hapa kwanini wampige kisa unywele tu kuonekana
 
Na kilichokuwa kinapaswa kufanywa ni upelelezi.Lakini kinachoendelea hakijulikani ni nini,maana hao waandamanaji hatujui wanaandamana kushinikiza nini!.
Nyie wavaa kobaz wa mbagala mnasikitisha sana. Ina maana hao wairani hawajui kwanini wanaandama. Kwani Hao wanaondama sio waislamu?
 
Waandamanaji bila ya shaka wanalalamikia uwajibikaji na kwa uzembe wa kifo cha huyo mwanamke, nadhan jambo hili linaweza kumtoa madarakani huyu Rais wa Iran
Sio rahisi. Ebrahim Rais Kwa jins alivyo katiri yuko radhi kuua hata watu elfu moja kuliko kuachia madaraka
 
Marekani wanataka dunia nzima iwe na wanawake wanaovaa kimalaya malaya. Hilo haliwezi kukubalika katu.
Marekani Marekani mtu hata akigombana na mkewe basi ni kwa msaada wa Marekani [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Baada ya Ayatollah kutoka mafichoni huko France ndo akaleta mapinduzi pamoja na masheria yake ila kabla Iran haikuwa na haya mambo ya kumfanya mwanamke kama mhaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…