Kilichomkimbiza Zenji nini?? Akaja kukomaa bara?? Kama huko kuna wachapa kazi??
Nilishakaa Zbar kwa project fulani, ofisi ya serikali unafika saa3, muhusika hajafika, akifika saa 4 anaenda kunywa chai, saa 5 karudi gumzo porojo, saa 6-7 Masjid, saa 8 lunch, what the EFF, kitu ambacho bara ungehudumiwa siku 1-2, kule wiki.
Investor kajipangia kukaa wiki anajikuta kakaa wiki3, muda unapotea na pesa na mtu anakata tamaa.
Wabara huwa tunawaona wabara wavivu, ili tukija Zenj tunaona wabara ni watu wachapa kazi kama wajapan.
Na uhakika Mh Hussein Mwinyi, ndiiyo anachokabiliana nacho first hand, WAVIVU WAMEENDEKEZA UMWINYI. Hawana kitu zaidi midomo na roho za kwanini.
Everyday is Saturday................................😎