Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona

Tatizo lipo Tanzania! Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu. Ukute madereva wote kutoka Tanzania wanapewa tu vyeti hata Corona hawapimwi tena kwa sababu Tanzania inaamini kuwa Corona ilishaisha!
Mkuu tunaruhusiwa kucheka kwa sauti kubwa?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahha so this white guy is the answer?
The hell man. This is pure conspiracy theory.
Anyway this doesnt prove anything. Rules zitabakia palepale.
 
[emoji3][emoji3]Mkuu una kichwa kigumu kweli... Tumeambiwa ugojwa umepungua kama unategemea ugonjwa huu kuisha endelea kusubiri . Kama umepungua lazima maisha yaendelee kwa tahadhari sio kama kawaida mbona kiswahili chepesi sana hiki au MKENYA wewe?
Ahhaa Mkuu usinisingizie. Kuna tofauti ya kusema Corona imeisha, na kusema Corona haijaisha lakini tuendelee na maisha kwa kuchukua tahadhari. Kwanza nilishaandika thread juu ya hili. Ngoja niitafute nita paste hapa chini

Mtazamo mpya wa dunia kuhusu Corona ni kuwa dunia imefikia breaking point; vizuizi vitaondolewa, watakaokufa watakufa, watakaopona watapona
 
Sa mbona huku kimesanda?πŸ˜‰

Kwenu huko mumeweka usiri hata kumzidi Kim wa Korea, hivyo ngumu kumeza chochote mnachokisema, maana hata Madagascar kule mlifuata kile kikombe chao, wao wanaathirika na namba zinazidi kupandisha.
 
[emoji3][emoji3]Mkuu una kichwa kigumu kweli... Tumeambiwa ugojwa umepungua kama unategemea ugonjwa huu kuisha endelea kusubiri . Kama umepungua lazima maisha yaendelee kwa tahadhari sio kama kawaida mbona kiswahili chepesi sana hiki au MKENYA wewe?
Samahan najua umemjibu mtu mwingine. But i would like to say. Hiyo ni pathetic excuse.
Is not about ugonjwa kuisha? Ni kuupunguza maambuukizi.
Kwao maambukizi ni makubwa..so.logicaly lazima wa react. Sishangai.
 
Haipendezi upande mmoja kukiuka kile mlichokubaliana. Binafsi, uamuzi wa mkuu wa wilaya nauona ni sahihi sana. Hawa ndugu zetu /majirani zetu shida yao kubwa ni kujiona wako smart kuliko wengine na hutuona Watanzania kama tusiojua kitu. I hate those people. Wajanja sana hao watu. Tanzania ni Taifa la heshima yake. Kamwe tusifanyiwe michezo ya ajabu na hao jirani zetu.
 
Tanzania kuna shida.

Tangu mwanzo ilikuwa wazi kuwa hayo makubaliano yaliyofikiwa yatakuwa na changamoto kubwa kiutekelezeji. Mosi, Tanzania haikuwa na utaratibu wa kupima watu wake dhidi ya corona isipokuwa pale mtu anapougua na kuonyesha dalili zinazofanana na corona. Ndiyo kusema Tanzania itakuwa imeingia tu kwenye makubaliano ya kupima madereva wa malori bila dhamira ya kwenda kutekeleza kwa dhati. Pili, kabla ya mazungumzo ya pande mbili, viongozi wa Tanzania walidai kuwa madereva wote waliokuwa positive kwa vipimo vya Kenya na kuridishwa mpakani wamepimwa tena na maabara ya Tanzania na kuonekana negative! Kwa hali ya kawaida hii haiwezi kuwa kweli; hii ni siasa. Madai haya yalionyesha wazi changamoto ya kukubalika (mutual acceptance) kwa matokeo ya maabara ya pande zote mbili. Tatu, Tanzania ilifunga maabara yake kwa madai kuwa matokeo ya vipimo vya corona yalikuwa hayaaminiki; sababu mojawapo ikiwa ni positive results nyingi! Ndiyo kusema hata kama maabara mpya ya taifa inawapima hao madereva wanaovuka mpaka, bila shaka watafanya hivyo wakijua ukweli kwamba wanapaswa kuonyesha 'uzalendo' ambao ni pamoja na vipimo vingi kuwa negative! Kwa dhamira yao ya kudhibiti corona, na baada kupitia magumu yote, Kenya hawawezi kuacha kutilia shaka dhamira ya jirani yao ambaye kwa kauli na matendo, anaonyesha kutoamini kuwa covid 19 ni tatizo kubwa. Nne, kuna watu wenye hulka ya kutokubali kushindwa; kiasi kwamba wakati mwingine wakilazimika kulegeza msimamo hufanya hivyo huku wakitafuta njia nyingine ya kutokea ilimradi tu hatimaye ajiaminishe kuwa yeye ndiye mshindi. Hata katika uongozi watu wa aina hii wapo na pengine tabia hiyo inachangia haya yanayojitokeza sasa. Mwisho, nchi zetu lazima zipevuke na kuacha kuongozwa kwa utashi binafsi wa viongozi na badala yake zinatangulize maslahi ya raia wao. Kwa mtazamo huo, binafsi sioni tatizo kila nchi kutumia maabara yake kuwapima watu wanaopitia mpaka wake ili kuondoa mashaka yoyote kuhusu matokeo ya upimaji. Kwa utaratibu huu, nchi itakayoona corona siyo tatizo kwake inaweza hata kuruhusu wageni kupita kwenye mipaka yake bila kupimwa!
 
Mbona mnapaniki wazeee.... kila kitu ize Bongolandi apa
 
Kuna mtu aliwahi kupendekeza . Ili hili jambo liende sawa . Madkatari wetu wawepo mpakani.

Wanaoingia Kenya waanze kupimwa mpaka wa Tanzania. The baadae mpaka mpaka wa Kenya wapimwe tena.
Kuwe na some sort of check and re-check system.
Kipimo cha Corona kinauma, huwezi kukubali kuchokolewa chokolewa hovyo.
huko Tanzania mnaishi kiajabu sana hujui hata hili kwa sababu hampimwi
 
K
Kenya haawaamini Tanzania kwa Sababu tz unasema Corona umeisha kwa maombi, hii haingii akilini kwa mtu yoyote
Mpuuzi wewe, ni lini uliambiwa korona imeisha? Kila siku unaambiwa corona bado ipo chukua tahadhari au huelewi?
 
K
Kenya haawaamini Tanzania kwa Sababu tz unasema Corona umeisha kwa maombi, hii haingii akilini kwa mtu yoyote
Mpuuzi wewe, ni lini uliambiwa korona imeisha? Kila siku unaambiwa corona bado ipo chukua tahadhari au huelewi?
 
Yule changudoa wa Meko alisema wagonjwa wamebaki 5 kutoa 1. Sasa kama hatuna Corona kwanini tuogope kupimwa??!!!!!

Njia ya muongo ni fupi saaaana!
 
tena nakwenda kuichukua simu ya mkuu wa nchi nikae nayo mimi mkononi maana siku ile aliipokea nikamlaumu sana.

huwezi ukawa unaishi na mpuuzi asiyejua kama unamvumilia.
 
Basi Kenya walikuwa naive sana, siku chache kabla ya mazungumzo kuanza Magufuli alitoka Chato akasimama Singida na kutangaza corona inaisha, na kuwapongeza wananchi kutovaa barakoa, sasa hiyo ilitosha kutuma message kwa kenya kuwa tz inachukulia corona kwa u seious gani
 
Yule changudoa wa Meko alisema wagonjwa wamebaki 5 kutoa 1. Sasa kama hatuna Corona kwanini tuogope kupimwa??!!!!!

Njia ya muongo ni fupi saaaana!
wewe basha wako ni nani[emoji16][emoji16].

maana mbowe ana mke na watoto tayari,pia kenyata ni hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…