Na hawa watu hawajui wao ndiyo sababu ya shida zooote hizi tulizonazo kama taifa kwakua wamekuwa vikwazo kwa maendeleo yetu kwa u feki wao, uwizi etc
Unfortunately ndiyo ambao walikuwa kwenye maofisi ya umma, wana pesa za bundle kutupigia kelele humu...Adhabu yao ni kubwa kwakua wengi wamekufa kwaajili yao kwakukosa dawa tu za malaria, akjna mama kulala chini, watoto kukosa madarasa, elimu kushuka etc...Leo wanataka kutuaminisha anayewaondoa wao ni shetani wao ni malaika! Daah malaika wa nuru jina lake lingine ni mashetani...wana wa uovu watu wasio wema, unaona hata mioyo yao imejaa ghadhabu na uchungu mwingi hadi kugombana na maiti ambayo hata hawajui ipo wapi!
Na mimi napasha joto subiri Mungu aseme ndiyo watajua hawajui....Na mimi nikipata kibali cha Mungu hakuna atakayenitisha siyo mbinguni wala duniani...Napiga goti kuomba usiku na mchana!