Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
week kadhaa zilizopita tulikuwa tunashangalia humu kuwa wameuawa waisreli wengi sana huko Israel .mimi nilisikitishwa na sherehe hizo ni kasema Hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.............. tusubiri Waisrael wata double. sababu wao wanaamini Muisrael mmoja ni sawa na wapalestine 5. sasa hali ipo vibaya. wapalestina wanauawa sana.
wanajaribu kutumia human shield lakini waisrael wanasema wao wanapiga kila anayekuwa anahusiana na hamas. hali ni mbaya sana. tupate habari kamili hapa chini.
www.aljazeera.com
wanajaribu kutumia human shield lakini waisrael wanasema wao wanapiga kila anayekuwa anahusiana na hamas. hali ni mbaya sana. tupate habari kamili hapa chini.
Israel-Hamas live updates: 6,500 Palestinians killed by Israel in Gaza
Al Jazeera Arabic’s Wael Dahdouh’s wife, son and daughter among family members killed after home hit.