Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Siku 100 za Dr.Mwinyiwewe una fikra za kijinga kweli..hi ikijengwa nahama nchi hivi unazuzuka ni hivi vipicha vya njozi.. Salmin Amour alisema anajenga Star cCity mpaka leo haikutokea.. Huwajui wanasiasa waliomzunguuka Mwinyi ni matapeli wakubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sanaKwahiyo Meko katuachia wachunga ng'ombe?
Swali lilikuwa wazi tu... kwamba lile zee la kisukuma la Chato, limetuachia matatizo? Ulipaswa ujibu ndio au hapana, sio kulilia kama kondoo mjamzitoSi chama kimerudi kwenye mikono salama?
Na bado mpaka mjifungue mimba hizo alizowaachia mwenda zake mtakuwa wekundu
Awe malaika, mikono yake imerowa damu , Na roho Za wanyonge.Mtoa mada kabla ya kuleta uzi wako ungefanya kautafiti kidogo, Mwinyi is the best president mwenye utulivu,mzalendo, msikivu, hana papara, mtenda haki mpigania maendeleo ya watu wake, anachukua hatua kwa haraka kuzuia tatizo lisiendelee, anachukia na kukumea ufisadi kwa nguvu zake zote, mi sijui mtoa mada we unataka nini.
Sultan Husein Mwinyi hata kuishi Unguja hapendi. Anatamani arudi Sea view aishi hapo na kuitawala Zanzibar kutokea hapo Dar.Huyu bwana aliupata Urais kwa mgongo wa Magufuli na wala hakuwa chaguo la Wazanzibar. Alikuja na mikakati mingi ikiwemo ule maarufu wa kukuza Uchumi wa Bluu.
Ila baada ya kifo cha JPM kama amevurugwa hakuna analofanya. Tokea aingie madarakani hadi sasa hajajenga hata kilomita moja ya barabara wala kufanya chochote cha maendeleo.
Hawaamini kabisa wateuzi wake na amekuwa mtu wa kutoa maagizo tu bila ya kusikiliza ushauri.
Sasa hivi ana kazi ya kupita misikitini tu na kuhubiri mambo ambayo hata yeye mwenyewe hayatekelezi.
Wazee wa CCM wameapa kwamba atakuwa Rais wa miaka mitano kama JPM na watamuweka kando kwa njia yeyote.
Na amejitahidi sana kuweka ndugu na jamaa zake katika nafasi zote nyeti ili kulinda maslahi yake binafsiKaondosha usultan wa makomred wa ccm Zanzibar na watoto wao.
Angalau karudisha heshima kati ya muajiri na muajiriwa.
Kaondosha khofu ya kuishi ktk jamii angalau wana lala bila ya wasiwasi majumbani mwao.
Hivi ma-vichwa ya wazanzibari hua yanabonyezwa ili iweje? Maana hua naona wazanzibari wana mavichwa ya hovyo hovyo tu style ya ubapaMnachekesha sana...nilifika Zenji baada tu ya uchaguzi na nikasikiza anavyozungumzwa,nimerudi miezi miwili nyuma nimesikia tena anavyotamkwa jipangeni upya machogo!