Mpaka sasa Yanga wamefanya usajili bora zaidi kuliko Simba!

Mpaka sasa Yanga wamefanya usajili bora zaidi kuliko Simba!

Kwa hisani ya

Kwa hisani ya mbeleko ya Malinzi
Kwani nani atabisha kuwa Jamal Malinzi ameisaidi Yanga kutwaa ndoo? Hakuna kabisa.

Ametusaidia sana tena misimu 3 yote iliyopita....ameibuka Top Scorer, alikuwa undisputed striker pale Jangwani, na yeye Ndio aliyepiga bao la mwisho pale kagera mlipotola 2-1 na wenyeji....

Alitusaidia mno kwa kumpiga mwiba Mavugo hata akibaki yeye na Kipa anapaisha....

Malinzi forever!
 
Hivi ndio wewe msimu uliopita ulikuwa ukijinadi kuwa Simba anakuwa Bingwa?

Maana ni miongoni mwa wale wanaopenda kuishi na matumaini yasiyowezekana.[emoji23]
Msimu ujao simba bingwa.
 
Kwa hiyo ukimpata okwi akaifunga yanga 5 tayari kombe mnalo au?
Yani Simba kuanzia viongozi wao mpk mashabiki ni Mambumbumbu sana yani,hebu mwangalie yule Msemaji wao hata hajielewi sema basi tu tunamuheshimu isije ikaonekana tuna mnynyapaa!
 
Yaani hawa jamaa ni mbumbumbu mpaka wanaingiwa na utaahira
Mkuu tuheshimiane "wanyama"sio mbumbumbu sawa?ukitaniana na mtoto akakujibu pumba ina maana baba na mama yake ni mbumbumbu?
Kweli mikia mwenzangu kachemka lakini usiconclude kiujumla!Simba oyee!
 
Yanga kwa kusajili namba 3 Gadiel Michael toka Azam, centre back Ninja, Buswita na Ajibu ime address mapungufu yao yaliyokuwa katika timu kwa msimu uliopita!

Sasa simba inasajili Kapombe, sijui Manula, left back, Okwi, Bocco etc wote hawa hawajibu udhaifu wa timu uliokuwepo bali ni mihemuko itakayopelekea timu kuhitaji muda kuumdwa upya! Na hilo litaidhoofisha zaidi time!
Twambie mapungufu ya simba ni sehemu gani kama sio ao waliosajiliawa maana ubingwa mliopewa na Malinzi mlituzidi goli ndo izo tumezileta okwi goli 14 bocko goli 12
 
Mnachekesha sana Yanga tusubuli ligi ianze
 
Yanga kwa kusajili namba 3 Gadiel Michael toka Azam, centre back Ninja, Buswita na Ajibu ime address mapungufu yao yaliyokuwa katika timu kwa msimu uliopita!

Sasa simba inasajili Kapombe, sijui Manula, left back, Okwi, Bocco etc wote hawa hawajibu udhaifu wa timu uliokuwepo bali ni mihemuko itakayopelekea timu kuhitaji muda kuumdwa upya! Na hilo litaidhoofisha zaidi time!
Naona mbolembole umekimbilia huku! Mpira ni uwanjani mkuu sio humu Jf!
 
Back
Top Bottom