Mpaka sasa Zanzibar hawajui Hussein Mwinyi anawapeleka wapi

Huyu bwana aliupata Urais kwa mgongo wa Magufuli na wala hakuwa chaguo la Wazanzibar. Alikuja na mikakati mingi ikiwemo ule maarufu wa kukuza Uchumi wa Bluu.

Ila baada ya kifo cha JPM kama amevurugwa hakuna analofanya. Tokea aingie madarakani hadi sasa hajajenga hata kilomita moja ya barabara wala kufanya chochote cha maendeleo.

Hawaamini kabisa wateuzi wake na amekuwa mtu wa kutoa maagizo tu bila ya kusikiliza ushauri.

Sasa hivi ana kazi ya kupita misikitini tu na kuhubiri mambo ambayo hata yeye mwenyewe hayatekelezi.

Wazee wa CCM wameapa kwamba atakuwa Rais wa miaka mitano kama JPM na watamuweka kando kwa njia yeyote.
Mkuu haki ya Mungu hii inafanana na kweli. Mimi nilidhani ni mimi tu ndo sioni kumbe haya mambo ni kweli; ila tutafika tu.
 
Huyu bwana aliupata Urais kwa mgongo wa Magufuli na wala hakuwa chaguo la Wazanzibar. Alikuja na mikakati mingi ikiwemo ule maarufu wa kukuza Uchumi wa Bluu.

Ila baada ya kifo cha JPM kama amevurugwa hakuna analofanya. Tokea aingie madarakani hadi sasa hajajenga hata kilomita moja ya barabara wala kufanya chochote cha maendeleo.

Hawaamini kabisa wateuzi wake na amekuwa mtu wa kutoa maagizo tu bila ya kusikiliza ushauri.

Sasa hivi ana kazi ya kupita misikitini tu na kuhubiri mambo ambayo hata yeye mwenyewe hayatekelezi.

Wazee wa CCM wameapa kwamba atakuwa Rais wa miaka mitano kama JPM na watamuweka kando kwa njia yeyote.
Wanapelekwa ufukweni kula urojo na badia.Kwani Rais gani walijua wanakopelekwa?
 
Watu waliamini Zenji inakuwa Dubeyi au hata kuipita Singapoo, watulie dozi iwaingie waisome namba, CCM ni ile ile...
Pamoja na udogo wake huko kuna WAVIVU ILA MABINGWA WA FITINA, UNAFIKI.

Everyday is Saturday................................😎
Mkuu hii ni kweli? Hivi yale magorofa pale Kariakoo yalijengwa na wavivu? Vizuri ungesema ukweli
 
Huyu bwana aliupata Urais kwa mgongo wa Magufuli na wala hakuwa chaguo la Wazanzibar. Alikuja na mikakati mingi ikiwemo ule maarufu wa kukuza Uchumi wa Bluu.

Ila baada ya kifo cha JPM kama amevurugwa hakuna analofanya. Tokea aingie madarakani hadi sasa hajajenga hata kilomita moja ya barabara wala kufanya chochote cha maendeleo.

Hawaamini kabisa wateuzi wake na amekuwa mtu wa kutoa maagizo tu bila ya kusikiliza ushauri.

Sasa hivi ana kazi ya kupita misikitini tu na kuhubiri mambo ambayo hata yeye mwenyewe hayatekelezi.

Wazee wa CCM wameapa kwamba atakuwa Rais wa miaka mitano kama JPM na watamuweka kando kwa njia yeyote.
Yeye mwenyewe hajui hapo yupo ajili gani
 
Mkuu hii ni kweli? Hivi yale magorofa pale Kariakoo yalijengwa na wavivu? Vizuri ungesema ukweli
Mamwinyi kukaa chini na kuupiga mwingi ndiyo shughuli wanayoweza, Kkoo vibarua Labda wapemba, ila wasukuma na wanyamwezi tokea bara. Tena wa Kigamboni Gezaulole na Mbutu.

Everyday is Saturday................................😎
 
Mamwinyi kukaa chini na kuupiga mwingi ndiyo shughuli wanayoweza, Kkoo vibarua Labda wapemba, ila wasukuma na wanyamwezi tokea bara. Tena wa Kigamboni Gezaulole na Mbutu.

Everyday is Saturday................................😎
Majengo mengi ya pale yalijengwa na Wapemba kwa mkataba kwamba baada ya miaka kumi wakabidhiwe wenyewe na ndivyo ilivyofanyika. Bakhresa ambaye amejenga viwanda toka Tanzania mpaka nchi za jirani ni Mzanzibari ambaye amewaajiri maelfu ya Watanzania anawezaje kuwa mvivu?

Wakati mwingine tunapaswa kutumia alili ya kuzaliwa.
 
Huyu bwana aliupata Urais kwa mgongo wa Magufuli na wala hakuwa chaguo la Wazanzibar. Alikuja na mikakati mingi ikiwemo ule maarufu wa kukuza Uchumi wa Bluu.

Ila baada ya kifo cha JPM kama amevurugwa hakuna analofanya. Tokea aingie madarakani hadi sasa hajajenga hata kilomita moja ya barabara wala kufanya chochote cha maendeleo.

Hawaamini kabisa wateuzi wake na amekuwa mtu wa kutoa maagizo tu bila ya kusikiliza ushauri.

Sasa hivi ana kazi ya kupita misikitini tu na kuhubiri mambo ambayo hata yeye mwenyewe hayatekelezi.

Wazee wa CCM wameapa kwamba atakuwa Rais wa miaka mitano kama JPM na watamuweka kando kwa njia yeyote.
Ila Mama samia unajua anapokupeleka?
 
Watanzania kwa kulalamika hatushindwi, kombe la dunia katika kulalamika tunalo. Tukipata anayetuchekea chekea na kuacha inchi ijiendeshe bora liende, tunalalamika, tukitaka anayetuambia kwa upole na sauti laini hata bila kutuchekea tunalalamikla, tukipata anayetuambia ukweli mkavu mkavu bila kumung'unya ndiyo basi tena. Sasa itabidi tuombe tuongozwe na ombwe tu.
 
UMajengo mengi ya pale yalijengwa na Wapemba kwa mkataba kwamba baada ya miaka kumi wakabidhiwe wenyewe na ndivyo ilivyofanyika. Bakhresa ambaye amejenga viwanda toka Tanzania mpaka nchi za jirani ni Mzanzibari ambaye amewaajiri maelfu ya Watanzania anawezaje kuwa mvivu?

Wakati mwingine tunapaswa kutumia alili ya kuzaliwa.
Kilichomkimbiza Zenji nini?? Akaja kukomaa bara?? Kama huko kuna wachapa kazi??
Nilishakaa Zbar kwa project fulani, ofisi ya serikali unafika saa3, muhusika hajafika, akifika saa 4 anaenda kunywa chai, saa 5 karudi gumzo porojo, saa 6-7 Masjid, saa 8 lunch, what the EFF, kitu ambacho bara ungehudumiwa siku 1-2, kule wiki.

Investor kajipangia kukaa wiki anajikuta kakaa wiki3, muda unapotea na pesa na mtu anakata tamaa.

Wabara huwa tunawaona wabara wavivu, ili tukija Zenj tunaona wabara ni watu wachapa kazi kama wajapan.

Na uhakika Mh Hussein Mwinyi, ndiiyo anachokabiliana nacho first hand, WAVIVU WAMEENDEKEZA UMWINYI. Hawana kitu zaidi midomo na roho za kwanini.

Everyday is Saturday................................😎
 
Watu waliamini Zenji inakuwa Dubeyi au hata kuipita Singapoo, watulie dozi iwaingie waisome namba, CCM ni ile ile...
Pamoja na udogo wake huko kuna WAVIVU ILA MABINGWA WA FITINA, UNAFIKI.

Everyday is Saturday................................😎
Sasa kama Maalim seif angefanikiwa kuwa rais wa Zanzibar hali ingekuaje maana watu ndio walikuwa na matarajio makubwa kutoka kwa Maalim seif.
 
Majengo mengi ya pale yalijengwa na Wapemba kwa mkataba kwamba baada ya miaka kumi wakabidhiwe wenyewe na ndivyo ilivyofanyika. Bakhresa ambaye amejenga viwanda toka Tanzania mpaka nchi za jirani ni Mzanzibari ambaye amewaajiri maelfu ya Watanzania anawezaje kuwa mvivu?

Wakati mwingine tunapaswa kutumia alili ya kuzaliwa.
Unataka kukataa kuwa nyie sio wavivu?
 
Kilichomkimbiza Zenji nini?? Akaja kukomaa bara?? Kama huko kuna wachapa kazi??
Nilishakaa Zbar kwa project fulani, ofisi ya serikali unafika saa3, muhusika hajafika, akifika saa 4 anaenda kunywa chai, saa 5 karudi gumzo porojo, saa 6-7 Masjid, saa 8 lunch, what the EFF, kitu ambacho bara ungehudumiwa siku 1-2, kule wiki.

Investor kajipangia kukaa wiki anajikuta kakaa wiki3, muda unapotea na pesa na mtu anakata tamaa.

Wabara huwa tunawaona wabara wavivu, ili tukija Zenj tunaona wabara ni watu wachapa kazi kama wajapan.

Na uhakika Mh Hussein Mwinyi, ndiiyo anachokabiliana nacho first hand, WAVIVU WAMEENDEKEZA UMWINYI. Hawana kitu zaidi midomo na roho za kwanini.

Everyday is Saturday................................😎
Mkuu hoja hapa ni uvivu wa Wazanzibari. Hivi mtu mvivu anawezaje kuwekeza miradi mikubwa nchini kwake na nchi jirani?

Suala la yeye na wenzake kuja Bara ni soko na sio nguvu kazi. Kumbuka kwamba Bakhresa kawekeza na Zanzibar pia na ndo maana kawekeza hata nje ya Tanzania. Mimi hudhani watu tunapojadili huwa tunafahamu vizuri mada.

Kuhusu kuhudumiwa kwa wakati unazungumzia Bara ipi? Hivi hii si ndo ile ambayo huduma hupati hadi utoe rushwa?

Swala la kwamba ulishakaa ofisi fulani huko Zanzibar na ukaona watu wanachelewa ni ofisi ipi? Hivi huku Bara watu huwa hawachelewi na kwa visingizio kebekebe ikiwemo usafiri? Wao sio wavivu?

Kuhusu kufanya ibada huo ni utamaduni wao kama ilivyo Bara. Hivi huku Bara Waislamu hawaendi msikitini?

Kwenye maeneo ya imani usiyaingilie hayahusiani na mada yetu na hutoyaweza. Hapa tunazungumzia madai yako kwamba Wazanzibari ni wavivu.
 
Bajeti zilizipita / pangwa zilitenga pesa za kufanya nini ?

Haya mambo ya fulani hajajenga barabara au sijui kufanya nini ndio yanatufikisha hapa...., Cha maana kama upembuzi yakinifu umefanyika nini kitakiwa kufanyika ni Bajeti ipangwe na kifanywe kilichopangwa kufanywa na sio Rais anataka kufanya nini kwa matakwa yake... Huu uvujifu wa Utaratibu umekuwa ukifanyika sana hadi tunaona kwamba ndio utendaji bora kumbe ni ufujaji
 
Sasa kama Maalim seif angefanikiwa kuwa rais wa Zanzibar hali ingekuaje maana watu ndio walikuwa na matarajio makubwa kutoka kwa Maalim seif.

Mkuu Maalim Seif alikua na mipango ya kubadilisha mfumo mzima wa utawala, Dira na uendeshaji wa nchi, Na pia Maalim Seif sio mtu mwepesi mwepesi kama viongozi wengi wa CCM waliozoea kuishi kwa kubebana, akikuona huwezi kazi anakueka pembeneni tu. Ule mtindo wa tumbua tumbua yeye ndio alieuanzisha hapa nchini miaka ya 80's akiwa waziri kiongozi kule Zanzibar, ndio mana CCM wakawa wanamchukia sana mana walizoea kuwa wavivu na kupiga pesa tu.
 
Mkuu hoja hapa ni uvivu wa Wazanzibari. Hivi mtu mvivu anawezaje kuwekeza miradi mikubwa nchini kwake na nchi jirani? Swala la yeye na wenzake kuja Bara ni soko na sio nguvu kazi. Kumbuka kwamba Bakhresa kawekeza na Zanzibar pia na ndo maana kawekeza hata nje ya Tanzania. Mimi hudhani watu tunapojadili huwa tunafahamu vizuri mada.
Kuhusu kuhudumiwa kwa wakati unazungumzia Bara ipi? Hivi hii si ndo ile ambayo huduma hupati hadi utoe rushwa?
Swala la kwamba ulishakaa ofisi fulani huko Zanzibar na ukaona watu wanachelewa ni ofisi ipi? Hivi huku Bara watu huwa hawachelewi na kwa visingizio kebekebe ikiwemo usafiri? Wao sio wavivu?
Kuhusu kufanya ibada huo ni utamaduni wao kama ilivyo Bara. Hivi huku Bara Waislamu hawaendi msikitini?
Kwenye maeneo ya imani usiyaingilie hayahusiani na mada yetu na hutoyaweza. Hapa tunazungumzia madai yako kwamba Wazanzibari ni wavivu.
Acha ujinga wewe Zanzibar Nyie ni wavivu Sana Tena Sana ,umwinyi mwingi sana.

Nilikuwa hapo mwaka Jana December, maduka mtu anafungua saa tatu asubuhi huo si uchuro!

Hiyo Zanzibar kwa uchapaji kazi huwezi kuilinganisha hata na Mwanza.

Halafu wazanzibar mna roho mbaya. Hamtupendi watu wa huku bara, ukiwa na kiduka mtu wa bara mramnyooshea vidole Hadi akome. Ila Nyie mmejazana bara Hadi kigoma ndani ndani mnazaliana Kama nguruwe.
 
Rais Mwinyu yupo vizuri amejitahidi kufuta baadhi ya kodi kero Zanzibar ambazo Tanzania bara bado zipo hii habari ni ya mfanyabiashara hataki wengine wapite huko...Zanzibar leseni za biashara za maduka zipo elfu hamsini na sitini..hapo mwanzo zilikua kama bara tu.
 
Back
Top Bottom