aztec
JF-Expert Member
- Sep 7, 2018
- 390
- 248
Mkuu tunaruhusiwa kucheka kwa sauti kubwa?😂😂Tatizo lipo Tanzania! Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu. Ukute madereva wote kutoka Tanzania wanapewa tu vyeti hata Corona hawapimwi tena kwa sababu Tanzania inaamini kuwa Corona ilishaisha!