Mavipunda
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 7,072
- 7,891
Huyu bwana aliupata Urais kwa mgongo wa Magufuli na wala hakuwa chaguo la Wazanzibar. Alikuja na mikakati mingi ikiwemo ule maarufu wa kukuza Uchumi wa Bluu.
Ila baada ya kifo cha JPM kama amevurugwa hakuna analofanya. Tokea aingie madarakani hadi sasa hajajenga hata kilomita moja ya barabara wala kufanya chochote cha maendeleo.
Hawaamini kabisa wateuzi wake na amekuwa mtu wa kutoa maagizo tu bila ya kusikiliza ushauri.
Sasa hivi ana kazi ya kupita misikitini tu na kuhubiri mambo ambayo hata yeye mwenyewe hayatekelezi.
Wazee wa CCM wameapa kwamba atakuwa Rais wa miaka mitano kama JPM na watamuweka kando kwa njia yeyote.