Mpaka wa Namanga wafungwa kwa muda baada ya Kenya kuwazuia madereva malori kutoka Tanzania kwa kutokuamini vipimo vyao vya #Corona


Badala ya kufunga mpaka, kwanini na sisi tusiwapime Wakenya wanaoingia?
 
touch ya kenya katika hili janga inarenga kutoa tune nyingine tofuti na tunayoitazamia au wanayojaribu kutuelezea.

bahati mbaya kwao yule mbabe wao kichwa ngumu kawashtukia,mwanzo aliwatega wakajaa bila kujishika,subiri uone maamuzi yanayofuata.
 
wewe ni Mtanzania kweli au Mkalenjin wa Rift Valley
 
Mbona hushangai kuwa corona inapukutisha sana wazungu huko kuliko afrika?
Wao no kwa sababu ya mazingira pia baridi kali kwani C19 imekuta whether kali ya baridi to minus temperature reading.Kwa kawaida wao wakati wa baridi kali huwa wanakufa kwa mafua bado sasa C19 imewaadhiri sana
 
Kenya mpaka leo bado mnatawaliwa mawazo na wakoloni wenu. Tanzania haikuwa koloni na wala haitawahi kuwa koloni la nchi yoyote duniani. Endeleeni kuchukua hizo fedha za wazungu na kulazimishwa kujificha ndani huku watu wenu wanakufa kama kuku wa kideri
 
Badala ya kufunga mpaka, kwanini na sisi tusiwapime Wakenya wanaoingia?
hatuna muda huo,hata marelia unapima ili uitibu,sio uone wadudu kama kweli wamefanana na stafeli[emoji16][emoji16].
 
Tatizo ni makubaliano, kama waliona hawatuamini wangekataa toka awali! Kiuhalisia Kenya walizoea kutuburuza but this time wamekutana na kichwa ngumu.

Kama hawatuamini wasingesaini yale makubaliano na kupendekeza njia wanayoamini. Simply hii ni vita ya kiuchumi na kama kawaida yetu tupo against nchi yetu tukifikiri tunaipinga CCM na serikali yake.

Kama wanataka kubadili terms za makubaliano zipo taratibu ambazo waliziweka wazi wenyewe. Hii ni janja janja tu.
 
Hawana haja maana wao walikuwa wanapita na vyeti halali ila nyie mnapita na vyeti vinavyosoma joto la mwili. Kwani mumeambiwa kuwa joto linaunguza nchi?
Maneno mengi ya nini kenya tangaza kwamba huamini vyeti vya Tanzania na unaamua kufunga mipaka yote na Tanzania period.
 
Asante Kwa kunijibia Mkuu maana mawazo Yangu yote umeshaandika weweeee!!
Pamoja sana
 
Wachache sana watakuelewa.
Wengi hapa wako kiushabiki, hawafikiri zaidi ya pua zao.

Mwongozo unaotumika kupambana na covid 19 ni wa WHO; siyo mtazamo wa mtu mmoja mmoja. Kweli corona itaendelea kuwepo lakini haina maana ya kuacha kukinga raia wasiambukizwe kwa wingi. WHO inatutka tuendelee kuzuia maambukizi ili huduma za afya zisielemewe na idadi ya wagonjwa.
 
Nadhani la msingi ni kila mtu ajikalie kivyake. Nchi moja haiwezi kuipangia nchi nyingine nini cha kufanya. Kenya inaabudu korona, Tanzania inaamini Mungu na kuondoa hofu kwa wananchi.

Kama ilivyokuwa mwanzo tutaona nani anaanza tena kulialia baada ya mpaka kufungwa.

Wakenya waoga kama Kunguru. Hawajaanza Leo
 
Then after knowing the extent of it what are going to do about it. This is where yo mind ends on lockdown, hamna namna ingine mnafikiria kupambana na covid-19, sisi tumesha amua kujichanganya iwepo isiwepo na tahadhari tuna chukua zote nyie mtajijua bana temaneni na sisi
 
wewe basha wako ni nani[emoji16][emoji16].

maana mbowe ana mke na watoto tayari,pia kenyata ni hivyo.
Meko kashikwa Corodani hapo hata kuwahudumia m.alaya wake kama wewe hawezi.

Aseme ukweli Corona ipo na imemkalia pabaya. Baba zima halioni hata aibu kusema uongo barabarani. Jinga sana!
 
Tatizo lipo Tanzania! Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu. Ukute madereva wote kutoka Tanzania wanapewa tu vyeti hata Corona hawapimwi tena kwa sababu Tanzania inaamini kuwa Corona ilishaisha!
Na Kenya ndo waaminifu kwa upande wako? Unaiona Kenya ni nchi ya ethics?
 
Kenya wasitutishe aisee.Tz hatutaki urafiki wa kinafki.
 
wakenya si walete evidence hapo mpakani kwamba wadereva kutoka Tanzania hawapimwi sio kukiuka makubaliano bila sababu
 
Upuuzi upuuzi,ubabe hapa hapa nyumbani. Kenya wanajitambua.
 
Kwani ubaya uko wapi, kama hawana kweli si wapimwe then majibu yatakuwa sawa tu.

Kama watu wana nia mbaya hata kama wakikubali kupimwa wataanbiwa wako postive
Kumbuka nyuma kabla hapohapo namanga, kuna dereva alipima kenya akaambiwa ana corona, akarudi TZ akapima hana corona,
Pia kuna mkenye alipima busia kenya akaonekana ana corona akarudiswa ili akae quarantine akagoma, akataka apimwe upya, walipo mpima hakuwa na ugonjwa, wakaridia kwenye mashine nyingine akawa negative, sasa hao wakenya wanataka waaminike vipi?
Wao wameamua nasi tuanaamua basi.
 
False impact imeonekana na vifo vili ongezeka lakini sasa Sweden wenyewe wanasema Bara kubalance kwa kufuata preventive measures ila sio kubase na lockdown tu.
Sisi hakituogopi, namba zinapandisha na tunapukutika, hivyo lazima tuwe na hasira kwa yeyote anayeleta masikhara.
Sweden waliojifanya kukaidi, kirusi kilienea ndani mwao kimya kimya halafu ghafla kimenyanyua kichwa wanapukutika yaani wamepoteana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…